Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 15: Jee, unaamini kwamba mwana wa Adamu amekwisha kuja kulingana na Luka 21:27?

« »

Jibu: La, Sivyo. Kwa kweli mimi siamini yakwamba mwana wa Adamu amekwisha kuja. Ninaamini ya kwamba mwana wa Adamu alijifunua ye mwenyewe kwa njia hiyo moja na kwa alama hiyo moja ya mesiya kupitia hudma ya kinabii, kama vile alivyo fanya ndani ya Yesu alipokuwa akitembea duniani (Luka 17:30). Kwa sura ya kwanza ya Yoane, Natanaeli na Simoni Petro waliishi mazoezi hayo; kwa sura ya 4 ya yoane, pamoja na Yule mwamke kwenye kisima chamaji, katika mat 21 pamoja na wanafunzi wake, wa lio leta punda na mwana punda kwake, ili neno la Zekaria 9:9 liweze kutimia. Kuja kunako semeka katika Luka 21:27, haina uhusiano pamoja na kurudi kwa BWANA-Arusi akija kuchukuwa Bibi-arusi mbele ya ziki kubwa: Hiyo kuja kwa mwana wa Adamu kutafanyika baada ya ziki.

“Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua lita tiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake … Ndipo itakapo onekana ishara yake mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapo omboleza, nao wata mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na ngavu na utukufu mwingi“ (Mathayo 24:29-30, Marko 13:24-32, Luka 21:25-33). Jambo hili ni wazi kwamba baado halija fanyika. Hii kuja yaweza kulinganishwa tena na Daniele 7:13, na Ufunuo 1:7,“Tazama, yu aja na mawingu; na hao walio mchoma; watamwona; na kabila zote za dunia wataombo leza kwa ajili yake. Naam Amina“. Kitendo hiki cha kuja kina husu mataifa yote na zaida sana wa yahudi, ambao hapo ndipo watamtazama Yule ambayo walio mchoma (Zekaria 12:10).