---
type: BookChapter
work_id: '177'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1647
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1647.md
language: cd
position: 186
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3894
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3894.md
markdown_source: converted
updated_at: '2020-03-27T21:01:51Z'
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3894.md
---

# Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

## Swali La 13: Jee, Unaamini Hudma ya Mjumbe wa mnane?

**Jibu**: APANA, siamini mtu yeyote anaye jiita mjumbe wa munane ao kuamini yale anayo ya sema. Kulingana na Ufunuo 1:20 kuna nyota saba tu – Malaika saba wa vizazi saba vya Kanisa katika mkono wa kuume wa BWANA aliefufuka.

Nikusema ikiwa kuna Malaika yeyote wa munane ana weza patikana kwa mkono wa mwengine, kwa kuwa kuhusu huyu hakuna ahadi yake katika maandiko matakatifu. Haiseme hata Yosua, Elisa ao Nabii mkubwa atakaye kuja kwa ajili ya Kanisa. Kila mutumishi wa kweli wa Mungu kwa wakati huu anasimama kwa msingi mmoja moja na anatangaza Neno la kweli-Ujumbe wa wakati unao tangulia kuja kwa pili kwa Kristo.

 


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3893.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1647.md)
- [Next chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3895.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3894.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3894)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3894.md)
