Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Swali La 14: Unaamini fundisho la Parousia?
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Jibu: Kwa swali hii ni jibu moja moja ninalo toa. Wakati BWANA anakuja, nitachukuliwa katika utukufu pamoja na watakatifu wote. Kila kuja kwa BWANA ni uhakika na ataoneka katika mwili. Neno hili “parusia“ inamanisha kuja kwake katika mwili. Wakati wowote Bibi-Arusi akingali duniani, nikusema BWANA-Arusi bado hajakuja. Wakati atakuja kama BWANA arusi, wafu waliokufa katika Kristo watafufuliwa kwanza, nasi tulio hai tuta badilishwa pamoja tutaenda kumulaki BWANA katika mawingu (1. Wathesalonike 4:13-18). Kwa uhaki hakuna ahadi katika neno la Mungu linalo sema kwamba Kristo ataanza kuja duniani amalize muda kidogo pamoja nasi mbele ya unyakuo kufanyike. Kwa kweli tume arifiwa: „Wakati huo mtu akiwaambia tazama, Kristo yupo hapa ao yuko kule msisadiki“ (Mathayo 24:23). Akawajibu: „Kwa maana kama vile umeme utakavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyo kuwa kuja kwa mwana wa Adamu“ (Mathayo 24:27). Hakuna tena ahadi ya kwamba kushuka kwake kutaanza wakati wa kufunuliwa kwa mihuri ao kwamba kiti cha rehema kitabadilishwa kuwa kiti cha hukumu kwa wakati ule.
Mafundisho ambayo si ya kimaandiko inatokana na kuelewa vibaya maandiko na matafsiri ya watu binafsi. Ndugu Branham alikuwa akisema: „Kwanza ni ujumbe inayo tangulia, mkate uliyo hai wa uzima. Kupitia yeye bibi arusi emeitwa kutoka…Ni jumbe inayo ita taifa kukusanyika, kwanza Ujumbe unatangulia, sasa ni wakati wa kusafisha mataa, Amkeni mukasafishe taa zenu. Ilikuwa kwa saa gani za usiku? Ni kwa saa ya saba ! apana ya sita, kwa saa ya saba. Tazama BWANA arusi tokeni mwende muka mlaki, Amkeni mukatengeze taa zenu!“ Tazama namna gani Roho mtakatifu anavyo ongoza toka 1. Wathesalonike 4 hadi matayo 25 mahali tunasoma kuhusu kelele ya usiku wa manane. Ni mwito wa kuamsha mabikira kumi ambao wote walikuwa katika usingizi. Kulingana na shahili la 10, wale wote ambao wata kuwa tayari wakati BWANA arusi atakuja wataingia pamoja naye katika chumba ya arusi. Twaweza soma katika Ufunuo 19:1-10 ile ambao inahusu karamu la arusi, yeyote anae tofautisha arusi na karamu anapashwa soma Mathayo 22, ambapo arusi na karamu vinatumikishwa mara saba, kama vile kitendo kimoja. Arusi na karamu vitatendeka huko mbinguni (Ufunuo. 19:1-10), siyo duniani. Kanisa Bibi-arusi toka katika vizazi vyote wataonekana katika arusi pamoja na Abrahamu, Isaka, Yakobo na pamoja na wale wote waliokombolewa.