---
type: BookChapter
work_id: '177'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1647
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1647.md
language: cd
position: 191
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3899
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3899.md
markdown_source: converted
updated_at: '2020-03-27T21:06:43Z'
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3899.md
---

# Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

## Swali La 18: Chakula chakiroho ni gani, jee ni mahubiri ya Ndugu Branham ao Biblia?

**Jibu:**Ninani angeliweza uliza swali kama hili? Itabaki kuwa kweli milele kwamba mtu wa kiroho hataishi kwa mkate tu wakimwili bali kwa mkate utokayo mbinguni (Yohana 6:32-59). Chakula cha kiroho ni Neno la Mungu linalo tuweka nguvu kufanya mapenzi ya Mungu (Yohana 4:34). Tunapo soma Biblia nakuipokea kupitiya mahubiri, kwa wateule wanao amini neno itatimiza kile ambacho lilitumwa kufanya. Katika mahubiri ya Ndugu Branham tunakuta neno lililo funuliwa na Mana iliyofichwa ya moto kwa wateule. Hii ndiyo lengo la kiungu ambalo linaambatana na sehemu ya hudma ya Kinabii na Kufundisha.


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3898.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1647.md)
- [Next chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3900.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3899.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3899)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3899.md)
