Baruwa ya mzunguko - Aprili/Mei 2019
Katika 1 Fal 18, tunaambiwa kwamba Eliya alikusanya taifa la Mungu kwenye mlima Karmeli. Alifanya nini kwanza? Eliya aliita watu wote akawa kusanya ili waamuwe: „Mutasita sita katika ya mawazo mawili hata lini? BWANA akiwa ndiye Mungu, mufwateni, bali ikiwa Baal haya mufwateni yeye“ (1 Fal 18:21). Tena akatwaa mawe kumi na mawili na kujenga mazabahu ya BWANA. Ni mamba gani ya nayo pitika kwa hii wakati wetu kupitia hudma ya Eliya? Fundisho la mituma 12 limekwisha wekwa upya kuenye kinara cha taa, musingi ya imani ya kweli imekwisha wekwa upya,ni kusema mambo yote ndani ya Kanisa yarudi kwahali yake yakimusingi na watu waishi mambo hayo katika uhakika. Kanisa la kweli leo tena lingali linajengwa „…mmejengwa juu ya msingi wa mitume na manabii, naye Yesu kristo mwenyewe ni jiwe kuu la pembeni…“ (Efe 2:20)
Na hapo BWANA Mungu akajibu moto wa Mungu ukateketeza zabibu pamoja na mazabuhu: „Ikawa wakati wa kutoa dhabihu ya jioni, Eliya nabii akakaribia, akasema, Ee BWANA Mungu wa Ibrahimu, na Isaka, na Islaeli nai julikane leo yakuwa wewe ndiwe Mungu katika Islaeli, na yakuwa mimi ni mtumishi wako, naya kuwa ni mefanya mambo haya yote kwa neno lako. Unisikie, Ee, BWANA unisikie, ili watu hawa wajue ya kuwa wewe, BWANA Ndiwe Mungu, naya kuwa wewe umewageuza moyo wakurudie. Ndipo moto wa BWANA ukashuka, ukaiteketeza sadaka ya kuteketezwa, na kuni na mawe, na mavumbi, ukayaramba yale maji yaliyo kuwano kati mfereji…“ (1Fal 18:36-38).
Naye Eliya akamwambia ahadi, „Haya inuka, ule, unywe, kwani pana sauti ya mvua tele“ (shah 41). Tuliambiwa kwamba mvua ilinyesha kwa nguvu. Itakuwaje kwa sasa? Wakati ule, watu walikusanywa na mioyo yao akarudishwa. Hivyo ndivyo ilivyo hata sasa kulingana na Agizo la BWANA: „Ni kusanyieni taifa langu, na Niwa sikilisha maneno yangu!“ (Zab 50:5, Kum 4:10)
Mtume Yakobo ali andiaka: „Eliya alikuwa mtu Kama sisi: a kaomba Kwa bidi…“ (5:17). Yohana mbatizaji alikuwa mtu Kama sisi. Ndugu Branham alikuwa mtu Kama sisi. Ni swali la ku pewa agizo, Kutumwa. Matayo alionyesha, hudma ya nabii aliye tumwa: „Wakaja wa Yelusalemu, na Yudeya yote na inchi zilizo kando ya yordani, wakamwendea ;na kutubia zambi zao, na kubatiziwa naye katika ya mto yordani.“ (Mat 3:5-6)
Watu walikusanyika kwa uwingi. Walio amani mahubiri walitubu, wakajuta, na kukiri zambi zao, na kubatizwa. Vivyo ndivyo ilivyo hata leo: Taifa la Mungu wanatoka Kusini na Kaskazini, Mashariki na Mangaribi. Wote wanaoamini ujumbe was kiungu wanatubu na kubatiziwakatika Jina la Yesu Kristo.
Hao walio batizwa wakati uliopita walisikia na kuamini Yale mjumbe aliwaambia: „Kweli Mimi nawabatiza kwa maji kwa jili ya Toba; Bali yeye ajae nyuma yangu ananguvu kuliko Mimi walabsistahili kuvichukua viatu: yeye atawabatiza kwa Roho mtakatifu na kwa Moto.“ (Shah 11)
Kwa siku ya Pentecoste kulikuweko Kwanza 120 waliokuwa walikusanyika, baadaye watu 3 000 wakaongezeka kwa wale, na walipokea umwangaji wa Roho mtakatifu, na Tena wengi kwa mahali pengene. Hayo yalikuweko mwanzoni na Tena hayo yamehaidiwa hapa mwishoni. Wote wanaoamini kikweli na kubatizwa watakuwa nasehemu kwa umwangaji wa Roho mtakatifu was nguvu ya ajabu, wakati mvua ya Kwanza na ya mwisho itanyesha kwa muda moja moja (Yab 5:7). Wakati Ni karibu kupitia ujumbe wa mwisho Mungu amekwisha rudisha Mambo yote, na atamaliza kazi yake ya ukombozi kwa ushindi pamoja na kanisa lake Bibi arusi.