Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 2: Ni toleo gani la haki alilo lipewa Ndugu Branham kwa Utume wake?

« »

Jibu: „KAMA VILE YOHANA MBATIZAJI ALIVYO TUMWA MBELE KUTAYARISHA KUJA KWA KWANZA KWA KRISTO, UJUMBE ULIYO YIPEWA WEWE NDIYO ITAKAYO TAYARISHA KUJA KWA PILI KWA KRISTO“.

Musemo hiyo moja moja, Ndugu Branham ameisema zaidi ya mara 40 katika mahubiri tofauti. Kwa nini tena toleo hili liligeuzwa kwa masemi ifwatayo: „Kama vile Yohana mbatizaji alivyo tumwa kutayarisha kuja kwa kwanza kwa Kristo, ndivyo hivyo nawe umetumwa kutayarisha kuja kwake kwa pili“. Maneno haya hata yalichapiwa kwenye mlango wa kuingia ndani ya nyumba mpya ya Ndugu Branham huko Tuksoni.

Ni mtu gani kwa duniani anaye ruhusiwa kubadilisha na kukataa utume halisi, ambayo ni; ujumbe utatangulia kuja kwa pili kwa Kristo? Mtu anaye fanya hivyo anamfanya ndugu Branham kuwa mwongo, kwa maneno aliyo yasema mara 41 akisema kwamba ujumbe ndiyo utakuwa mtangulizi wa kuja kwa Kristo. Na japo alitia mkozo akisema kuhusu utume wake,“ Siyo kwamba mimi nita kuwa mtangulizi, baali Ujumbe ndio utakuwa mtangulizi“. (Ushuhuda, Puetrorico, 2. 10. 1959). ni nani basi anaye sema ukweli? Ni wale watu wilio mjua Ndugu Branham kipekee, ao Ndugu Branham,mwenye unajuwa BWANA kwa kipekee?. Nikitu gani kinacho sukuma wandugu hao kuongoza watu wengine kwa uongo na kuwafunga katika kiroho kwa maoni yao? Wanaonyesha hudma iliyo pita wakiwaziya hudma itakayo kuja ya nabi, lakini kwa njiya hiyo wanapita kwa yale ambayo BWANA anayo yafanya kwa sasa.