Circular Letter
Baruwa ya Mzungoko - Mwisho wa mwaka 2018
Ewald Frank
Literature
Chapters
Myaka Mingi katika Kazi ya BWANA wangu katika Miji yakaribu na Inchi za Mbali - Somo la Muhimu: Ujumbe wa Mwisho mbele ya Kurudi kwa Kristo
Baruwa ya Mzungoko - Mwisho wa mwaka 2018
Kwa moyo wangu wote nina wasalimu wandugu na wa dada ulimwenguni pote katika Jina tukufu la BWANA wetu Yesu Kristo na andiko kutoka 1. Thes 3:13: “Apate kuifanya imara...
Vipindi vya wakati maalum
Kwa Disemba, 24, 1965 kipindi cha Baraka kilifikia mwisho. BWANA Mungu alimchukuwa kwake mtumishi na Nabii wake. Nilihuzuria mazishi yake kwa huzuni, ambao ilifanyika ...
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu! hukumu zake hazichunguziki, wala njia zake hazita fautikani!
Kwa utukufu wa Mungu, nina weza kushuhudia yale niliyo pewa kwa neema yake. Kwa myaka 70 iliopita niliishi mazoezi yangu na kutakasiya BWANA maisha yangu. Ni baada ya ...
Mbinu za shetani za kale
Ni vigumu kwetu kuelewa namna gani iliwezakana kwa nyota ya Arfajiri, Mwana wa asubui, aweze kuinuka mbinguni. Aliitaji aweke kiti cha ufalme juu ya nyota za Mungu na ...
Neema ya Mungu
Kwa furaha kubwa twaweza shukuru Mungu kwa neema yake. Tusipo jail na kusingiziwa na kuzihakiwa na hata vitendo vya mauwaji ya kitabia iliyo anza tangu mwaka wa 1979. ...
Upendo kamili Ndio Utakao Ingia Huko
Sikilizeni enyi waamini wa mataifa yote na kabila zote: Bwana arusi alie neno ye mwenyewe atachukua bibi arusi neno pekee! Huko mbinguni kutakuwa bibi arusi alie oshwa...
PDF
EPUB