Baruwa ya mzunguko - Aprili/Mei 2019
Katika unabii wa kibiblia wa Agano la kale, vyote vilivyo kuwa na sehemu ndani ya mpango wa okovu wa Munguuliyo semeka tangu, iwe hata kuhusu Israeli, Kanisa, ao kuhusu Mataifa, na vilevile na yale ambao ya na pashwa pitika kwa kuja kwa kwanza kwa mkombozi na hata pia kuhusu kurundikweke na tena baadaye.
Katika Luke 24, BWANA aliye fufuka alifulia wanafunzi wake yale yote yate yaliyo andikwa kuhusu YEYE ndaniya Torati, katika Zaburina katika Manabii yote yametimilika. Natena akawafungua roho, ili wa elewe mambo hayo yote. Na sasa yanatimilika yale yote yaliyo andikwa ndani ya Agano lakale na Agano Jipya kuhusu wakati huu na BWANA mwaminifu nasi pia amefungua roho zetu ili tuelewe. Kwa neema ya Mungu twa weza tambua maahadi zilizo timilika kwa wakati uliopita, na zili ambazo zinatimilika sasa kwa wa kati yetu.
Kwa mfuno, tunakuta ndani ya Mathayo 3:3 uhakikisho kwamba Mungu kupitia Yohana alitimiza ahadi aliyotowa katika Isa 40:3: „Yohana ndiye aliye tajwa na nabii Isaya akisema sauti ya mtu aliaye nyikani «Itengenezeni njia ya BWANA! Ya nyosheni mapito yake!»“
Wakati ya kuja kwa kwanza kwa Kristo, sehemu ya kwanza ya shahiri ya Malaki 3:1 ilitimilika kupitia hudma ya Yohana mubatizaji: „Angalieni, na ntuma mjumbe wangu naye ataitengeneze njia mbele yangu“. BWANA wetu alihakikisha hii katika Mathayo 11:9-10: „Huyo ndiye aliyeandiikiwa haya, Tazama, MIMI na mtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako atakayeitengeneza njia yakombele yako.“ Sehemu ya pili itatimilika wakatiHekalu litajengwa: „…naye BWANA mnayee mtafuta atalijilia hekalu lake ghafula, naami, Yule mjumbe wa agano mnayemfurahia angelieni, anakuja, asamaBWANA wa majeshi.“
Katika Mathayo 17, tunasoma kuhusu kubadilishwa kwaMukombozi mbeleya macho ya wafuasi watatu na kuhusu kuonekana kwa Musa na Eliya. Na wafuasi wa wakamuuliza BWANA wetu, „Basi kwa nini waandishihunena ya kwamba imempasaEliya kuja kwanza?“
„Naye akajibu akawaambia, kwaliEliya yuaja,naye atatengeneza yote“.
Baada ya maneno hayo, akasema, „Ila nawambia ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyo taka.Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao. Ndipo wale wanafuzi walipofahamu ya kuma amesema nao habari ya Yohana mbatizaji“ (shahili 10-13).
Kulingana na Lk 1:17, Yohanambatizaji alitimiza sehemu ya kwanza ya unabii iliyo pewa kupitia Malaki: „Naye atatangulia mbele zake katika Roho ya Eliya na Nguvu zake, ili kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto, (Mal 4:6a) nakuwatilia waasi akiliza wenye haki na kumwekea BWANA tayari watu.“
Yesu alilia kwa ajili ya Yerusalemu kwani Islaheli, taifa lilio teuliwa, halikutambuwa wakati yenye Mungu anawatembelea na kwa yenye ilipitika kulingana na neno la wakatiwao na Akasema, „Laiti ungelijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani ᴉ lakini sasa ya mefichwa machoni pako“. (Lk 19:42-44). Lakini mafarisayo na wana sheria walilipiga shahuri la Mungu juu yao, kwa kuwa hawa kubatizwa na Yohana (Lk 7:30). Kwa sababu walimu wa sheria hawa kutambua hata siku ya uti milifu ya ahadi ya Eliya mpaka sasa. Wayahudi wanapo sherehe siku kuu ya pasaka wana weka kiketi hata kikombe chakujaa mvinyo kwa matayarisho yake.
Wakati yeyote manabii wawili wamehaidiwa kwa taifa la Islaeli watatokea Yelusalemu, kama vile tume ya oneshwa ndani ya Zek 4, kwa miti miwili ya mizeituni inayo simama karibu ya kinara cha taa (shahili 3). Tafsiri ya neno la kinabii yenye inatolewe ni hii: „Ni wa pakaliwa wawili wenye wana simama mbele ya BWANA wa dunia yote“ (Shahili 14). Tuna kutana utimilifu wa hiyo neno kupitia hudma ya manabii wawili tunayo tukumbusha Musa na Eliya, ndani ya Ufu 11:4: „Hao ndio ilemizeituni miwili na vira viwili visimamavyo mbele za BWANA wan chi.“
Tuna mshukuru Mungu kwa kuwa a metujalia neema ya kuweza kuweka kila neno la kiblia. Kupitia hudma ya kipekee ya Yohana mbatizaji, iliyo ahaidiwa wakati ya kuja kwa kwanza kwa mkombozi, wa baba wa Agano la kale, wameletwa kwa imani ya watoto wa Agano Jipya. Hiyo hudma ilikuwa miya kwa miya ndani ya mapenzi ya Mungu makamilifu, kulingana na neno la Mungu na ni kwa namna hiyo iliyo kuwa njia ya kuweza kutayarishia Mungu taifa lilio tengenezwa kwa wakati wa kuja kwake kwa kwanza.
Sehemu ya pili ya ahadi ya Mal 4:6 inatimilika kwa sasa kama vile BWANA wetu alivyo itangaza ndani ya Mt 17:11 na Mk 9:12: Kwa hudma iliyo sawa sawa na ya Eliya, mioyo ya watoto wa Mungu imerudishwa kwa imani ya wababa wakimitume. Na njo shabaha ya ujumbe wa mwisho, kusema wakati wa kurudi kwake BWANA aweze kujitwa kwake taifa lenye kuwa tayari.
Katika unabii wa kibiblia wa Agano la kale, vyote vilivyo kuwa na sehemu ndani ya mpango wa okovu wa Munguuliyo semeka tangu, iwe hata kuhusu Israeli, Kanisa, ao kuhusu Mataifa, na vilevile na yale ambao ya na pashwa pitika kwa kuja kwa kwanza kwa mkombozi na hata pia kuhusu kurundikweke na tena baadaye.
Katika Luke 24, BWANA aliye fufuka alifulia wanafunzi wake yale yote yate yaliyo andikwa kuhusu YEYE ndaniya Torati, katika Zaburina katika Manabii yote yametimilika. Natena akawafungua roho, ili wa elewe mambo hayo yote. Na sasa yanatimilika yale yote yaliyo andikwa ndani ya Agano lakale na Agano Jipya kuhusu wakati huu na BWANA mwaminifu nasi pia amefungua roho zetu ili tuelewe. Kwa neema ya Mungu twa weza tambua maahadi zilizo timilika kwa wakati uliopita, na zili ambazo zinatimilika sasa kwa wa kati yetu.
Kwa mfuno, tunakuta ndani ya Mathayo 3:3 uhakikisho kwamba Mungu kupitia Yohana alitimiza ahadi aliyotowa katika Isa 40:3: „Yohana ndiye aliye tajwa na nabii Isaya akisema sauti ya mtu aliaye nyikani «Itengenezeni njia ya BWANA! Ya nyosheni mapito yake!»“
Wakati ya kuja kwa kwanza kwa Kristo, sehemu ya kwanza ya shahiri ya Malaki 3:1 ilitimilika kupitia hudma ya Yohana mubatizaji: „Angalieni, na ntuma mjumbe wangu naye ataitengeneze njia mbele yangu“. BWANA wetu alihakikisha hii katika Mathayo 11:9-10: „Huyo ndiye aliyeandiikiwa haya, Tazama, MIMI na mtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako atakayeitengeneza njia yakombele yako.“ Sehemu ya pili itatimilika wakatiHekalu litajengwa: „…naye BWANA mnayee mtafuta atalijilia hekalu lake ghafula, naami, Yule mjumbe wa agano mnayemfurahia angelieni, anakuja, asamaBWANA wa majeshi.“
Katika Mathayo 17, tunasoma kuhusu kubadilishwa kwaMukombozi mbeleya macho ya wafuasi watatu na kuhusu kuonekana kwa Musa na Eliya. Na wafuasi wa wakamuuliza BWANA wetu, „Basi kwa nini waandishihunena ya kwamba imempasaEliya kuja kwanza?“ „Naye akajibu akawaambia, kwaliEliya yuaja,naye atatengeneza yote“. Baada ya maneno hayo, akasema, „Ila nawambia ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyo taka.Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao. Ndipo wale wanafuzi walipofahamu ya kuma amesema nao habari ya Yohana mbatizaji“ (shahili 10-13).