Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

KWA MAFUPI

« »

Kwa furaha kubwa nina tazamanyuma kwa miaka 54 ya kuhubiri Injili na miaka 43 katika hudma Duniani pote, miaka ambayo nilipata neema ya kuchangia neno la kweli na ma million ya watu zaidi ya mainchi 130 katika mikutano na kwenye ma redio na televisheni. Ya wezekana sana sana wandugu wa Bara la Afrika ime kuwa musahada kulingana na ono ambalo ndugu Branham aliona la tai ya Ujerimani ikiruka kwenye Bara la Afrika. Katika inchi zote na katika miji yote nili onyesha nabii na hudma yake lakini nina hubiri Yesu-Kristo kama mkombozi; Ambae ni yeye yule jana, leo na hata milele, na kwa uaminifu, nilihubiri tu neno la Mungu. Sija hwai kufanya mapatano kwa ajili ya neno la Mungu hazarani wala sija wayi kutaja jina la mtu yeyote kati ya wale wanayo chukuwa mafundisho ya uongo. Kwa sasa kulingana na jinsi watu wameinuwa mwanadamu kupita kipimo kama ibada ya uabudu sanamu inavyo endelea kuwekwa katika matendo kwa watu wa nabii pamoja na picha na misalaba, vipande vya mawe zaidi sana kwa maeneo kama makaburi, etc, ambazo wamezigeuza nafasi za kuwa wanatembelea, kwa sasa nina sina uchaguzi fulani baali kupaza sauti yangu igawa sauti yangu inaweza kusikilikana ao apana. ndugu wa Marekani alie nipokea alinitumia kanda ine na CD. Hizi zilinifikia kwa muda mzuri nilipo kuwa nime kwisha maliza kuandika majibu ya maswali hayo, sikupenda tena kuzirudilia mara tena. Nilipo maliza kupokea kanda hizo nilipata uhakikisho kwa ajili ya wateule kuweka kilakitu kwenye nuru ya kweli ya mambo yaliyo geuzwa na kuya weka kwenye nuru ya neno la kweli la milele. Walifikia hatuwa yakumuweka mahali ambayo haikubaliwe na injili ya milele ya Yesu-Kristo wanasema bila kuacha: „Nabii alisema…“ „Nabii aliniambia…“ na mengineyo na mengineyo

Watu hawa hawamutaje Yesu-Kristo tena. Hata hawanatena sehemu katika hayo ambayo wandugu wanashuhudia. Wanashugulika tu na yale ambayo Nabii alisema nayale ambayo alikuwa akisema akiwazia lakini kuhusu yale ambayo Yesu-Kristo aliyo yasema hawaya jaili tena. Wana jaili tu na maisha ya Nabii, habari zake za kuwinda na mahabari za hema, habari zake za kushika ndege…na mengineyo. Hayo ndivyo yanayo kutaniwa kwa uwingi wa mahubiri na yale ambayo ndugu Branham aliyo yasema kama mwanadamu wanaishuhudia kama; ni ASEMA BWANA.

Hii si ndiyo ujao wa kuiacha injili ya kweli ya Bwana wetu Yesu-Kristo kama vile ilivyo hubiriwa na Paulo?(Wagalatia 1). Njia ya upotevu inayo ongoza kwenye ibada ya sanamu? Baada ya miaka makumi ine habari ya maisha yake iliendelea kutangazwa na kuendelea kutokeza maneno mapya! Tuliwai kuwa na habari za maisha ya Yoane mbatizaji, ya Petro ao ya Paulo? Ao tunayo maneno kuhusu maisha ambayo Mungu aliongea kupitia kinywa chao? William Branham alituachia mahubiri ya neno halisi linalo ngaa kama teruji ambalo lina turudisha kwa Mungu.

Ndugu Branham kupitia kinywa chake mwenyewe alihubiri kwamba“kama mtu akikula tunda, anatupa mbegu anaendelea kula tunda“Alisema tena: „unapokula kuku unatupa mifupa“? Ni hayo mambo yanayo fuata yale tunayo ya weka pembeni yote yana fanya kitu kimoja kile na“mifupa“watu wanabishana. Leo tunapashwa uliza: unaamini ujumbe gani? Ni injili gani unayo yihubiri? Hapo mwanzo kulikuwa neno hakuna tafsiri! Hapo mwanzo kulikuwa umoja, hakuna magawanyiko, mapatano – muchanganyiko hainge wezekana. Kwa mwanzo Mungu alitenganisha nuru na giza na iliendelea hivyo hata milele. Yeyote asiye kubali neno la Mungu la kweli pekee kama yakini yake yeye anasaliti ukweli; na hapo amelaaniwa, na kuhukumiwa kuamini uongo na atahukumiwa (2. Wathesalonike 2:10-12) maneno ya ndugu Branham yaliyo magumu kwetu kuelewa, nayale ambayo yanalingana na hudma yake mwenyewe yanapashwa kuachwa katika mikono ya Mungu. “mambo ya siri ni ya Bwana Mungu wetu, lakini mambo yaliyo funuliwa niyetu sisi na watoto wetu milele…“  (Kumbukumbu 29:29)

Wandugu wa dunianzima walionesha uzuni yao kuhusu yale yanayo fanyika huko Marekan. Mimi si muhukumu lakini kupitia mwito wangu wa kiungu wa kweli ningependa nioneshe musimamo wangu. Makao makuu yangu hayako hapa Duniani baali yako mbinguni. Na „sauti ya Mungu“ inasikilikana kupitia utangazaji wa neno la Mungu Duniani pote. Maonyo haya ya kimaandiko yangali ya kweli: „leo kama mtaisikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu kama wakati wa kukasirisha!“ (Waebrania 3:15) Kama vile manabii wote na Bwana na Mitume kwa wakati wali tumika kazi ya Mungu mahali tofauti hata pia Hudma ya ndugu Branham ilitumika sana katika maskani ya Jeffersonville. Hakuna mtu anapashwa kusafiri kwenda Yerusalemu sasa ingawa neno la Mungu lilitokea huko. (Isaya 2, Matendo 2) Nilikuwa nimekwisha pata mahubiri yote ya ndugu Branham iliyowekwa kwenye kanda mbele ya kusinziya kwake, Nahata hivyo nilikuwa na chakula cha kiroho cha kweli mbele ifunguliwe huko Jeffersonville kama „sauti ya Mungu iliyo wekwa kwenye kanda“. Neno la Mungu lililo funuliwa halikuwekwa chini ya uangalizi wa mwanadamu, ila, liko wazi na kusomwa na kila mtu. Kwangu mimi maandiko matakatifu yata dumu kweli milele, ambamo muna maonyo yafuatayo katika Amosi 5:4-6: „Nitafuteni mimi nanyi mutaishi baali msitafute betheli wala msiingie Gelgali, wala msipite kwenda Beel-sheba; kwani Gelgali hakika yake itaenda utumwani na Betheli itakuwa ubatili. Mutafuteni Bwana nanyi mtaishi…“ Hizo mahali zote zilikuwa mahali ambazo Mungu alikuwa akijifunua kwa taifa lake, lakini tena baadae ziligeuka kuwa nafasi za upotevu. Yerusalemu mji uliyo chaguliwa na Mungu mwenyewe ulibomolewa mara saba. Na mlima Moria ambapo hekalu la Mungu lilikuwa limejengwa, wa Islamu waliujenga Musikiti yao ya d’EL ASKA na Dome la mwamba. Wakati Hudma ya Mungu inapotumika mahali Fulani, na fasi hiyo inabaki kuwa ya muhimu sana kwa kazi ya Mungu. Lakini wakati kazi ya Mungu ina malizika hapo, nafasi hiyo inageuka kuwa nafasi ya ibada ya sanamu na mengineyo…na wakati wa mfalme Ezekia wa Islaeli nao pia waliabudu nyoka ya shaba ambao Musa alipanika jangwani na kuleta masadaka. Ezekia hakufanya jambo lingine isipokuwa kuibomoa nyoka hiyo kwa vipande vipande (2. Wafalme 18:1-4).

Leo angelituambia „Nitafuteni mimi nanyi mutaishi!“ hawezi kusema „Nendeni Yerusalemu ao Jeffersonville“ hawezi kusema “fanyeni safari ya kuenda kwenye kaburi ya nabii, nendeni huko Arizona ao kufunga safari kuenda kwenye mlima Sunset“ kwa kuwa alisema: „mwanamke unisadiki; saa inakuja ambayo hamtamuabudu Baba katika mlima huu wala kule Yerusalema, … Lakini saa ina kuja nayo sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamuabudu Baba katika roho na kweli…“ (Yohana 4:21-25) Yale ambayo Bwana aliyo yasema kwa wakati wake yataendelea kuwa ya kweli leo hata milele Amina! Amina! Nami nilimjua ndugu Branham kama mtu nilikula pamoja naye kwenye meza moja, nilitembea nae katika gari lake. Aliniambiya maneno ambayo yanajulikana kwa watu wachache, nina wekamabaruwa zake 21 alizo niandikia kutoka kwa mwaka 1958 mpaka 1965. Kwa ombi lake la hapo hapo nilihubiri mara mbili katika maskani yake huko Jeffersonville. Niyeye alie niomba kusema kwa pahali yake katika mukutano wa wafanya Biashara inayo itwa“ujao wa injili „yaani“ full gospel“kwa Demos Shakarian kwenye „Cliftonis Cafeteria“ya huko Los Angeles. Ni mambo ambayo nina ya kumbuka kwa furaha. Hata aliniambia jina ya ndugu alie mlipia deni yake ya kodi ya dola 40, 000, kwa kusudi aweze kugomboa vitambulisho vyake yaani“passport“nili kunywa chai kwake nyumbani Baada ya hizo safari zote nilizo zifanya niki mtembelea huko Tucson, nilifanya saa nyingi za usiku katika offisi yake. Lakini sasa habari za maisha yake zina kazi gani kuhusu shahuri za Mungu? Ndugu Branham yeye pia alikuwa mwanadamu. siya kushangaza wakati ya mahubiri, alisema 700 pahali pa 7000, ao kusema kama Henoki alitembea na Mungu muda wa miaka 500 na japo alimaliza miaka 365 hapa duniani. Hiyo inaonesha namna gani mwanadamu anaweza kujidanganya kupitia kwa ulimi wake. Kwa mfano alipo sema “…mbegu zita chomwa…“. Badae alijikosoa hiyo akasema.“Makapi yata chomwa lakini mbegu zita pelekwa katika gala la mbinguni „Alipo sema kwamba Noa alihubiri miaka 120, hapo anarudilia maneno ambayo wengine walikuwa wa mesema lakini miaka 120 ndiyo nyakati ambayo Mungu alikuwa ame panga kwa mwanadamu katika (Mwanzo 5:3) Noa alikuwa na ukubwa wa miaka 500, alipozaa watoto wake 3 (Mwanzo 5:32) na alikuwa na 600 wakati garika ilipo fika hapa duniani. (Mwanzo 7:6) Ingawa ndugu Branham alikuwa na Hudma ya kinabii isiyi shindwa kuna maneno machache aliyo yasema ambayo inaonyesha kwamba ni mwanadamu kama wengine. Kwa mfano kama mwanadamu alisema mambo yafuatayo katika mahubiri yake“Unyakuo“akiilinganisha na 1. Wathesalonike 4, ambayo ina sema kuhusu kurudi kwa Kristo Bwana wetu (…mambo matatu ambayo yanastahili kutendeka mbele yakuonekana kwa Bwana mwenyewe): sauti ya agizo, sauti ya malaika mkuu, parapanda ya Mungu…Yesu atatimiza mambo haya matatu atakapo shuka…“ Ndugu Branham alitaka sema kwamba mambo haya matatu yatatimia wakati ya Yesu atarudi.“kwa kuwa twawaambiyeni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai tutakaosalia hata wakati wakuja kwake Bwana, hakika hatuta watangulia wao walio kwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe (sio Ujumbe) atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko na sauti ya Mungu; nao walio kufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu ili tumlaki Bwana hewani na hivyo tuta kuwa pamoja na Bwana milele“ (1. Wathesalonike 4:15-17). Mambo haya yatatimia kwa siku moja na kwa wakati moja.“Angalieni na waambia ninyi siri; Hatuta lala sote lakini sote tutabadilika kwa dakika moja kufumba na kufumbua wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tuta badilika (1. Wakorintho 15:51-52). Ndugu Branham alisema wazi waazi“kwanza ujumbe unatangulia na sasa ni wakati wakusafisha taa. Amkeni na mkasafishe taa zenu…“ Hii siyo 1. Wathesalonike 4, bali ni matayo 25, 6: „Tazameni Bwana Arusi anakuja ondokeni mwende muka mlaki“misemwa Fulani isiyo eleweka, mambo yakuunda yanatumiwa kama mafundisho, wakisema kwamba tangu kufunguliwa kwamihuri, Yesu aliacha kiti cha rehema ambacho kimegeuzwa kuwa kiti cha hukumu nayeiko katika“mwendeleo wa kushuka“. Hii nimaneno gani ya upuuzi ambayo hayaeleweki!

Mambo mengi yangeliweza kuongelewa kuhusu hiyo lakini tusimamie hapa kwa ajili ya maelezo yafuatayo: katika miaka hii 14ya kwanza tangu mwaka wa 1966, kulikuwa mwenendo mzuri katika ujumbe kwa mwaka 1979, shetani alijaribu kubomoa kazi ya Mungu na kuuwa ushawishi wa hudma hii. Tangu wakati huo mafundisho ya uongo yote tofauti yaliingizwa. Wandugu wengi hawajui namna gani kumeanza mwanzo mpya, na ginsi gani mwendeleo ya kazi iliendelea tangu wakati ndugu Branham alirudi nyumbani. Ndugu Branham aliona ginsi Bibi arusi alitoka katika hatua lakini tena akaona ginsi anarudishwa tena kwenye hatua kupitia neno.

Wakati yoyote mahubiri yake yaliachwa ginsi yalivyo kuwa, Hapakukuwa magawanyiko hata moja. Magawanyiko yalianza fanyika kwa mwaka wa1980, wakati wandugu walianza kukusanya ma nukuu za ndugu Branham na kuzitosha ma hali pake na hapo walizifanya kuwa mafundisho mapya na kujipatia matumaini ambayo hailingane na maandiko matakatifu. Neno linaturudisha katika inchi ya Ahadi lakini matafsiri yanaturudisha“katika ukiwa“ (no man’s land).

Kulingana na hali yenye iko kwa sasa tuna weza shuhudia kwamba; hakuna mwana damu anaeweza kutatua shida zilizo katika ujumbe wa mwisho isipo kuwa Mungu mwenyewe. Wote wana sema: „wateule hawawezi danganywa“na ijapo kuwa hata wao wenyewe wame kwisha, wamejidanganya na kudanganya wengine upotevu hauja wai kutoka inje ila unatoka ndani (Matendo 20:30) naniyakushangaza ina karibiyana na ya kweli. Wanaendelesha mafundisho yao binafsi wakiziita kuwa ni ufunuo lakini hauwezi kupata ushuhuda wake katika maandiko matakatifu. Inauzunisha! Lakini kwa kweli ni lazima yale yaliyofanyika katika madhehebu huko mwanzoni ya rudi tena leo katika ujumbe wa wakati ya mwisho. Wana sema“Nabii wao“na“Nabii mke wao“ao waanzilishi wao. Kukirikwawo ni! “Tunaamini Biblia na nabii wetu alisema!“

Ninasema hii tena katika jina la Bwana wetu Yesu-Kristo: musimamo wa kweli ni wa kuheshimu neno la Mungu na kulitambua kama ndilo linalo stahili. Kila Dhehebu imeelewa vibaya na kutafsiri maandiko Fulani za Biblia ambayo yaligeuka kwao kuwa ya muhimu na nikwahiyo madini hayo yamejengwa. Hiyo ndiyo yenye imepatikana ikikutendeka katika ujumbe wa wakati pamoja na Ufunuo 10, kila mafundisho ya uongo yaliyo katika ujumbe wawaki, inakuja katika njia moja ao nyingine kwasababu ya kutoelewa Ufunuo 10, na kuitafsiri vibaya na wameitowa kwa nafasi yake na kuyiweka kwa namna mbaya.

Ndugu Branham ameturudisha kwa musingi ya kimaandiko kwenye kinara na wanatembea kwa hatua moja na neno la Mungu kwa ujao. Hatuamini upofu, ila tuna chunguza katika maandiko ilituona kama mambo tunayo yafundishwa kama ni kweli (Matendo 17:18). Tuna weka vizuri ndugu Branham katika Malaki 4:5-6, kama nabii alie ahidiwa. Alikuwa mjumbe wa kizazi cha mwisho cha kanisa. Amen.

Ni itaji yangu kumutumikia Bwana kwa namna hii iliwale wote wanayo na sehemu ya kanisa bibi-arusi wa Yesu-Kristo warudishwe katika umoja wa Imani. Miaka makumi ine imepita tangu ndugu Branham alichukuliwa katika utukufu na sasa tuna ngojea kurudi na nguvu yaajabu yakitendo cha Mungu ambacho hakija kuweko hapa Duniani. Kupitia uvumilivu, Ayubu ndie mfano wetu katika Biblia alie rudishiwa mara dhufu. Shetani alikuwa ameharibu kila kitu kilicho kuwa karibu naye. Hata muke wake alimgeuka akisema: „Ungali unasimama kwa musimamo wako? Umulaani Mungu ukakufe“ (Ayubu 2:9). Marafiki wake wa karibu walimujaribu na hawakumuamini tena. Lakini sasa wakati ilifika ambayo Mungu aliongea na Ayubu na Hali yake yote ikabadilika. Ayubu aliwaombea marafiki zake na akarudishiwa maradhufu zaidi ya yale aliyo kuwa nayo mbele (Ayubu 42:10-17). Mfano hii ilituachiwa ikilinganishwa na ahadi ya nvuwa ya kwanza nayamwisho ambayo itatembea na kitendo cha mwisho cha kazi ya Mungu mbele ya kurudi kwa Kristo. Wakati Ayubu alipopata jibu maneno ambayo muke wake alisema pamoja na yale mambo ambayo marafiki wake walimfanyizia hayakukumbukwa tena. Hivyo ndivyo itakavyo kuwa hata na kwetu.“kwa hiyo ndugu vumilieni hata kuja kwake Bwana…, mume sikia habari ya subira yake Ayubu, mmeuona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwingi wa Rehema…“  (Yakobo 5:7-11)

Mfano wa pili ni Yusufu alietupwa katika shimo na ndugu zake wenyewe na kufungwa katika jela pasipo kosa kwa ajili ya mwanamke. Hiyo ndiyo njia ya kilindi ambayo angeweza kupitia kwanza mbele kuweza kuwa mgawaji wa chakula kwa ndugu zake wakati wa njala. Hakuwasema vibaya, ila ali waambia: „Munikaribie na waka mkaribia. Akasema mimi ni Yusufu ndugu yenu ambaye mlimuuzisha kwenda Misri. Basi sasa msihuzunike wala msiudhike nafsi zenu kwa kuniuza huku maana Mungu alinipeleka mbele yenu kuhifadhi maisha ya watu … na sasa si nyinyi mulio nituma huku ila ni Mungu…“ (Mwanzo 45)

Hakungelikuwa Ayubu hatunge lijua kuhusu kurudishiwa kwa maradhufu. Hakunge kuweko Yusufu hatungelikuwa na mfano wa ugawaji wa chakula kwa wakati ya njaa. Hakunge kuwako Yohana mbatizaji, njia ya Bwana hainge weza kutayarishwa. Hakunge kuweko mtume Paulo mataifa hawange weza kupata namna ya kuisikia injili. Hakunge kuweko hudma ya ndugu Branham hakungekuwa ujumbe wa wakati wa mwisho. Ndugu Frank hangelipokea mwito wa hapo hapo na kutumwa, Dunia hainge lijua kuhusu Ujumbe. Kwa maneno haya yote hatuja ongeya kuhusu ma hudma za kanisa ya pahali lakini ni hudma zinazo fungwa hapo hapo kwa yale yaliyo fanyika kuhusu Habari za mpango wa okovu wa Mungu. Kulingana na andiko lililo nukuuliwa kwa mwanzo ya kitabu hiki. Niliandika kitabu hiki ni kiwa na zamiri mzuri kwa hiyo nina watakia wote waachiliwe kutoka katika mitego ya mwovu wawe huru wasiendelee kuwa wafungwa wa matafsiri ya nayo wavutia nyuma yayale ambayo wa nayo yataka. kwa kweli kama vile roho mtakatifu ndie anaetuongoza katika kweli yote (Yohana 16:13), na ni hivyo ginsi Roho za upotevu zinaongoza kwa mafundisho ya uongo inayo toka kwa mwovu. (1Timotheo 4:1) Mwaka wa neema umekuja na kufunguliwa kwa kiungu kwa wafungwa inaendelea tangaziwa kwa wote (Luka 4:17-21) kila mtu anaweza kurudi kwa Bwana na kwa neno lake na kupokea ahadi kulingana na mapenzi ya Mungu (Waebrania 10:35-38).

Kwa neema ya Mungu nita uchukuwa musalaba wangu – Bali si uzito wa kutoelewa na matafsiri – mpaka wakati nitapokea taji la uzima. Nitachukuwa Aibu ya Kristo na Aibu ya ndugu Branham na Aibu yangu mwenyewe mpaka nitakapo ingia katika utukufu. Kulingana na hali ya maisha na mimi nilikubali Aibu kama ilivyo kuwa katika maisha ya watumishi wote waliyo mtumikia Mungu hapa Duniani. Itaji yangu kama ilivyo kuwa itaji ya watumishi wote wa Mungu inaendelea kuwa ya kutumikia taifa la Mungu kupitia utangazaji wa shahuri zote za Mungu pasipo makosa. Mungu aweza kunikubalia hiyo mpaka mwisho wa pumzi yangu ya mwisho. Nina weza kusema mimi mwenyewe yale Bwana wangu na mkombozi angeweza kusema kwake mwenyewe“mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwengu ili nishuhudie kweli, kila alie wa kweli husikia sauti yangu.“ (Yohana 18:37) Nina penda kila mutumishi wa kweli wa Mungu kusema hivi,“Nimezaliwa upya kwa neno moja na kwa roho moja kwa matumaini ya nayo ishi ili ni shuhudie ukweli.“ninaweza kusema mbele ya Mungu kama vile mtume Yoane alivyo katika kweli (1. Yohana 2:21) na kwamba; „Yule anae jua kweli hutusikia…“  (1. Yohana 4:6) „…Yule alie wa Mungu husikia maneno ya Mungu… (Yohana 8:47). Hapo mwanzo kulikuwa neno, Hilo neno ndilo tunalo sasa kwa mwisho. kila mtafsiri yote na maoni ya mtu ni sumu inayo toka kwa muovu anaejionyesha kila wakati kama vile malaika wa nuru kusudi apofushe watu. Kile ambacho Mungu alituma kufanya, kitatimilika kanisa-bibi arusi Duniani pote: Bibi arusi atamlaki Bwana Arusi akiwa tayari wakati atakapo kuja. Nina samba mbele ya Mungu kila nafsi iliyo chaguliwa kuwa na sehemu kwa kanisa bibi arusi, nakuita waliyo chaguliwa kutoka katika kila muvurugano waweze kuji weka kwa mustari wa neno la Mungu ili waifikie umoja wa Imani. Hakuna mtu anae stahili kufanya watu kuwa wafungwa wake katika maeneo tofauti na kuwafanya watumwa ili waiamini matafsiri yake mwenyewe. Bali wafunguliwe na waamini tu yale ambayo maandiko matakatifu yanayo sema. Amen!

“Na Roho na Bibi – arusi wasema, njoo! Naye asikiaye na aseme, njoo! Naye mwenye kiu na aje; na yeye atakaye, na ayatwae maji ya uzima bure“.

“Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, naami; naja upesi, Amina; na uje Bwana Yesu. Neema ya Bwana yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.“ (Ufunuo 22:17, 20-21)

Kwa furaha kubwa nina tazamanyuma kwa miaka 54 ya kuhubiri Injili na miaka 43 katika hudma Duniani pote, miaka ambayo nilipata neema ya kuchangia neno la kweli na ma million ya watu zaidi ya mainchi 130 katika mikutano na kwenye ma redio na televisheni. Ya wezekana sana sana wandugu wa Bara la Afrika ime kuwa musahada kulingana na ono ambalo ndugu Branham aliona la tai ya Ujerimani ikiruka kwenye Bara la Afrika. Katika inchi zote na katika miji yote nili onyesha nabii na hudma yake lakini nina hubiri Yesu-Kristo kama mkombozi; Ambae ni yeye yule jana, leo na hata milele, na kwa uaminifu, nilihubiri tu neno la Mungu. Sija hwai kufanya mapatano kwa ajili ya neno la Mungu hazarani wala sija wayi kutaja jina la mtu yeyote kati ya wale wanayo chukuwa mafundisho ya uongo. Kwa sasa kulingana na jinsi watu wameinuwa mwanadamu kupita kipimo kama ibada ya uabudu sanamu inavyo endelea kuwekwa katika matendo kwa watu wa nabii pamoja na picha na misalaba, vipande vya mawe zaidi sana kwa maeneo kama makaburi, etc, ambazo wamezigeuza nafasi za kuwa wanatembelea, kwa sasa nina sina uchaguzi fulani baali kupaza sauti yangu igawa sauti yangu inaweza kusikilikana ao apana. ndugu wa Marekani alie nipokea alinitumia kanda ine na CD. Hizi zilinifikia kwa muda mzuri nilipo kuwa nime kwisha maliza kuandika majibu ya maswali hayo, sikupenda tena kuzirudilia mara tena. Nilipo maliza kupokea kanda hizo nilipata uhakikisho kwa ajili ya wateule kuweka kilakitu kwenye nuru ya kweli ya mambo yaliyo geuzwa na kuya weka kwenye nuru ya neno la kweli la milele. Walifikia hatuwa yakumuweka mahali ambayo haikubaliwe na injili ya milele ya Yesu-Kristo wanasema bila kuacha: „Nabii alisema…“ „Nabii aliniambia…“ na mengineyo na mengineyo

Watu hawa hawamutaje Yesu-Kristo tena. Hata hawanatena sehemu katika hayo ambayo wandugu wanashuhudia. Wanashugulika tu na yale ambayo Nabii alisema nayale ambayo alikuwa akisema akiwazia lakini kuhusu yale ambayo Yesu-Kristo aliyo yasema hawaya jaili tena. Wana jaili tu na maisha ya Nabii, habari zake za kuwinda na mahabari za hema, habari zake za kushika ndege…na mengineyo. Hayo ndivyo yanayo kutaniwa kwa uwingi wa mahubiri na yale ambayo ndugu Branham aliyo yasema kama mwanadamu wanaishuhudia kama; ni ASEMA BWANA.

Hii si ndiyo ujao wa kuiacha injili ya kweli ya Bwana wetu Yesu-Kristo kama vile ilivyo hubiriwa na Paulo?(Wagalatia 1). Njia ya upotevu inayo ongoza kwenye ibada ya sanamu? Baada ya miaka makumi ine habari ya maisha yake iliendelea kutangazwa na kuendelea kutokeza maneno mapya! Tuliwai kuwa na habari za maisha ya Yoane mbatizaji, ya Petro ao ya Paulo? Ao tunayo maneno kuhusu maisha ambayo Mungu aliongea kupitia kinywa chao? William Branham alituachia mahubiri ya neno halisi linalo ngaa kama teruji ambalo lina turudisha kwa Mungu.

Ndugu Branham kupitia kinywa chake mwenyewe alihubiri kwamba“kama mtu akikula tunda, anatupa mbegu anaendelea kula tunda“Alisema tena: „unapokula kuku unatupa mifupa“? Ni hayo mambo yanayo fuata yale tunayo ya weka pembeni yote yana fanya kitu kimoja kile na“mifupa“watu wanabishana. Leo tunapashwa uliza: unaamini ujumbe gani? Ni injili gani unayo yihubiri? Hapo mwanzo kulikuwa neno hakuna tafsiri! Hapo mwanzo kulikuwa umoja, hakuna magawanyiko, mapatano – muchanganyiko hainge wezekana. Kwa mwanzo Mungu alitenganisha nuru na giza na iliendelea hivyo hata milele. Yeyote asiye kubali neno la Mungu la kweli pekee kama yakini yake yeye anasaliti ukweli; na hapo amelaaniwa, na kuhukumiwa kuamini uongo na atahukumiwa (2. Wathesalonike 2:10-12) maneno ya ndugu Branham yaliyo magumu kwetu kuelewa, nayale ambayo yanalingana na hudma yake mwenyewe yanapashwa kuachwa katika mikono ya Mungu. “mambo ya siri ni ya Bwana Mungu wetu, lakini mambo yaliyo funuliwa niyetu sisi na watoto wetu milele…“ (Kumbukumbu 29:29)

Wandugu wa dunianzima walionesha uzuni yao kuhusu yale yanayo fanyika huko Marekan. Mimi si muhukumu lakini kupitia mwito wangu wa kiungu wa kweli ningependa nioneshe musimamo wangu. Makao makuu yangu hayako hapa Duniani baali yako mbinguni. Na „sauti ya Mungu“ inasikilikana kupitia utangazaji wa neno la Mungu Duniani pote. Maonyo haya ya kimaandiko yangali ya kweli: „leo kama mtaisikia sauti yake, msifanye migumu mioyo yenu kama wakati wa kukasirisha!“ (Waebrania 3:15) Kama vile manabii wote na Bwana na Mitume kwa wakati wali tumika kazi ya Mungu mahali tofauti hata pia Hudma ya ndugu Branham ilitumika sana katika maskani ya Jeffersonville. Hakuna mtu anapashwa kusafiri kwenda Yerusalemu sasa ingawa neno la Mungu lilitokea huko. (Isaya 2, Matendo 2) Nilikuwa nimekwisha pata mahubiri yote ya ndugu Branham iliyowekwa kwenye kanda mbele ya kusinziya kwake, Nahata hivyo nilikuwa na chakula cha kiroho cha kweli mbele ifunguliwe huko Jeffersonville kama „sauti ya Mungu iliyo wekwa kwenye kanda“. Neno la Mungu lililo funuliwa halikuwekwa chini ya uangalizi wa mwanadamu, ila, liko wazi na kusomwa na kila mtu. Kwangu mimi maandiko matakatifu yata dumu kweli milele, ambamo muna maonyo yafuatayo katika Amosi 5:4-6: „Nitafuteni mimi nanyi mutaishi baali msitafute betheli wala msiingie Gelgali, wala msipite kwenda Beel-sheba; kwani Gelgali hakika yake itaenda utumwani na Betheli itakuwa ubatili. Mutafuteni Bwana nanyi mtaishi…“ Hizo mahali zote zilikuwa mahali ambazo Mungu alikuwa akijifunua kwa taifa lake, lakini tena baadae ziligeuka kuwa nafasi za upotevu. Yerusalemu mji uliyo chaguliwa na Mungu mwenyewe ulibomolewa mara saba. Na mlima Moria ambapo hekalu la Mungu lilikuwa limejengwa, wa Islamu waliujenga Musikiti yao ya d’EL ASKA na Dome la mwamba. Wakati Hudma ya Mungu inapotumika mahali Fulani, na fasi hiyo inabaki kuwa ya muhimu sana kwa kazi ya Mungu. Lakini wakati kazi ya Mungu ina malizika hapo, nafasi hiyo inageuka kuwa nafasi ya ibada ya sanamu na mengineyo…na wakati wa mfalme Ezekia wa Islaeli nao pia waliabudu nyoka ya shaba ambao Musa alipanika jangwani na kuleta masadaka. Ezekia hakufanya jambo lingine isipokuwa kuibomoa nyoka hiyo kwa vipande vipande (2. Wafalme 18:1-4).

Leo angelituambia „Nitafuteni mimi nanyi mutaishi!“ hawezi kusema „Nendeni Yerusalemu ao Jeffersonville“ hawezi kusema “fanyeni safari ya kuenda kwenye kaburi ya nabii, nendeni huko Arizona ao kufunga safari kuenda kwenye mlima Sunset“ kwa kuwa alisema: „mwanamke unisadiki; saa inakuja ambayo hamtamuabudu Baba katika mlima huu wala kule Yerusalema, … Lakini saa ina kuja nayo sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamuabudu Baba katika roho na kweli…“ (Yohana 4:21-25) Yale ambayo Bwana aliyo yasema kwa wakati wake yataendelea kuwa ya kweli leo hata milele Amina! Amina! Nami nilimjua ndugu Branham kama mtu nilikula pamoja naye kwenye meza moja, nilitembea nae katika gari lake. Aliniambiya maneno ambayo yanajulikana kwa watu wachache, nina wekamabaruwa zake 21 alizo niandikia kutoka kwa mwaka 1958 mpaka 1965. Kwa ombi lake la hapo hapo nilihubiri mara mbili katika maskani yake huko Jeffersonville. Niyeye alie niomba kusema kwa pahali yake katika mukutano wa wafanya Biashara inayo itwa“ujao wa injili „yaani“ full gospel“kwa Demos Shakarian kwenye „Cliftonis Cafeteria“ya huko Los Angeles. Ni mambo ambayo nina ya kumbuka kwa furaha. Hata aliniambia jina ya ndugu alie mlipia deni yake ya kodi ya dola 40, 000, kwa kusudi aweze kugomboa vitambulisho vyake yaani“passport“nili kunywa chai kwake nyumbani Baada ya hizo safari zote nilizo zifanya niki mtembelea huko Tucson, nilifanya saa nyingi za usiku katika offisi yake. Lakini sasa habari za maisha yake zina kazi gani kuhusu shahuri za Mungu? Ndugu Branham yeye pia alikuwa mwanadamu. siya kushangaza wakati ya mahubiri, alisema 700 pahali pa 7000, ao kusema kama Henoki alitembea na Mungu muda wa miaka 500 na japo alimaliza miaka 365 hapa duniani. Hiyo inaonesha namna gani mwanadamu anaweza kujidanganya kupitia kwa ulimi wake. Kwa mfano alipo sema “…mbegu zita chomwa…“. Badae alijikosoa hiyo akasema.“Makapi yata chomwa lakini mbegu zita pelekwa katika gala la mbinguni „Alipo sema kwamba Noa alihubiri miaka 120, hapo anarudilia maneno ambayo wengine walikuwa wa mesema lakini miaka 120 ndiyo nyakati ambayo Mungu alikuwa ame panga kwa mwanadamu katika (Mwanzo 5:3) Noa alikuwa na ukubwa wa miaka 500, alipozaa watoto wake 3 (Mwanzo 5:32) na alikuwa na 600 wakati garika ilipo fika hapa duniani. (Mwanzo 7:6) Ingawa ndugu Branham alikuwa na Hudma ya kinabii isiyi shindwa kuna maneno machache aliyo yasema ambayo inaonyesha kwamba ni mwanadamu kama wengine. Kwa mfano kama mwanadamu alisema mambo yafuatayo katika mahubiri yake“Unyakuo“akiilinganisha na 1. Wathesalonike 4, ambayo ina sema kuhusu kurudi kwa Kristo Bwana wetu (…mambo matatu ambayo yanastahili kutendeka mbele yakuonekana kwa Bwana mwenyewe): sauti ya agizo, sauti ya malaika mkuu, parapanda ya Mungu…Yesu atatimiza mambo haya matatu atakapo shuka…“ Ndugu Branham alitaka sema kwamba mambo haya matatu yatatimia wakati ya Yesu atarudi.“kwa kuwa twawaambiyeni haya kwa neno la Bwana, kwamba sisi tulio hai tutakaosalia hata wakati wakuja kwake Bwana, hakika hatuta watangulia wao walio kwisha kulala mauti. Kwa sababu Bwana mwenyewe (sio Ujumbe) atashuka kutoka mbinguni pamoja na mwaliko na sauti ya Mungu; nao walio kufa katika Kristo watafufuliwa kwanza. Kisha sisi tulio hai tuliosalia, tutanyakuliwa pamoja nao katika mawingu ili tumlaki Bwana hewani na hivyo tuta kuwa pamoja na Bwana milele“ (1. Wathesalonike 4:15-17). Mambo haya yatatimia kwa siku moja na kwa wakati moja.“Angalieni na waambia ninyi siri; Hatuta lala sote lakini sote tutabadilika kwa dakika moja kufumba na kufumbua wakati wa parapanda ya mwisho; maana parapanda italia na wafu watafufuliwa, wasiwe na uharibifu, nasi tuta badilika (1. Wakorintho 15:51-52). Ndugu Branham alisema wazi waazi“kwanza ujumbe unatangulia na sasa ni wakati wakusafisha taa. Amkeni na mkasafishe taa zenu…“ Hii siyo 1. Wathesalonike 4, bali ni matayo 25, 6: „Tazameni Bwana Arusi anakuja ondokeni mwende muka mlaki“misemwa Fulani isiyo eleweka, mambo yakuunda yanatumiwa kama mafundisho, wakisema kwamba tangu kufunguliwa kwamihuri, Yesu aliacha kiti cha rehema ambacho kimegeuzwa kuwa kiti cha hukumu nayeiko katika“mwendeleo wa kushuka“. Hii nimaneno gani ya upuuzi ambayo hayaeleweki!

Mambo mengi yangeliweza kuongelewa kuhusu hiyo lakini tusimamie hapa kwa ajili ya maelezo yafuatayo: katika miaka hii 14ya kwanza tangu mwaka wa 1966, kulikuwa mwenendo mzuri katika ujumbe kwa mwaka 1979, shetani alijaribu kubomoa kazi ya Mungu na kuuwa ushawishi wa hudma hii. Tangu wakati huo mafundisho ya uongo yote tofauti yaliingizwa. Wandugu wengi hawajui namna gani kumeanza mwanzo mpya, na ginsi gani mwendeleo ya kazi iliendelea tangu wakati ndugu Branham alirudi nyumbani. Ndugu Branham aliona ginsi Bibi arusi alitoka katika hatua lakini tena akaona ginsi anarudishwa tena kwenye hatua kupitia neno.

Wakati yoyote mahubiri yake yaliachwa ginsi yalivyo kuwa, Hapakukuwa magawanyiko hata moja. Magawanyiko yalianza fanyika kwa mwaka wa1980, wakati wandugu walianza kukusanya ma nukuu za ndugu Branham na kuzitosha ma hali pake na hapo walizifanya kuwa mafundisho mapya na kujipatia matumaini ambayo hailingane na maandiko matakatifu. Neno linaturudisha katika inchi ya Ahadi lakini matafsiri yanaturudisha“katika ukiwa“ (no man’s land).

Kulingana na hali yenye iko kwa sasa tuna weza shuhudia kwamba; hakuna mwana damu anaeweza kutatua shida zilizo katika ujumbe wa mwisho isipo kuwa Mungu mwenyewe. Wote wana sema: „wateule hawawezi danganywa“na ijapo kuwa hata wao wenyewe wame kwisha, wamejidanganya na kudanganya wengine upotevu hauja wai kutoka inje ila unatoka ndani (Matendo 20:30) naniyakushangaza ina karibiyana na ya kweli. Wanaendelesha mafundisho yao binafsi wakiziita kuwa ni ufunuo lakini hauwezi kupata ushuhuda wake katika maandiko matakatifu. Inauzunisha! Lakini kwa kweli ni lazima yale yaliyofanyika katika madhehebu huko mwanzoni ya rudi tena leo katika ujumbe wa wakati ya mwisho. Wana sema“Nabii wao“na“Nabii mke wao“ao waanzilishi wao. Kukirikwawo ni! “Tunaamini Biblia na nabii wetu alisema!“

Ninasema hii tena katika jina la Bwana wetu Yesu-Kristo: musimamo wa kweli ni wa kuheshimu neno la Mungu na kulitambua kama ndilo linalo stahili. Kila Dhehebu imeelewa vibaya na kutafsiri maandiko Fulani za Biblia ambayo yaligeuka kwao kuwa ya muhimu na nikwahiyo madini hayo yamejengwa. Hiyo ndiyo yenye imepatikana ikikutendeka katika ujumbe wa wakati pamoja na Ufunuo 10, kila mafundisho ya uongo yaliyo katika ujumbe wawaki, inakuja katika njia moja ao nyingine kwasababu ya kutoelewa Ufunuo 10, na kuitafsiri vibaya na wameitowa kwa nafasi yake na kuyiweka kwa namna mbaya.

Ndugu Branham ameturudisha kwa musingi ya kimaandiko kwenye kinara na wanatembea kwa hatua moja na neno la Mungu kwa ujao. Hatuamini upofu, ila tuna chunguza katika maandiko ilituona kama mambo tunayo yafundishwa kama ni kweli (Matendo 17:18). Tuna weka vizuri ndugu Branham katika Malaki 4:5-6, kama nabii alie ahidiwa. Alikuwa mjumbe wa kizazi cha mwisho cha kanisa. Amen.

Ni itaji yangu kumutumikia Bwana kwa namna hii iliwale wote wanayo na sehemu ya kanisa bibi-arusi wa Yesu-Kristo warudishwe katika umoja wa Imani. Miaka makumi ine imepita tangu ndugu Branham alichukuliwa katika utukufu na sasa tuna ngojea kurudi na nguvu yaajabu yakitendo cha Mungu ambacho hakija kuweko hapa Duniani. Kupitia uvumilivu, Ayubu ndie mfano wetu katika Biblia alie rudishiwa mara dhufu. Shetani alikuwa ameharibu kila kitu kilicho kuwa karibu naye. Hata muke wake alimgeuka akisema: „Ungali unasimama kwa musimamo wako? Umulaani Mungu ukakufe“ (Ayubu 2:9). Marafiki wake wa karibu walimujaribu na hawakumuamini tena. Lakini sasa wakati ilifika ambayo Mungu aliongea na Ayubu na Hali yake yote ikabadilika. Ayubu aliwaombea marafiki zake na akarudishiwa maradhufu zaidi ya yale aliyo kuwa nayo mbele (Ayubu 42:10-17). Mfano hii ilituachiwa ikilinganishwa na ahadi ya nvuwa ya kwanza nayamwisho ambayo itatembea na kitendo cha mwisho cha kazi ya Mungu mbele ya kurudi kwa Kristo. Wakati Ayubu alipopata jibu maneno ambayo muke wake alisema pamoja na yale mambo ambayo marafiki wake walimfanyizia hayakukumbukwa tena. Hivyo ndivyo itakavyo kuwa hata na kwetu.“kwa hiyo ndugu vumilieni hata kuja kwake Bwana…, mume sikia habari ya subira yake Ayubu, mmeuona mwisho wa Bwana ya kwamba Bwana ni mwingi wa Rehema…“(Yakobo 5:7-11)

Mfano wa pili ni Yusufu alietupwa katika shimo na ndugu zake wenyewe na kufungwa katika jela pasipo kosa kwa ajili ya mwanamke. Hiyo ndiyo njia ya kilindi ambayo angeweza kupitia kwanza mbele kuweza kuwa mgawaji wa chakula kwa ndugu zake wakati wa njala. Hakuwasema vibaya, ila ali waambia: „Munikaribie na waka mkaribia. Akasema mimi ni Yusufu ndugu yenu ambaye mlimuuzisha kwenda Misri. Basi sasa msihuzunike wala msiudhike nafsi zenu kwa kuniuza huku maana Mungu alinipeleka mbele yenu kuhifadhi maisha ya watu … na sasa si nyinyi mulio nituma huku ila ni Mungu…“ (Mwanzo 45)

Hakungelikuwa Ayubu hatunge lijua kuhusu kurudishiwa kwa maradhufu. Hakunge kuweko Yusufu hatungelikuwa na mfano wa ugawaji wa chakula kwa wakati ya njaa. Hakunge kuwako Yohana mbatizaji, njia ya Bwana hainge weza kutayarishwa. Hakunge kuweko mtume Paulo mataifa hawange weza kupata namna ya kuisikia injili. Hakunge kuweko hudma ya ndugu Branham hakungekuwa ujumbe wa wakati wa mwisho. Ndugu Frank hangelipokea mwito wa hapo hapo na kutumwa, Dunia hainge lijua kuhusu Ujumbe. Kwa maneno haya yote hatuja ongeya kuhusu ma hudma za kanisa ya pahali lakini ni hudma zinazo fungwa hapo hapo kwa yale yaliyo fanyika kuhusu Habari za mpango wa okovu wa Mungu. Kulingana na andiko lililo nukuuliwa kwa mwanzo ya kitabu hiki. Niliandika kitabu hiki ni kiwa na zamiri mzuri kwa hiyo nina watakia wote waachiliwe kutoka katika mitego ya mwovu wawe huru wasiendelee kuwa wafungwa wa matafsiri ya nayo wavutia nyuma yayale ambayo wa nayo yataka. kwa kweli kama vile roho mtakatifu ndie anaetuongoza katika kweli yote (Yohana 16:13), na ni hivyo ginsi Roho za upotevu zinaongoza kwa mafundisho ya uongo inayo toka kwa mwovu. (1Timotheo 4:1) Mwaka wa neema umekuja na kufunguliwa kwa kiungu kwa wafungwa inaendelea tangaziwa kwa wote (Luka 4:17-21) kila mtu anaweza kurudi kwa Bwana na kwa neno lake na kupokea ahadi kulingana na mapenzi ya Mungu (Waebrania 10:35-38).

Kwa neema ya Mungu nita uchukuwa musalaba wangu – Bali si uzito wa kutoelewa na matafsiri – mpaka wakati nitapokea taji la uzima. Nitachukuwa Aibu ya Kristo na Aibu ya ndugu Branham na Aibu yangu mwenyewe mpaka nitakapo ingia katika utukufu. Kulingana na hali ya maisha na mimi nilikubali Aibu kama ilivyo kuwa katika maisha ya watumishi wote waliyo mtumikia Mungu hapa Duniani. Itaji yangu kama ilivyo kuwa itaji ya watumishi wote wa Mungu inaendelea kuwa ya kutumikia taifa la Mungu kupitia utangazaji wa shahuri zote za Mungu pasipo makosa. Mungu aweza kunikubalia hiyo mpaka mwisho wa pumzi yangu ya mwisho. Nina weza kusema mimi mwenyewe yale Bwana wangu na mkombozi angeweza kusema kwake mwenyewe“mimi nimezaliwa kwa ajili ya haya na kwa ajili ya haya mimi nalikuja ulimwengu ili nishuhudie kweli, kila alie wa kweli husikia sauti yangu.“ (Yohana 18:37) Nina penda kila mutumishi wa kweli wa Mungu kusema hivi,“Nimezaliwa upya kwa neno moja na kwa roho moja kwa matumaini ya nayo ishi ili ni shuhudie ukweli.“ninaweza kusema mbele ya Mungu kama vile mtume Yoane alivyo katika kweli (1. Yohana 2:21) na kwamba; „Yule anae jua kweli hutusikia…“(1. Yohana 4:6) „…Yule alie wa Mungu husikia maneno ya Mungu… (Yohana 8:47). Hapo mwanzo kulikuwa neno, Hilo neno ndilo tunalo sasa kwa mwisho. kila mtafsiri yote na maoni ya mtu ni sumu inayo toka kwa muovu anaejionyesha kila wakati kama vile malaika wa nuru kusudi apofushe watu. Kile ambacho Mungu alituma kufanya, kitatimilika kanisa-bibi arusi Duniani pote: Bibi arusi atamlaki Bwana Arusi akiwa tayari wakati atakapo kuja. Nina samba mbele ya Mungu kila nafsi iliyo chaguliwa kuwa na sehemu kwa kanisa bibi arusi, nakuita waliyo chaguliwa kutoka katika kila muvurugano waweze kuji weka kwa mustari wa neno la Mungu ili waifikie umoja wa Imani. Hakuna mtu anae stahili kufanya watu kuwa wafungwa wake katika maeneo tofauti na kuwafanya watumwa ili waiamini matafsiri yake mwenyewe. Bali wafunguliwe na waamini tu yale ambayo maandiko matakatifu yanayo sema. Amen!