Book

Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Ewald Frank

library_books Chapitres: 34 calendar_month 27. 9. 2006

Navigate

Chapitres

expand_more

Navigate

Chapitres

Jump to any chapter without leaving the reader.

MASWALI ZILIZO WEKWA MBELE YA NDUGU EWALD FRANK KUTOKA KWA WA HUDMU WA INCHI TOFAUTI 1 Swali La 1: Nimusimamo gani unayo kuhusu hudma ya Ndugu Branham? 2 Swali La 2: Ni toleo gani la haki alilo lipewa Ndugu Branham kwa Utume wake? 3 Swali La 3: Maoni yako nigani, Kuhusu Ujumbe ya Wakati wa Mwisho? 4 Swali La 4: Jee, unamkosowa Nabii kwa mambo Fulani Fulani? 5 Swali La 5: Yakini yako ni gani, Biblia ao Ujumbe? 6 Swali La 6: Jee, Unafundisha Tofauti Nayale ambayo Ndugu Branham ali fundisha? 7 Swali La 7: Jee, Unaami kufunuliwa kwa Mihuri Saba? 8 Swali La 8: Jee, Na Muhuri wa Saba Umefunuliwa? 9 Swali La 9: Jee, Unaamini Kwamba Ufunuo 10:1-7 Imekwisha timiya? 10 Swali La 10: Jee, unaamini ya kwamba ngurumo saba zimefunuliwa kwa ndugu Branham? 11 Swali La 11: Kwa nini Ndugu Branham aliongeya mara nyingi kuhusu “Mvuto Wa tatu?“ 12 Swali La 12: Kwa nini ndugu Braham maranyingi alijilinganisha na Ufunuo 10:7? 13 Swali La 13: Jee, Unaamini Hudma ya Mjumbe wa mnane? 14 Swali La 14: Unaamini fundisho la Parousia? 15 Swali La 15: Jee, unaamini kwamba mwana wa Adamu amekwisha kuja kulingana na Luka 21:27? 16 Swali La 16: Ninamna gani na hudma yako? Inapatikana katika Biblia? 17 Swali La 17: Jee, Unahubiri mahubiri ya Ndugu Branham? 18 Swali La 18: Chakula chakiroho ni gani, jee ni mahubiri ya Ndugu Branham ao Biblia? 19 Swali La 19: Ninani atakaye lionyesha kanisa la wakati wa mwisho kwa BWANA? 20 Swali La 20: Unajisikia jee, kwa wale wanao zihaki jina lako? 21 Swali La 21: Jee, Ndugu Branham alifundisha Kuowa wengi? 22 Swali La 22: Unafundisha je kuhusu Ndoa na Talaka? 23 Swali La 23: Jee, ni vipi kuhusu yale yanayo husu familia ya mutumishi wa Mungu? 24 Swali La 24: Ninamna gani kuhusu kitabu cha nyakati saba za kanisa? 25 Swali La 25: Jee, Muda za Nyakati za kanisa zilimfunuliwa ndugu Branham? 26 Swali La 26: Jee, Ndugu Branham alitabiri kwamba mwisho wa dunia ni katika mwaka wa 1977? 27 Swali La 27: Jee, ndugu Branham aliona kalendari inayo isha kwa mwaka 1977? 28 Swali La 28: Jee, Ubatizo wa roho mtakatifu ni sawa sawa na kuzaliwa upya? 29 Swali La 29: Jee, Ni namna gani kuhusu ono la ndugu Branham katika hema? 30 Swali La 30: Jee, kitu chochote kilicho oneshwa katika ono chaweza kubaki pasipo utimilifu? 31 Swali La 31: Tunaweza kulinganisha namna gani Islaeli na kanisa? 32 Swali La 32: Kulingana na mpango wa okovu tuko katika sehemu gani? 33 KWA MAFUPI 34

Chapitre 8

Swali La 7: Jee, Unaami kufunuliwa kwa Mihuri Saba?

8 / 34

Jibu: Ndiyo, Ninaamini kama mihuri saba ilifunuliwa kwa kimaajabu. Ndugu Branham aliniambia kwa kipeeke kwa mwanzo wa Disemba, 1962 kwamba yeye na jamaa yake wataenda huko Tucson kwa mwezi wa Januari 1963. Alikuwa ameabiliwa katika Ono, kwamba wakati utakapo fika wa kwenda huko Tucson, niwakati kazi ya upanuaji wa barabara uta kapo anza hapo mahali hapo uzio wake dongo utakapo bomolewa nakuangushwa chini na mashini za kutengeneza barabara zikizunguka barabarani. Kwamuda huo nilijioneya na macho yangu mwenyewe kazi hiyo kwenye barabara na uzio jinsi ulivyo angushwa chini kwenye udongo. Ndugu Branham alipewa Ono siku 22 Disemba 1962 kuhusu kuonekana kwa wingu kuu la kimaajabu, ambalo alikuwa amelizungumzia katika mahubiri yake ya siku 30 Disemba na suku 28 Februari 1963 alipo ambiwa kutoka katika wingu kuu la kimaajabu kuridi huko Jeffersonville, kwaajili ya kufunuliwa kwa Mihuri.

Available translations