Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Swali La 32: Kulingana na mpango wa okovu tuko katika sehemu gani?
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Jibu: Tuna fika sasa kwa sehemu ya kizazi cha kanisa katika kizazi cha Bibi Arusi, kurudi kwa Yesu-Kristo ni karibu sana. Tunaweza kusema hivi tukiona maalama za nyakati na unabii wa kibiblia vilivyotabiriwa mbele ambavyo vina endelea kutimia zaidi sana pamoja na Islaeli. Ujumbe wa wakati wa mwisho niya muhimu sana ambao ni sauti ya usiku wa manane. Nimwito wa kuita kutoka kwa wote ambao wana sehemu ya kanisa Bibi-arusi. Yale ambayo mtume Paulo alishuhudia kwa wakati yake yanafanyika tena kwa sasa.“Basi ni vivi hivi wakati huu wa sasa kuna mabaki walio chaguliwa kwa neema“ (Warumi 11:5). Ni wale tu watakao rithi vyote kwasababu wanasikia na kufuata na kuweka katika matendo yale ambayo Roho ayaambiayo kanisa. Na Mungu atamaliza kazi yake hapa Duniani, kwa ujao wa nguvu yake ya ajabu ambayo inaitwa kurudishiwa kwa ujao kwa mambo yote. Sehemu ya hii ni hudma ya neno lililo nenwa na kitendo cha ajabu cha Roho ambacho kitaongoza mpaka kuonekana kwa mwana wa Mungu na ufufuko wa wafu. Na lengo la muhimu katika haya ni kurudi kwa Yesu-Kristo.