Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Swali La 11: Kwa nini Ndugu Branham aliongeya mara nyingi kuhusu “Mvuto Wa tatu?“
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Jibu: Musemo “mvuto wa tatu“ ina maanisha sehemu ya tatu naya mwisho ya hudma yake. Nukuu: „MVUTO WA KWANZA-kuponya, MVUTO WA PILI-Kutabiri. MVUTO WA TATU, KUFUNULIWAA KWANENO, MASIRI ZIKAFUNULIWA…“ (Vitu vya dhahabu Pg 158). Siku 28 Februari 1963, Ndugu Branham alisikiya sauti za ngurumo saba zenye nguvu alizo ziita kila wakati “Ngurumo saba“ kwa kweli alipiga kwenye madhabau mara saba na ngumi yake, akisema: “Sauti za ngurumo saba, zili fwatana moja baada ya nyingine zilikuwa zenye nguvu, zilikuwa zinataka onyesha kitu Fulani.“ (Muhuri wa saba, siku 24 machi 1963). Tena aliongeya kuhusu siri ambayo shetani hajuwi na pia kuhusu “Mvuto wa tatu“ – kuhubiri wale waliyo potea. Alisema tena kuhusu upanga wa mufalme ulio wekwa mikononi mwake na akaweka musemo mara tena “Hii ni mvuto wa tatu“ Alisema tena kuhusu hudma ya neno lililo nenwa.
Jambo lamuhimu nikwamba tuna pashwa pambanuwa tofauti gani iliyo katika ngurumo saba zilizo sikilikana wazi wazi alipokuwa kwenye mlima sunset, mbele ya kuvunjwa kwa mihuri saba na ngurumo saba za Ufunuo 10 ambazo zitatowa sauti yake wakati Malaika wa Agano atakapo shuka akishika kitabu chenye kufunguliwa katika mkono wake. Sauti ya Mungu inasikilikanaka kama vile sauti ya ngurumo yenye nguvu! “Zisikilizeni hizo kelele za sauti yake, na uvumi utokao kinywani mwake … Mungu huunguruma kwa kustaabisha kwa sauti yake, hufanya mambo makuu ambayo hatuwezi kuelewa nayo“ (Ayubu 37:25). Tuone tena kutoka 20:18, Yohana 12:28-29, Waebrania 12:18-19 na mengine).