---
type: BookChapter
work_id: '697'
book_url: https://nasa.misia.sk/books/1980
book_markdown_url: https://nasa.misia.sk/books/1980.md
language: cd
position: 29
canonical_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/6023
markdown_url: https://nasa.misia.sk/book_chapters/6023.md
markdown_source: converted
translations:
  cd: https://nasa.misia.sk/book_chapters/6023.md
---

# Barua Ya Muzunguko no. 23 - OKTOBA 1980

## KAZI YA UMISHONARI

Kuna ripoti nyingi nzuri kutoka kwa kazi yetu ya umishonari. Safari yangu kupitia Ulaya Mashariki ilizidi matarajio yote. Furaha ilikuwa kubwa, ushirika wa karibu, baraka zilitiririka katika mito mikuu.

Mialiko huja kutoka duniani kote; hata telegramu zikiniomba nije. Tafadhali munikumbuke katika maombi yenu ya kila siku. Ninamshukuru  kila mtu kwa moyo wangu wote ambaye anasimama nyuma ya kazi ya Mungu kwa njia yoyote . Kwa msaada wa Mungu, tutaendelea kutimiza ahadi ambazo tumefanya katika miaka michache iliyopita.

Katika tukio hili ningependa kuomba kwamba sisi sote tumwombee Dada Pilato na wamusika wake wawili. Baada ya kifo cha ndugu yetu mpendwa na mwenzetu mwaminifu Gino Pilati, wanahitaji utetezi wetu maalum. Tunataka pia kumpa Bwana kazi  ambayo inafanyika huko italiano.  Acha Bwana amjalie ndugu yetu malipo ya utumishi wake usio na ubinafsi na wa kujitolea siku hiyo.

Kwa hitaji ya wazi ya wazee wa kanisa, ningependa kuwapa ninyi salamu zao zote za uchangamfu katika umoja wa upendo wa kiungu.

Anae tenda kwa upande wa Mungu.

Ndugu Ewald Frank

 


## Chapter navigation

- [Previous chapter](https://nasa.misia.sk/book_chapters/6022.md)
- [Book contents](https://nasa.misia.sk/books/1980.md)

## Available translations

- [Swahili DRC](https://nasa.misia.sk/book_chapters/6023.md)

## Source

- [Canonical HTML page](https://nasa.misia.sk/book_chapters/6023)
- [Markdown representation](https://nasa.misia.sk/book_chapters/6023.md)
