---
type: BookChapter
work_id: '583'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1966
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1966.md
language: cd
position: 3
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/5990
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/5990.md
markdown_source: converted
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/5990.md
---

# BARUA YA MZUNGUKO Septemba 1972

## HABARI ZA SAFARI YA UTUME

Katika miezi iliopita, nilipata upya wakati wakuona namna gani Mungu anapatia inchi nyingi uamsho: lwe huko Finlande, ao huko sicile, huko ulaya ao katika bara zingine, pahali pote watu wana shuhudia. Kwamba kwa neno la Mungu lilo funuliwa wali pokea chakula cha kiroho walicho kuwa wakikingojea tangu siku nyingi. Mahubiri ya ndugu Branham ya metawanyika katika lugha mbali mbali, katika umbo za kanda na za vitabu. Mungu anakesha ili Neno lake lisirudie bure kwake, na analifunulia walio wake kwa Roho Mtakatifu. Kweli ya Biblia zinatoa miale ya nuru timilifu ya Mungu, kuliko vile haijawahi kuwako hapo mbele. Igawa, hatuna nafasi ili kuonyesha kimoja kwa kimoja kile ambacho Mungu anachokifanya kwa hesabu kubwa kama hiyo ya watu.


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/5989.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1966.md)
- [Next chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/5991.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/5990.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/5990)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/5990.md)
