---
type: BookChapter
work_id: '177'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1647
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1647.md
language: cd
position: 202
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3910
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3910.md
markdown_source: converted
updated_at: '2020-03-27T21:14:01Z'
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/3910.md
---

# Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

## Swali La 29: Jee, Ni namna gani kuhusu ono la ndugu Branham katika hema?

**Jibu:**Nilisikia mara ya kwanza kwa mwaka wa 1958 kuhusu“ONO katika hema“ambayo ndugu Branham aliona kwa mwaka 1955. Ni Roy Borders aliekuwa akitayarisha mikutano ya ndugu Branham, alie kuwa na itaji yangu alinijibu tarehe 18, mayi 1965 karibu;“…Nitajaribu kujibu kwa maneno machache kulingana na jinsi niliambiwa na ndugu Branham…kuhusu hema inawezekana kwamba Hema litatumiwa katika Ulaya na katika inchi nyingine inje ya Marekani…“ Ndugu Branham alikuwa akitarajia utimilifu wa“ono katika hema“mpaka mwisho. Lakini tangu alichukuliwa nyumbani, jambo hilo halikusikilikana tena. Kwa nyakati hizi mambo mengi yame kwisha hubiriwa na wahubiri tofauti ili waweze kupigania mafundisho yao wenyewe. Kuhusu ONO katika hema wamoja wanafundisha kwamba ndugu Branham atafufuka na kuendelesha huduma yake katika hema kwa muda kidogo. Shida ni kwamba mambo hayo yana endeleshwa na wandugu wanayo jificha nyuma ya ndugu Branham na mafundisho yao wakiwa chini ya ushawishi mbaya kwa namna nyingine hawange weza kuvutiya watu nyuma yao. Hii ninaisema kama neno la Bwana katika jina la Yesu Kristo wakati hakuna ahadi ya kitu Fulani katika neno la Mungu hapo hakuna utimilifu pia. Hiyo ndiyo ukweli.


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3909.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1647.md)
- [Next chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3911.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3910.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3910)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/3910.md)
