Baruwa ya Muzunguko Aprili 2020

Ni nini kinacho tokea katika wakati wetu?

« »

Ujumbe ambao William Branham alitangaza imeleta watoto wakweli wa Mungu kurundilia imani ya halisi ya mababa wakimitume.

BWANA Mungu ameweka macho yake juu ya Neno lake la milele. Lazima isemewe kwa sauti kubwa na wazi: ikiwa tugelijuwa yale ambayo Mungu amefanya nini hapo zamani Lakini hatujuwe yale alie ahidi na anayo ifanya leo mbele ya Kurundi kwa Yesu Kristo, tugelikuwa nafaida gani? Kulikuwepo mwito wa kiungu kwa wakati wetu pia; Ndugu Branham alikuwa anaweza kupana ushuhunda kwa hiyo tena na mara tena. Hapa kuna moja za nukuu zake kuhusu tukio ya siku la 11 Juni 1933, huko Jeffersonville: “Nilisikia ikisema tena, Tazama juu! Na wakati nilipo tazama juu, haya kukakuja guzo ya Moto ile ambaye iliogoza wa Israeli jagwani. Maelfu ya macho iliiona ikikuya ikishuka chini hapa nilipo simama. Nakusema, «Kama vile Yohana Mubatijazi alivyo tumwa kutangulia kuja Kwanza kwa Kristo, Ujumbe wako utafunika Dunia na kutangulia kuja kwa Pili kwa Kristo.»“ (Aprili 12, 1964)

Hiyo kwakweli njo ilifanyika ulimwenguni pote baada ya kufa ya Ndugu Branham; ilisha kuwa ukweli wakiungu.

Tayari kwa Juni, 12, 1958, Ndugu Branham iliniambia huko Dallas, Texas, “Ndugu Frank, utarundi Ujerumani na Ujumbe huu.“

Imefikia utimilifu. Mungu amefanya yote mawili: Alitoa utume kuleta Ujumbe na pia alihakikisha kwamba ihubiriwe Duniani pote. Vitu vya Kibiguni vilifanyika maishani na hudma ya William Branham, sio tu Juni 11, 1933, Wakati alivyo fanya ubatizo wake wa Kwanza, alakini pia na mumikutano yake.

Mtume Paulo angeweza kushuhudia kwamba hiyo Nuru ilionekana kwake wakati alipo pokea mwito wake. Tuna abiwa katika Matendo 9: “Hata alipokuwa akisafiri, ikawa anakaribia Dameski; ghafula ikamwangaza kote kote nuru kutoka mbinguni. Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, BWANA? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe…“ (Shahili. 3-5)

Paulo alishuhudia akiwa mbele ya Mfalme Agrippa na watu wanaotambulika zaidi: “Basi katika kazi hiyo nilipokuwa nikienda Dameski, mwenye mamlaka na maagizo ya wakuu wa makuhani; Ee Mfalme, ndipo wakati wa adhuhuri njiani naliona nuru inatoka mbinguni ipitayo mwangaza wa jua, ikinimulikia mimi, na wale waliofuatana nami pande zote. Tukaanguka nchi sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya kiebrania, Sauli! Sauli! Mbona waniudhi? Ni vigumu kwako kuupiga mateke mchokoo. Nami nikasema, Wewe u nani, BWANA? BWANA akaniambia, Mimi ni Yesu, ambaye wewe unaniudhi. Lakini inuka, usimame kwa miguu yako, maana nimekutokea kwa sababu hii, nikuweke wewe uwe mtumishi na shahidi wa mambo haya uliyoyaona, na wa mambo ambayo katika hayo nitajidhihirisha kwako…“ (Matendo 26:12-16)

Tayari katika ya Agano la Kale, Uwepo wa Mungu was kiajabu ulijidhihirisha katika kichaka kinacho waka mto wakati Musa alipo pokea mwito wake. Musa alipashwa vuwa viato vyake kwa sababu alikuwa akisimama pahali patakatifu. Pale ndipo alitumwa na Mungu pekee (Kutoka 3).

Kwa Agano la Kale, BWANA Mungu alijifunuwa kupitia Nuru ya Nguzo la wingu na Nguzo ya moto.

Katika Kutoka 13 tunasoma: “BWANA naye akawatangulia mchana ndani ya wingu mfano wa nguzo, ili awaongoze njia; na usiku, ndani ya moto mfano wa nguzo, ili kuwapa nuru; wapate kusafiri mchana na usiku…“ (Shahili 21) Sio ajabu? BWANA Mungu hakutosha watu Wake wa Israeli kwa utumwa tu, inje ya misri, lakini alitembeya mbele ya wenye ameita kutoka, wakombolewa, wenye amefanya Agano nao. Ali waongoza na kuwaongoza na kuwaonyesha njia mchana na usiku. Kwa hiyo miaka makumi inne (arobaini) ya safari yao, Alikuwa na watu wake-katika nguzo ya wingu ya kibinguni kwa mchana na katika nguzo ya mto kwa usiku. “Ile nguzo ya wingu haikuondoka mchana, wala ile nguzo ya moto haikuondoka usiku, mbele ya hao watu.“ (Shahili 22)

Hii inaelekezwa tena katika zaburi 78, shahili la 14: “Akawaongoza kwa wingu mchana, Na usiku kucha kwa nuru ya moto.“

katika Kutoka 40 tuna soma: “Basi Musa akaimaliza hiyo kazi. Ndipo lile wingu likaifunikiza hema ya kukutania, na huo utukufu wa BWANA ukaijaza maskani…Kwa maana lile wingu la BWANA lilikuwa juu ya maskani wakati wa mchana, na mlikuwa na moto ndani yake wakati wa usiku… (Shahili 33b-34+38)

Wakati kila kitu ambacho BWANA alio angiza Musa kufanya kilitimizwa, utukufu wakimaajabu wa Mungu ulikuja kwa pahali patakatifu zaidi, kwenye kulikuwa saduku ya Agano na kushuhudia uwepo wa Mungu katika watu wake.

Wingu la kimaajabu ilishuka kwa mlima wa kubadilishwa, “…Sauti ikatoka katika lile wingu, huyu ni mwanangu, mpendwa wangu, msikieni yeye.“ (Marko 9:7; Mathayo 17:5) Katika Isaya 4:5 tunasoma yale anayo fanyikana wakati BWANA atamalia kazi yake kwa mlima wa sayuni: Ile wingu yakimaajabu litakuja tena, na uwepo wa Mungu utaonekana waziwazi: “Tena juu ya makao yote ya mlima Sayuni, na juu ya makusanyiko yake, BWANA ataumba wingu na moshi wakati wa mchana, na mwangaza wa miali ya moto wakati wa usiku; kwa maana juu ya utukufu wote itatandazwa sitara“. Niyeye yule kila wakati: jana, leo, na milele.