---
type: BookChapter
work_id: '177'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1647
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1647.md
language: cd
position: 198
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3906
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3906.md
markdown_source: converted
updated_at: '2020-03-27T21:13:56Z'
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3906.md
---

# Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

## Swali La 25: Jee, Muda za Nyakati za kanisa zilimfunuliwa ndugu Branham?

**Jibu:**Hakukuwa lazima kuweko ufunuo kuhusu nyakati za vizazi vya kanisa. Ndugu Branham maranyingi alisema kuhusu mtu wa historia Dr Clarence Larkin. Katika kitabu chake“Dispentional Truth“tunakuta kwa kartasi yake ya 130 na 131 masehemu za kuenea, ginsi ndugu Branham alivyo ziandika. Ila kuhusu majiona za wajumbe ndugu Branham mwenyewe ndie alie zichagua. Nilitosha huko Jefelsanville chapo hilo la vizazi vya kanisa na majuma sabini za Danieli ambalo ndugu Branham alikuwa amechapa kwa ajili ya mafundisho kuhusu somo hizo. Hiyo inaonyesha wazi wazi kwamba fundisho lake lilikuwa kuhusu somo hili, kulingana na ushuhuda wa maneno yake.


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3905.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1647.md)
- [Next chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3907.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3906.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3906)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3906.md)
