Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 27: Jee, ndugu Branham aliona kalendari inayo isha kwa mwaka 1977?

« »

Jibu: APANA, kwa kujua kwangu hakuna mtu hata mmoja alie ona maneno inayo lingana na kupata ono kutoka kwa ndugu Branham. Na leo hakuna mtu anaye weza kuamka na kushuhudia historia hii duniani. Nikatika mwaka wa 1966, tulipo sikia mara ya kwanza maneno kuhusu“ONO la kalendari“la ndugu Branham. Baada ya hayo ndipo ono la kalendari lili sambazwa na mimi pia niliandika katika barua yangu ya mzunguko ya Februari 1967 kuhusu hiyo. Tena hapo ndipo nilianza kuwa na mashaka kuhusu mwaka 1977 na kama vile nilionyesha mara nyingi niliuliza ndugu Lee Vayle ufafanuzi kuhusu“ONO la kalendari“kati hiyo barua moja ya januari 1972 alijibu yafwatayo kuhusu ONO la kalendari,“Sasa ndugu Frank, kulingana na watu waliyo tangaza kwamba ndugu Branham aliona kalendari ikiwa mikononi mwake na ikifunguliwa mpaka mwaka wa 1977. Bila mashaka hapa tuna kuta kwamba haikukuwa ono la ndugu Branham, baali ilikuwa kitu Fulani ambacho mtu Fulani ali jiundia, tuliongelea kuhusu jambo hili…“ Tunaendelea kuona ya kwamba wasimamizi wa Marekani hawaja wai kukosowa hiyo utangazaji wa uongo kuhusu mwaka 1977 na mpaka uongo huo unaendelea wa kiutilia ndugu Branham. Hapo maadui zake wamepata namna yaku tumia maneno hayo waki muiita nabii wa uongo wakisema kwamba unabii haukutimia aliyo utabiri kwa ajili ya faida zao wenyewe.