Book

Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Ewald Frank

library_books Kapitoly: 34 calendar_month 27. 9. 2006

Navigate

Kapitoly

expand_more

Navigate

Kapitoly

Jump to any chapter without leaving the reader.

MASWALI ZILIZO WEKWA MBELE YA NDUGU EWALD FRANK KUTOKA KWA WA HUDMU WA INCHI TOFAUTI 1 Swali La 1: Nimusimamo gani unayo kuhusu hudma ya Ndugu Branham? 2 Swali La 2: Ni toleo gani la haki alilo lipewa Ndugu Branham kwa Utume wake? 3 Swali La 3: Maoni yako nigani, Kuhusu Ujumbe ya Wakati wa Mwisho? 4 Swali La 4: Jee, unamkosowa Nabii kwa mambo Fulani Fulani? 5 Swali La 5: Yakini yako ni gani, Biblia ao Ujumbe? 6 Swali La 6: Jee, Unafundisha Tofauti Nayale ambayo Ndugu Branham ali fundisha? 7 Swali La 7: Jee, Unaami kufunuliwa kwa Mihuri Saba? 8 Swali La 8: Jee, Na Muhuri wa Saba Umefunuliwa? 9 Swali La 9: Jee, Unaamini Kwamba Ufunuo 10:1-7 Imekwisha timiya? 10 Swali La 10: Jee, unaamini ya kwamba ngurumo saba zimefunuliwa kwa ndugu Branham? 11 Swali La 11: Kwa nini Ndugu Branham aliongeya mara nyingi kuhusu “Mvuto Wa tatu?“ 12 Swali La 12: Kwa nini ndugu Braham maranyingi alijilinganisha na Ufunuo 10:7? 13 Swali La 13: Jee, Unaamini Hudma ya Mjumbe wa mnane? 14 Swali La 14: Unaamini fundisho la Parousia? 15 Swali La 15: Jee, unaamini kwamba mwana wa Adamu amekwisha kuja kulingana na Luka 21:27? 16 Swali La 16: Ninamna gani na hudma yako? Inapatikana katika Biblia? 17 Swali La 17: Jee, Unahubiri mahubiri ya Ndugu Branham? 18 Swali La 18: Chakula chakiroho ni gani, jee ni mahubiri ya Ndugu Branham ao Biblia? 19 Swali La 19: Ninani atakaye lionyesha kanisa la wakati wa mwisho kwa BWANA? 20 Swali La 20: Unajisikia jee, kwa wale wanao zihaki jina lako? 21 Swali La 21: Jee, Ndugu Branham alifundisha Kuowa wengi? 22 Swali La 22: Unafundisha je kuhusu Ndoa na Talaka? 23 Swali La 23: Jee, ni vipi kuhusu yale yanayo husu familia ya mutumishi wa Mungu? 24 Swali La 24: Ninamna gani kuhusu kitabu cha nyakati saba za kanisa? 25 Swali La 25: Jee, Muda za Nyakati za kanisa zilimfunuliwa ndugu Branham? 26 Swali La 26: Jee, Ndugu Branham alitabiri kwamba mwisho wa dunia ni katika mwaka wa 1977? 27 Swali La 27: Jee, ndugu Branham aliona kalendari inayo isha kwa mwaka 1977? 28 Swali La 28: Jee, Ubatizo wa roho mtakatifu ni sawa sawa na kuzaliwa upya? 29 Swali La 29: Jee, Ni namna gani kuhusu ono la ndugu Branham katika hema? 30 Swali La 30: Jee, kitu chochote kilicho oneshwa katika ono chaweza kubaki pasipo utimilifu? 31 Swali La 31: Tunaweza kulinganisha namna gani Islaeli na kanisa? 32 Swali La 32: Kulingana na mpango wa okovu tuko katika sehemu gani? 33 KWA MAFUPI 34

Kapitola 13

Swali La 12: Kwa nini ndugu Braham maranyingi alijilinganisha na Ufunuo 10:7?

13 / 34

Jibu: Nimushangao kuona karibu nusu ya maswali yote yana ulizwa kwa namna moja yakieleza kwa Ufunuo 10. Twaweza fanya angalisho tena kwa yale ambayo yalisemeka: Alipokuwa akiongea ku Ufunuo 10:7, alirudilia akisema kwa uwingi kuhusu “Masiri“, haiko kuhusu “siri moja“, ambayo ni “siri ya Mungu“. Ndugu Branham alifanya hayo, kwa kuwa yeye ndie aliekuwa mjumbe wa kanisa la kizazi cha saba, ambamo siri zote zilizo fichwa kupitia yeye. Katika mahubiri yake: „Je mabwana hii ndiyo wakati?“ ya siku 30 Disemba 1962, ndugu Branham alitoa masiri kumi na saba tofauti ambayo zilizo funuliwa. Alianzana na“siri ya Ufalme wa Mungu“na anamaliza na“siri ya kurudi kwa nguzo ya moto“. Yesu kristo ndiye Siri ya Mungu. Hii tunaikuta ikishuhudiwa na 1. Timotheo 3:16 ambapo tunasoma kuhusu“siri ya Mungu“ni katika musemo ya umoja. Wayuda hawa kukubali ufunuo na kuonekana kwa Mungu moja wa kweli katika Yesu Kristo, na mpaka sasa hawaja litambua. Ila kanisa la Agano Jipya lilijua siri ya Mungu toka mwanzo (Wakolosai. 2:2-3, na mengine yo).

Kwa wakati tukiyo hili la ajabu “Siri ya Mungu“ linafikia mwisho, wayuda wataingizwa, kamavile ilivyo funuliwa kwa watumwa wake, manabii. Wakati kanisa la agano Jipya linaonyeshwa, tunasoma neno Mitume na Manabii kwa sababu kanisa la Yesu Kristo limejengwa kwa musingi wa mitume na manabii (Waefeso. 2:20). Wakati kitu kina semeka kuhusu Wayuda, yenye inasikilikana ni „…kama vile alivyo wafunulia watumishi wake manabii“ (Amosi 3:7). Baada ya matangazo katika Ufunuo 10:7, Yohana angeli kula kitabu kinacho funguliwa na aliagizwa: „Unastahili tabiri mara tena…“ Kwa sura 11, manabii wawili wa Israeli watatabiri muda wa myezi 42 huko Yerusalemu, inayo lingana na miaka mitatu na nasu. sihiyo yiko wazi wazi?

Kwa sura ya 8 na 9, ndimo tunapo kutana baragumu sita za kwanza za hukumu na kwa sura ya 10 kunapatikana taganzo.Utimilifu wa kweliwa hio iko kwa sura ya 11, mustari wake 15: „Malaika wa saba akapiga baragumu, pakawa na sauti kuu katika mbingu, zikisema ufulme wa dunia umekwisha kuwa ufalme wa BWANA wetu na Kristo wake, naye atamiliki hata milele na milele.“

Tunastahili kuheshimu utaratibu wa Kiungu unayo oneshwa kwetu katika neno la Mungu. Baada ya baragumu ya saba kulia hapo tuna soma: „…kasirani ambao itakuja, na wakati ya hukumu kwa wale waliokufa…kama vile “…kuwapa malipo watumwa wake, manabii, na watakatifu…“ (Ufunuo.11:15-19). Niya muhimu sana kujua kwamba neno la kihebrania “Shofar“ imetafsirssiwa katika biblia zetu kama“Baragumu“, kulingana na muhuri wa saba na malaika saba wenye baragumu, tangu sura ya 8:2 na kupitia sura 9, na sura ya 10:7 mpaka sura ya 11:15, hii neno “Shofar“ imetumikishwa mara 11. Hizi “Shofar“ (baragumu) tatu za mwisho, zina tangazwa kama vile “sauti“, zinapatikana katika Ufunuo 8:12 na pia katika Ufunuo 10:7: „Ole, ole wao wakaao juu ya nchi!kwa sababubu ya sauti zisaliazo za baragumu za malaika watatu, walio tayari kupiga baragumu!“ (Ufunuo 8:13).

“…isipokuwa katika siku za sauti ya malaika wa saba atakapo kuwa tayari kupiga baragumu…“ (Ufunuo 10:7)

Available translations