Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 28: Jee, Ubatizo wa roho mtakatifu ni sawa sawa na kuzaliwa upya?

« »

Jibu: La: maneno hayo yaliyo katika kitabu cha nyakati za kanisa, haikutoka kinywani mwa ndugu Branham baali kwa mwandishi wa kitabu na ndio sababu hata haipatikani hata katika mahubiri yaliyo shikwa kwenye kanda na tena haiko maandiko. Moja ni kuzaliwa upya na roho mtakatifu na ingine ni kujazwa na roho mtakatifu. Katika matendo ya mitume 8, watu wali amini kupitia mahubiri ya mwinjilisti Filipo na kubatizwa. Hapo mitume walikuja toka Yerusalemu kuwaombea ili wapate kupokea roho mtakatifu. Katika matendo 10, walio amini wali ishi ujao wa okovu, walitubu, wakasemehewa dhambi, wakahesabiwa haki, kuzaliwa upya na ubatizo wa roho mtakatifu. Kupitia kuzaliwa upya tuna kuwa wana na binti za Mungu kupitia ubatizo waroho mtakatifu tuna wekwa kama viungo vya mwili wa kristo na kupokea nguvu ya kazi (luka 24, 47matendo 1:8, matendo 1, 1. Wakorintho 12:1, 14 etc) yamuhimu ni kuishi hatuwa hizo mbili, hata kama zinaweza kuja kwa mara moja ama tofauti lakini lisiwe ndiyo jambo la kuleta mabishano lakini liwe mazoezi ya kuishi kwa kila mtu binafsi kupitia rehama ya Mungu. Ndugu Branham alisema: „Unapo amini Bwana unapokea mawazo mapya maisha mapya lakini bado haija kuwa ubatizo wa roho mtakatifu. Unaona? Mwaweza kupata kuzaliwa upya wakati munapo amini ; mume pokea uzima wa milele…lakini ubatizo wa roho mtakatifu una kuingiza ku mwili wa Kristo na kupewa zawadi kwa kufanya kazi“ (COD p269, 363, 364).