Baruwa ya Muzunguko Aprili 2020

Ripoti ya mushuhuda wamacho

« »

Nina sema hii kama mushuhuda aliejionea na kusikia katika eshima mbele ya BWANA: Kama vile ninavyo njua, Nilikuwa na bahati la kuwa katika mkutano kadhaa ya Ndugu Branham. Alipo ombea wagonjwa, alikuwa akisema Mara na Mara, “Sasa hiyo Nuru la kibinguni, Sasa Nguzo la mto iko juu ya huyu mtu na huyo“. Hata maelezo fulani juu ya mtu huyo mwenye ageombea ilimufunuliwa. Katika miaka mingi katika hudma yake, aliweza kusema zaidi yamara elfu “HIVI ASEMA BWANA…“

Siku ya Januari, 20, 1950, wakati Ndugu Branham alikuwa akihubiri kwa coliseum kubwa katika muji ya Houston, Taxes, kulikuwa watu zaidi elfu nane wenye wakulikuwa wanakusanyika hapo. Alipo ongeya, wale mpiga picha wa Press James Ayers and Ted Kippermann walimpiga picha zake. Wakati wa maendeleo ya filamu, waligundua kuwa ni picha moja tu iliyogeuka, ambaye niess moja ya Ndugu Branham na Nuru ya kiujiza juu ya kichwa chake.

Mtu anayesimamia hati zaku shakiwa kwa FBI huko Washington, Dr. George J. Lacy, alichuguza Picha hiyo na kuadika kwa ripoti yake ya siku Januari, 29, 1950, ya kwamba Nuru ilikuwa juu ya mhubiri, isige kuwa hivyo Kamera isingeiweza kuishika. Mungu yeye mwenyewe amepana ushuda Mara na Mara.

Kwa Decemba, 1962, Ndugu Branhamalihamia Tucson, Arizona, Kama vile aliagizwa na BWANA kwa siku ya Marchi, 1962. Na ilitimika kwa siku Febuari, 28, 1963, iOS wingu kubwa ya kibinguni ilionekana wazi wazi kwa Kila Mtu kwa anga la bluu. Katika ile wingu kubwa, ambayo ilionekana juu ya mlima Sunset, Ndugu Branham aliona wamalaika Saba, na hapo Mtu wa Mungu aliagizwa: “Rudi kwa Jeffersonville, kwa sababu mihuri Saba itafuguliwa.“

Kwa kuwa imechapishwa kwa siku Aprili, 19, 1963, Magazine Science inayo julikana vizuri, waliweka picha hiyo la wingu kubwa mwenye ukurasa wa kifuniko. Life Magazine kwa siku ya Mai, 17, 1963, ilichapisha habari iliyo na Picha ya Wingu chini ya kichwa cha maneno “Na Gonga kubwa La Wingu la Siri“. Dr . James McDonald kutoka Taasisi ya Fizikia ya Atmospheric (Institute of Atmospheric physics) aliandika habari mrefu kuhusu hiyo lakini hakukuwa na maelezo ya hayo. Bado ninayo magazeti yote mawili.

Nina sema hii kama mushuhuda aliejionea na kusikia katika eshima mbele ya BWANA: Kama vile ninavyo njua, Nilikuwa na bahati la kuwa katika mkutano kadhaa ya Ndugu Branham. Alipo ombea wagonjwa, alikuwa akisema Mara na Mara, “Sasa hiyo Nuru la kibinguni, Sasa Nguzo la mto iko juu ya huyu mtu na huyo“. Hata maelezo fulani juu ya mtu huyo mwenye ageombea ilimufunuliwa. Katika miaka mingi katika hudma yake, aliweza kusema zaidi yamara elfu “HIVI ASEMA BWANA…“

Siku ya Januari, 20, 1950, wakati Ndugu Branham alikuwa akihubiri kwa coliseum kubwa katika muji ya Houston, Taxes, kulikuwa watu zaidi elfu nane wenye wakulikuwa wanakusanyika hapo. Alipo ongeya, wale mpiga picha wa Press James Ayers and Ted Kippermann walimpiga picha zake. Wakati wa maendeleo ya filamu, waligundua kuwa ni picha moja tu iliyogeuka, ambaye niess moja ya Ndugu Branham na Nuru ya kiujiza juu ya kichwa chake.

Mtu anayesimamia hati zaku shakiwa kwa FBI huko Washington, Dr. George J. Lacy, alichuguza Picha hiyo na kuadika kwa ripoti yake ya siku Januari, 29, 1950, ya kwamba Nuru ilikuwa juu ya mhubiri, isige kuwa hivyo Kamera isingeiweza kuishika. Mungu yeye mwenyewe amepana ushuda Mara na Mara.    

Kwa Decemba, 1962, Ndugu Branham  alihamia Tucson, Arizona, Kama vile aliagizwa na BWANA kwa siku ya Marchi, 1962. Na ilitimika kwa siku Febuari, 28, 1963, iOS wingu kubwa ya kibinguni ilionekana wazi wazi kwa Kila Mtu kwa anga la bluu. Katika ile wingu kubwa, ambayo ilionekana juu ya mlima Sunset, Ndugu Branham aliona wamalaika Saba, na hapo Mtu wa Mungu aliagizwa: “Rudi kwa Jeffersonville, kwa sababu mihuri Saba itafuguliwa.“