Baruwa ya Mzungoko - Mwisho wa mwaka 2018

Vipindi vya wakati maalum

« »

Kwa Disemba, 24, 1965 kipindi cha Baraka kilifikia mwisho. BWANA Mungu alimchukuwa kwake mtumishi na Nabii wake. Nilihuzuria mazishi yake kwa huzuni, ambao ilifanyika siku ya Jumatatu ya pasaka, Aprili, 11, 1966. Nafsi ilijaa huzuni. Wakati machozi na huzuni nyingi vilinijaa. Sauti ilisema maranyingi nami moyoni wangu: „Sasa wakati wako una kuja wa kwenda muji kwa muji kulihubiri Neno na kugawa chakula cha Kiroho“. Hapo nilijua kwamba wakati wangu umefika.

Kwa Aprili, 1966 kipindi kipya kilianza: ama kwa masemi mengine mwendeleo. Lakini, hayo yaliwezekana je? Utume wa BWANA mwenyewe, hapo baada ya mazishi, siku ya Aprili, 12 na 13, 1966, niliwa kusanya wandugu wote pamoja huko Jeffersonville. Lengo langu lili kuwa ya mahubiri yote yaliyo wekwa kwenye kanda yaweze kutafsiriwa kwa lugha nyingi tofauti. Roy Borders aliyekuwa mwandishi wa kipekee wa ndugu Branham ambaye nilie mjuwa, aliwekwa kwa ajili ya ku angalilia chumba cha unchapaji. Hivyo ndivyo ilivyo anza “Utangazaji wa Neno lililonenwa’’{Spoken word Publication}.

Ikiwa BWANA mwaminifu a singeli mpata mtumishi wake William Branham huko Jeffersonville siku, Juni, 1933, Hatungeliweza kusikia kitu kuhusu Ujumbe. Ikiwa BWANA mwaminifu a singeli mpata mutumishi wake Ewald Frank huko Jeffersonville kwa Aprili, 1966, ulimwengu hungewaza kusikia kwamba kuna Ujumbe.

Kwa 1973, nili safiri kwenda Jeffersonville nikisindikizwa na mwongozi wetu wa kanisa na mzee, Ndugu Leonhard Russ na Ndugu Erich Schwill. Wandugu wa hapo walituonyesha mahali Ndugu Branham alibatizia kwenye mto Ohio wakati mambo ya kimaajabu yalite ndeka. Pia tuli tembea kuona maskani ya ndugu Branham na majengo ya “Spoken Word’’ (Neno lililonenwa).

Yusufu, mtoto wamwisho wa Ndugu Branham alikuwa karibu na myaka 11 kwa Aprili, 1966. Kwa 1980, aliyiita jina tena kutoka “Spoken Word Publication’’ (Utangazaji wa Neno lililonenwa) kuwa “Voice of God Inc.’’ (Sauti ya Mungu) wakati huo nili kuwa nimekwisha tembea karibu nusu ya dunia ni kiuchukua Ujumbe wa Neno. Mbele ya kufanya kazi ya utume wa Kimungu, inaomba kwanza mwito wa kimutume na kutumwa kwa hapo hapo utangazwe.

Na sema hii mbele ya BWANA Mungu: Wakati sauti ya baragumu ya Malaika wasaba wa Ufun 10:7 ilipotangazwa kama vile: „Sauti ya Mungu’’ maabudu ya Nabii ilianza. Ufun 10:7 haisemi lolote kuhusu sauti ya Mungu. Katika Ufun 8 na 9, Inaonyesha wale Malaika wa sita wa baragumu ambao wataleta hukumu zao juu ya dunia. Katika ufun 10:7 tunakuta tangazo la yale ambayo yata kao timia wakati Malaika wa saba atakapo piga Baragumu: Hapo ndipo Siri ya Mungu itatimilika kama vile alivyo waambia watumishi wake manabii.

Katika ufun 11, nyuma ya wale washuhuda wawili kumaliza kazi zao na Hekalu lilipokwisha jengwa na kupimwa: „Malaika wa saba anapiga Baragumu (kama vile ginsi ilivyo tangazwa katika ufun 10:7). Paka wa na sauti kuu katika mbingu, zikisema, ufalme wa dunia umekwisha kuwa wa BWANA wetu na wa Kristo wake; naye atamiliki hata milele na milele“ (Ufun 11:15). Amina.

Mambo yote ambao wanaelekeza kuhusu Ufun 6 na kwa sura zingine munamo pia yatakayo kuja. Ndugu Branham alisema yale yote yaliyo tajwa katika muhuri wa sita na muhuri wa saba yote inaelekea kuhusu dhiki kubwa. Ufun 10 inaonyesha yale yatakayo tendeka wakati BWANA, kama Malaika wa Agano, ana weka miguu yake kwenye Nchi na Juu ya Bahari. Ila tu “Wakati (na si kwa mwaka hii 1963) hata ngurumo saba zilipotoa sautiya zona Yule malaika akainua mkono wake wa kuume kuekea mbinguni akaapa…“ (shahiri 4-6). Kulingana na Dan 12:7, kunabaki tena myaka 3 kusema ifike mwisho wa hiyo wakati. Ufun 10:7, inabaki na itaendelea kuwa kwa umoja. Ndugu Branham alisema kila mara kuhusu masiri za Mungu. Paulo naye alifanya hivyo: „Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu“ (1. Kor. 4:1).

Siri ya Mungu; ni Yesu Kristo BWANA wetu. Mtume aliweka mkazo mara moja tena: „…ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani Kristo; ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifu zime sitirika“ (Kol 2:2-3).

Kwa Februali, 1980 huko Marseille, Nili ulizwa swali kuhusu ngurumo saba mara ya kwanza. Hapo sikujibu chochote lakini asubui iliyo fuata, BWANA akaniita na sauti yenye nguvu. “Mutumishi wangu, amka na ukasome 2. Tim 4.“ Mtu hawezi kujiuliza namna gani ninavyo jisikia wakati kama huo. Hapo BWANA mwaminifu aliniambia maneno haya kwa kipekee. Ndipo nilipo kuwa niki soma: „Lihubiri neno, uwe tayari, wakati unao kufaa na wakati usiokufaa, karipia, kemea kuonya kwa uvumilivu wote na ma fundisho“. (shahiri 2). Nilitambua vema kwamba hakuna kitu kilicho andikwa kuhusu ngurumo saba; hapo nikusema hakuna kitu chochote kinacho stahili kuhubiriwa kuhusu hiyo.

Kazi yangu inahusika na kuhubiri. Neno lililo andikwa tu. Kwenye mishahiri matatu ya kwanza katika Ufunuo sura 1, tunasoma. „Heri asomae na wao waya sikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyo andikwa humo, kwa maana wakati ukaribu“ (Shahiri 3). Ndugu Branham alilinganisha mishahiri mine katika Ufun 22 mara 150. Mtu yeyote atakae ongeza wala kupunguza kitu chochote kwa haya yaliyo andikwa, kwa sehemu ya mti wa Uzima: „Usikubali chochote kama hakiandikiwe katika Biblia“.

Kila mhubiri ange weza kusoma kwa makini 2Tim 4 na kujipima, ili aone kwamba shahiri ya 2 kama ana hubiri Neno pekee. Ao shahiri la 3 na la 4 kama zina muhusu, ao kama anahubiri hadidhi za wanadamu. Yeyote asiye heshimu kila Neno la Mungu ana hukuniwa kwa kuamini matafsiri yao binafsi na mafundisho ya uongo (2. Thes 2:10-12).

Mimi simu kosowi Nabii, ila ni uajbu wangu wa kuweka kila kitu kwa nafasi yake katika maandiko kulingaana na utaratibu ya Kimungu. Kuhusu yale yote aliyo yasema yanayo lingingana na mpango wa okovu wa Mungu. Ni napashwa ku waambia wale wote wanao jilinganisha naye na kwenye Nukuu zake, yale ambao Petro aliyo yasema akilinganisha mabaruwa za Paulo: „Vile vile kama katika nyaraka zake zote pia, akitoa humo habari za mambo hayo; katika nyraka hizo yamo mambo, ambayo ni vigumu kuelewa nayo; na mambo hayo watu wasiyo na elimu, wasiyo Imara, huyapotoa, kama way a potoavyo na maandiko mengine, kwa uvunjifu wao wenyewe“ (2Pet 3:16).

Ndugu Branham alikuwa akiongea mara nyingi kuhusu mambo yatakayo kuja, anayaeleza kama vile mambo iliyo pita. Lakini hivi ndivyo ilivyo hata kwa unabii zote za kibiblia. Kwenye kisanga cha patimo, Yohana aliona mambo yote kuwa ya litendeka; Isipo kuwa tu wale wajinga wakiroho, wao ndio wenye wanao geuza ma nukuu kwaajili ya maangamizi ya kiroho kwa wale wanao wa sikiliza.

BWANA wetu alimshuhudia Yohana mbatizaji kwamba alikuwa mkuu kiliko nabii, lakini haja kuwa mkuu kuliko mtu.“Lakini kwa nini mlitoka? ni kuona nabii? naam, nawaambia, na alie mkuu zaidi ya nabii“. Na hapo BWANA wetu aliweka mkazo: “Huyo ndie alie andikiwa haya, tazama, mimi namtuma mjumbe wangu mbele ya uso wako, atakae itangeneza njia yako mbele yako“ (Mt 11:9+10). Neno lile linabaki ukweli kama neno ya Ndugu William Branham. Mitume wote walitangaza kurudi kwa BWANA lakini William Branham alipewa kazi ya hapo hapo, ya kuleta ujumbe unao tangulia kuja kwa pili kwa Kristo.

Alikuwa mwanadamu kwa namna yoyote, mtu alie tumwa na Mungu. Lakini karama ya kimungu ya kufunuliwa na hudma ya kinabii ya Ndugu Branham, haingeliweza kushindwa na ilikuwa kamili. Kama mwanadamu naye pia alikuwa na maoni ya mambo, kwa mufano, alikuwa amekubalishwa ya kwamba maono aliyoyaonyeshwa kwa mwaka wa 1933, kuwa ita itatimilika kwa mwaka 1977; Washabiki wandugu Branham walifundisha kwamba kila kitu kita kwisha kwa mwaka wa 1977 na kwamba unyakuo utakuwa umefanyika. Lakini inabaki kuwa kweli milele ya kwamba hakuna mtu anaye jua siku wala saa.

Kwa Disemba, 24, 1965 kipindi cha Baraka kilifikia mwisho. BWANA Mungu alimchukuwa kwake mtumishi na Nabii wake. Nilihuzuria mazishi yake kwa huzuni, ambao ilifanyika siku ya Jumatatu ya pasaka, Aprili, 11, 1966. Nafsi ilijaa huzuni. Wakati machozi na huzuni nyingi vilinijaa. Sauti ilisema maranyingi nami moyoni wangu: „Sasa wakati wako una kuja wa kwenda muji kwa muji kulihubiri Neno na kugawa chakula cha Kiroho“. Hapo nilijua kwamba wakati wangu umefika.

Kwa Aprili, 1966 kipindi kipya kilianza: ama kwa masemi mengine mwendeleo. Lakini, hayo yaliwezekana je? Utume wa BWANA mwenyewe, hapo baada ya mazishi, siku ya Aprili, 12 na 13, 1966, niliwa kusanya wandugu wote pamoja huko Jeffersonville. Lengo langu lili kuwa ya mahubiri yote yaliyo wekwa kwenye kanda yaweze kutafsiriwa kwa lugha nyingi tofauti. Roy Borders aliyekuwa mwandishi wa kipekee wa ndugu Branham ambaye nilie mjuwa, aliwekwa kwa ajili ya ku angalilia chumba cha unchapaji. Hivyo ndivyo ilivyo anza “Utangazaji wa Neno lililonenwa’’{Spoken word Publication}.

Ikiwa BWANA mwaminifu a singeli mpata mtumishi wake William Branham huko Jeffersonville siku, Juni, 1933, Hatungeliweza kusikia kitu kuhusu Ujumbe. Ikiwa BWANA mwaminifu a singeli mpata mutumishi wake Ewald Frank huko Jeffersonville kwa Aprili, 1966, ulimwengu hungewaza kusikia kwamba kuna Ujumbe.

Kwa 1973, nili safiri kwenda Jeffersonville nikisindikizwa na mwongozi wetu wa kanisa na mzee, Ndugu Leonhard Russ na Ndugu Erich Schwill. Wandugu wa hapo walituonyesha mahali Ndugu Branham alibatizia kwenye mto Ohio wakati mambo ya kimaajabu yalite ndeka. Pia tuli tembea kuona maskani ya ndugu Branham na majengo ya “Spoken Word’’ (Neno lililonenwa).

Yusufu, mtoto wamwisho wa Ndugu Branham alikuwa karibu na myaka 11 kwa Aprili, 1966. Kwa 1980, aliyiita jina tena kutoka “Spoken Word Publication’’ (Utangazaji wa Neno lililonenwa) kuwa “Voice of God Inc.’’ (Sauti ya Mungu) wakati huo nili kuwa nimekwisha tembea karibu nusu ya dunia ni kiuchukua Ujumbe wa Neno. Mbele ya kufanya kazi ya utume wa Kimungu, inaomba kwanza mwito wa kimutume na kutumwa kwa hapo hapo utangazwe.

Na sema hii mbele ya BWANA Mungu: Wakati sauti ya baragumu ya Malaika wasaba wa Ufun 10:7 ilipotangazwa kama vile: „Sauti ya Mungu’’ maabudu ya Nabii ilianza. Ufun 10:7 haisemi lolote kuhusu sauti ya Mungu. Katika Ufun 8 na 9, Inaonyesha wale Malaika wa sita wa baragumu ambao wataleta hukumu zao juu ya dunia. Katika ufun 10:7 tunakuta tangazo la yale ambayo yata kao timia wakati Malaika wa saba atakapo piga Baragumu: Hapo ndipo Siri ya Mungu itatimilika kama vile alivyo waambia watumishi wake manabii.

Katika ufun 11, nyuma ya wale washuhuda wawili kumaliza kazi zao na Hekalu lilipokwisha jengwa na kupimwa: „Malaika wa saba anapiga Baragumu (kama vile ginsi ilivyo tangazwa katika ufun 10:7). Paka wa na sauti kuu katika mbingu, zikisema, ufalme wa dunia umekwisha kuwa wa BWANA wetu na wa Kristo wake; naye atamiliki hata milele na milele“ (Ufun 11:15). Amina.

Mambo yote ambao wanaelekeza kuhusu Ufun 6 na kwa sura zingine munamo pia yatakayo kuja. Ndugu Branham alisema yale yote yaliyo tajwa katika muhuri wa sita na muhuri wa saba yote inaelekea kuhusu dhiki kubwa. Ufun 10 inaonyesha yale yatakayo tendeka wakati BWANA, kama Malaika wa Agano, ana weka miguu yake kwenye Nchi na Juu ya Bahari. Ila tu “Wakati (na si kwa mwaka hii 1963) hata ngurumo saba zilipotoa sautiya zona Yule malaika akainua mkono wake wa kuume kuekea mbinguni akaapa…“ (shahiri 4-6). Kulingana na Dan 12:7, kunabaki tena myaka 3 kusema ifike mwisho wa hiyo wakati. Ufun 10:7, inabaki na itaendelea kuwa kwa umoja. Ndugu Branham alisema kila mara kuhusu masiri za Mungu. Paulo naye alifanya hivyo*: „Mtu na atuhesabu hivi, kuwa tu watumishi wa Kristo, na mawakili wa siri za Mungu“* (1. Kor. 4:1).