Circular Letter
Barua Ya Muzunguko Decemba 2020
Ewald Frank
Formats
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Navigate
Kapitel
expand_more
Navigate
Kapitel
Navigate
Kapitel
Jump to any chapter without leaving the reader.
Kapitel 4
Imani ya kweli ni nini ?
4 / 5
Ndugu Branham alihubiri mahubiri tarehe 24, Novemba 1963, inayo itwa: “Aina tatu za waamini”. Ndani humo anaongelea kuhusu mwamini wa kweli, na waamini nusu, na wasio amini. Abraham ndiye mfano wa imani ya kweli netena analinganishwa kama “Baba wa waamini wote.” “Maana maandiko ya semaje? Ibrahimu alimwamini Mungu, Ikahesabiwa kwake kuwa haki.” (Warumi 4: 3). Mtume Yakobo alionyesha imani ya kweli pamoja na kuheshimu na kazi na aliandika kwamba imani pasipo matendo nibure. Ali eleza vizuri, “Je! Baba yetu Ibrahimu hakuhesabiwa kuwa ana haki kwamatendo, hapo alipo mtowa mwanawe Isaka ju ya madhabahu? Waona kama imani ilitenda kazi pamoja na matendo yake, na ya kwamba imani ile ilikamilishwa kwanjiya ya matendo yale. Maandiko yale yakatimizwa yaliyo nena (Mwanzo 15:6) Ibrahim alimwamini Mungu, Ikahesabiwa kwake kuwa ni haki; naye aliitwa rafiki wa Mungu.” (Yakobo 2:21-23)
Wakati BWANA wetu anasema, “Aaminiye nakubatizwa ataoka…” (Marko 16:16), Hii inaacha wapi hao wanao jilia kuamini nakisha wana kataa ubatizo wa maji? Kwa lengo hili, Imani hainekane katika matendo. Baada ya yote, haiko juu ya kazi zetu ambazo tuna weza kumaliza; Kutii neno inaonyesha imani yetu. Ninamnagani kuhusu wale wanao jitangazia kwamba wanaamini lakini wanakataa yale ambayo BWANA alisema katika utume kubwa kwa mfano ndani ya Marko 16 ? Kwakweli watu kama hao ni wa amini, ama ni wa amini nusu? BWANA wetu alisema, „Yeye aniaminiye mimi, Kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya…” (Yohana 14:12) “…Na hishara hizi zita fuatana na hao waaminio…” (Marko 16:17). Ni wakati tu BWANA Mungu anaongeya na mtu kipeke kupitiya neno lake na kumpatiya ahadi, hapo ndipo mtu huyu ata amini, atafanya kwa kutii kile ambacho maandiko ina sema, na kuishi katika yale yalio ahidiwa.
Inatuuma sana kusema kwamba hawa waamini nusu wana pita pembeni ya Mungu katika yale wanayo amini na kufundisha katika maombi yao. Watu wanaolinganishwa ku Neno la Mungu lakini wana sikiliza tu mahubiri iliyo undwa na watu katika mikutano yao inayo wa ongoza kuwa waamini nusu. (wanaojiitia), kama vile ilivyo katika madini yote, niwaamini nusu. Inajulikana vema kwamba makanisa ya kikristo wako na ma kredo zawo wenyewe, nahata wanajiita mitume ijapokuwa hawana hata nakidogo ya fundisho ya mitume. Kwa kuongeza ku wale wanao jiitiliya eti ni “kukili ya kimitume,” kuna tena kukili ya Nicene (AD 325) na kukili la Chalcedonian (AD 381), Na mengineo.
Hata hivyo taalimu moja ya imani ya kimitume inakutwa tu ndani ya Biblia kamavile urithi ya agano jipya. Ya fuatayo ikingali na shikilia kweli kwa waamini wa kweli: “Aniaminiye mimi kama vile maandiko yalivyo nena…” (Yohana 7:38). BWANA alisema hii kwa wale wote wanao amini mafundisho yao wenyewe: “Nao waniabudu bure, wakifundisha mafundisho yalio maagizo ya wanadamu.” (Mathayo 15:9). Hiyo inabaki kweli milele: “Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi Wata Mwabudu Baba katika roho na kweli: kwamaana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.” (Yohana 4:23). Hapa tuna weza ku swali swali kubwa: Kwakweli, tuna mwamini nani? Je, tuna amini yale ambayo Mungu alisema nakuahidi ndani ya neno lake na yale yaliyo fanywa huku kwa ukristo ulio anza, Ao je, tunaamini amri na mafundisho zilizo tengenezwa na wanadamu zinazo fundishwa katika makanisa za kikristo?
Wasio amini haiko tu wale wasioamini kwakweli na wale ambao Mungu hayumo ndani yao. Ya umuhimu mkubwa ni yale ambao mtu wa Mungu William Branham alio iseme kuhusu kutokuamini na anguko la mtu katika paradizo. Hii ni moja ya ufunuo wamuhimu aliyo upokea kutoka kwa BWANA katika uhusiano na mpango wa Wokovu. Kwanza Lucifer alijiinua mbinguni ba alitaka kujilinganisha na yule mkubwa zaidi, lakini alishindwa pamoa na wale wote walio mfata (Isaya 14: 12 – 15). Anguko la mwana damu kaika paradizo lilikuwa wakati tu shetani alimshawishi Eva kupitia mazungumzo shetani akiwa katika umbo la nyoka akiwa na maneno: “Mungu alisema…?” Hiyo kupanda mbegu ya mashaka kwayale ambao Mungu alimuambia Adamu. Hivyo ndivyo kutokuamini iliingizwa, ambayo ilizaa kuto kutii, Nakupitiya hiyo upotevu, mwanadamu yeyote alikokotwa katika anguko na hapo kifo kika ingizwa. Kutiya mkazo katika imani ya kweli, mwokozi wetu alisema, “…kwasababu msipo sadiki ya kwamba mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.” (Yohana 8:24). Nahata sasa imani ya kweli inapashwa kuwa nanga ndani ya wale wanao amini ndani ya Yesu Kristo na yale ambayo Mungu ali nena katika neno lake. kutokuamini kila wakati ina letwaka na mbegu ya Mashaka ambayo muovu anapandaka.
Acheni kila mmoja ajichunguze mwenyewe, kuona kama kwakweli yeye ni muamini wakweli kulingana namaandiko na anaamini kila neno la Mungu na moyo wake wote, Na anakubali kila ahadi yote ambayo BWANA alifanya, na anafungwa kilindini pamoja na Mungu. Waamini wa kweli nisehemu ya wachaguliwa, wamezaliwa marayapili naneno pamoja na Roho wa Mungu, na wanaongozwa ndani ya kweli yote. Wanaamini katika mwito wa kiungu wa Ndugu William Branham, aliye leta ujumbe wakibiblia, aliyetangaza vivyo hivyo ulimwenguni pote.
Waamini wa kweli wamekwisha tambua wakati na saa ambayo tunaishi wame kwisha kutoka ndani ya mafundisho ya kidini, Katika mafundisho zote zisizo za kibilblia na wametakaswa na neno la kweli. Ombi la mkombozi wetu ni: “Uwatakase kwakweli neno lako ndilokweli” (Yohana 17: 17). Hiyo inaanza pamoja na Uungu: Mafundisho ya kweli inashuhudia Mungu mmoja. Hakuna hata maramoja neno la “ Utatu” ao “ Mungu kwa wa tatu” inayo patikana katika Biblia. Hata hakuja hwai kuwa swali la watu watatu wa milele. Biblia inajua tu Mungu mmoja aliye tangaza mpango wa ukombozi na akayifanya (Akayitimiza) yeye mwenyewe. Alijifunua kama Baba ndani ya mbingu, katika mwana wake alie mzaa Yesu – Kristo (“EMMANUELI” = Mungu pamoja nasi) duniani na anatumika na Roho mtakatifu ndani ya kanisa ya walio kombolew. Hakuna hata maramoja matamko ya “ Kwa Jina la Baba, Kwa Jina la Mwana, Kwa Jina la Roho Mtakatifu” Haija tumikishwa katika Biblia.
Vilevile kuhusu Ubatizo, kunafanyika yale ambayo Petro aliagiza siku kanisa la Agano Jipya lilipo anza (lilipo anzishwa) akiwa chini ya upako wa uvuviyo wa roho mtakatifu (Matendo 2:38-41) Petro alitimiza utaratibu wa utume na alitumika kwa ujasiri, kama vile Filipo vilevile (Matendo 8:16) na Paulo (Matendo 19:5) vile na waamini wote katika kizazi cha kwanza, wakibatiza waamini wakwanza walio kubali ndani ya Jina la BWANA Yesu – Kristo. Kwakuwa ni Jina, ambalo Mungu amejifunuwa ndani yake kwetu katika Mwana, kama Baba na Roho mtakatifu. Neno la Waefeso 4:5 ni wazi hata Leo: “Bwana mmoja, Imani moja, Ubatizo moja…”
Wale wote wanao amini kikweli, ni watiifu na wanaishi kwa yale yanayo andikwa katika 2 Wakorinto 6:17-18: “Kwa hiyo tokeni kati yao, mkatengwe nao, asema BWANA, msiguse kitu kilicho kichafu, naminitawa karibisha. Nitakuwa Baba kwenu nanyi mutakuwa kwangu wana wa kiume na wa kike asema BWANA mwenyezi.” Niwale watakao fikia mwisho ya kazi kupitia kitendo chakimbinguni cha roho matakatifu. Bwana mungu atatuma mvua ya kwanza na ya mwisho kwanguvu nyingi, kama ilivyo tabiriwa na mtume Yakobo chini ya upakoo wa uvuviyo wa roho mtakatifu: “Kwa hiyo ndugu, vumilieni, hata kuja kwake BWANA. Tazama mkulima hungoja mazao ya nchi yalio ya thamani, huvumilia kwa ajiliyake hata yatakapo pata mvua ya kwanza na ya mwisho.” (Yakobo 5: 7). Lakini nabii Yoweli alikuwa chini ya upako na uvuviyo wa roho mtakatifu: “ Furahini, basi, enyi wana wa sayuni, mkamfurahia BWANA, Mungu wenu, kwakuwa yeye huwapa ninyi mvua ya masika, na mvua ya vuli, kama kwanza…” (Yoeli 2:23)
Nakama vile mtume Petro aliiandika tunaweza kufurahia hili:“Nanyi mnalindwa na nguvu za Mungu kwa njia ya imani hata mpaye wokovu ulio tayari kufunuliwa wakati wa mwisho.” (1 Petro 1:5) Tumezifikia siku za mwisho kwahivi tuna pashwa wa angalifu na watu wazima kwakila jambo nakunyenyekea kwa kila hali tunayo weza kutana nayo, ilikusema tusiweze kuhayarisha jina la BWANA wetu Yesu.
Ninge penda nionyeshe maramoja tena kwamba hakuna mtu hatu mmoja alie ndani ya uongo Kupitia mafundisho mabaya atakaye ingia Mbinguni. BWANA alifanya neema kwakuturudisha kwa mungu, kwaneno lake, na kwafundisho lamitume kupitia ujumbe wa mwisho, unayo fanana na ule wa kwanza kabisa. Yeye asiye hiyo, hakutambua siku ya kutembelewa ya Mungu (Luka 19: 42-44).
Katika Luka 21, BWANA alitangaza mambo mengi yanayo timia na akasema kulingana nasiku za mwisho: “… na mataifa wakishangaa kwa uvumi wa bahari na masukosuko wake; watu wakivunjika mioyo kwa hofu … Basi mambo hayo yaanzapo kutokea, changamkeni, mukaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu umekaribia … Nanyi muonapo mambo hayo yanaanza kutokea tambueni ya kwamba ufalme wa Mungu u karibu … Basi, kesheni ninyi kila wakati, mkiomba, ilimpate kuokoka katika haya yote yatakayo tokea, na kusimama mbele za Mwana wa Adamu.” (Luka 21:25-36). Ametupatia ahadi: “Na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.” (Matayo 28:20)
Ndugu Branham alitumika utume wake wa kinabii na aliweka kwa Ghala chakula cha kiroho. Na mimi pia nilifanya yale ambayo BWANA ameni agiza, Kwakuweka neno la unabii kulingana na mafundisho, na kwakugawa chakula cha kiroho kama vile BWANA alishuhudia tarehe 19 septemba 1976 (Matayo 24:45-47). Kwa neema ya Mungu, Niliweza kuweka vizuri ndani ya neno la Mungu ma nukuu zote zilizo ngumu kwakuelewa za ndugu Branham. Hivyo ndivyo Petro aliandika kwa wakati wake akilinganisha na mabaruwa za Paulo: “Katika katika nyaraka hizo yamo mambo ambayo nivigumu kuelewa nayo, na mambo hayo watu wasiyo na elimu, wasio imara, huyapotoa, kamavile huyapotoavyo na maandiko mengine, kwa uvunifu wao wenyewe.” (2 Petro 3:15-16). Nina weza kushuhudia, kwakuwa nime yafanya yale ambayo Paulo aliyo yaandikia Timoteo wakati wingine: “Lihubiri neno, uwe tayari,wakati ukufaao na wakati usiyo kufaa, kalipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho” (2 Timoteo 4:2), kama vile BWANA alivyo niagiza kwasauti kubwa huko Marseille. Hiyo ndiyo sababu, ninahubiri neno pekeyake nakuyatupilia mbali matafsiri yoyote.
Vile kama Paulo, naweza sema pia: “Lakini BWANA alishimama pamoja nami akanitia nguvu ili kawa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, hata wasikie mataifa yote.” (2 Timoteo 4:11)
Wandugu wotw wenye huduma kwakweli kutoka kwa Mungu wana gawa chakula cha kiroho: Neno safi lenye kufunuliwa. Meza ya BWANA, haija wai kujaa chakula, kama vile ilivyo kwa wakati wetu. Sasa tuna pashwa, Kuungana katika maombi kwakutetemeka na BWANA mwenyewe atamaliza kazi yake ya ukombozi na nguvu kubwa (Waroma 9:28). Na kwa mwisho, itakuwa kama vile Ndugu Branham alivyo ona, Bibi Arusi atarembea kwa hatuwa moja kwa Kiroho na Mungu atajibu maombi yetu, kwa ginsi yale ambayo tutasema kwa imani yatatimia. Iliyo ya muhimu ni kwani tutadumu ndani ya Neno na ndani ya Mapenzi ya Mungu, kwakuwa ni kwanamna hii ambayo anaweza kupendezwa na sisi.
Available translations
PDF