---
type: BookChapter
work_id: '177'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1647
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1647.md
language: cd
position: 178
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3886
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3886.md
markdown_source: converted
updated_at: '2020-03-27T20:56:39Z'
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3886.md
---

# Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

## Swali La 5: Yakini yako ni gani, Biblia ao Ujumbe?

**Jibu:**Swali gani hii! Yakini yangu ni sawa sawa na ya Ndugu Branham – Neno la Mungu, ambalo lina dumu milele. Hata Ndugu Branham alishimama mbele ya kusanyiko, akanyanyua Biblia yake na kusema, „*Hiindiyo yakini yangu!*“ kwa kweli swali hii haina maana: kwa kuwa maneno ya kweli yaliyo katika Ujumbe ni neno la Mungu lililo funuliwa, ambamo munamo shauri zote za mpango wa okovu, kutoka mwanzo hadi mwisho wa nyakati na sana sana maahadi za wakati wetu. Na njoo maana Ujumbe ni Neno la Mungu na Neno la Mungu ni Ujumbe. Yeyote anaye weza kuyatofautisha yeye amedanganywa nayeye ni inje ya utaratibu wa kimungu. Wahubiri wanao jiitilia ndugu Branham nakufundisha mambo mengine yasiyo lingana naneno la Mungu, wana mufanya kuwa nabii wa uongo, na tena wana zaraulisha Biblia. Ile kujidai kwao “Ufunuo“ ime sambazwa kama Upumbafu.


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3885.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1647.md)
- [Next chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3887.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3886.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3886)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3886.md)
