Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Swali La 8: Jee, Na Muhuri wa Saba Umefunuliwa?
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Jibu: Yeye anaye soma ao kusikiya mahubiri kuhusu mihuri saba, atakuta kwamba kila wakati Ndugu Branham alisoma Ufunuo maneno yote ya kila muhuri, tukitosha muhuri wa saba. Hapo alisoma tu ukurasa wakwanza wa sura 8, ambayo ina sema kuhusu kimya katika mbingu muda wa nusu saa. Aliifunga hii muhuri wa saba na mambo mengi tofauti. Na akaongeya kuhusu mwisho wa nyakati za kanisa, na mwisho wa baragumu, na mwisho wa hivyo vikombe vya hasira ya Mungu, ndiyo kusema mwisho wa mambo hayo yote. Mtu anaye soma maneno ya Ufunuo 8 kuanzia ku shahiri ya 2, atasikiya kunasemeka wa malaika saba wanao jitayarisha kupiga baragumu hizo saba.
Kuna malaika saba wa ma kanisa saba (Ufunuo sura 1 mpaka 3).
Tena, kuna wa malaika saba wenye Baragumu (Ufunuo sura 8 mpaka 11).
Na kuna wa malaika saba wenye vikombe vya hasira ya Mungu (Ufunuo 15 na 16). Wote wako na nafasi yao katika utaratibu ya kiungu.
Nukuu: „Katika sehemu tatu za kwanza za Ufunuo, mambo yote ya nayo husika na kanisa yame funuliwa. Baada ya hayo, hatuoni kitu yengine kuhusu kanisa hadi sura ya 19. Kwa sura ya 4, kanisa inanyakuliwa na inarudi tena kwa sura ya 19. BWANA arusi na Bibi arusi wanarudi pamoja duniani. Kwa sura ya 19 na 22 munamo mambo yote yanayo husu myaka Elfu na yenye itakuja baadae. kati ya sura ya 4 na 19, mungu anahusika na Israeli“ (Sikukuu ya baragumu sura ya 5 na 30). Ndugu Branham aliweka mkazo maranyingi. Nina wasihi wacha hili liandikwe katika herufi kubwa: „Sura ya 4 na 19, muna fungiwa ndani sura ya 8 na 9, 10 na 11“. Katika sura hizi inne zote, hamuna kitu chochote kinacho husu Kanisa kama vile Ndugu Branham alivyo sema mara nyingi.
Kulingana na muhuri ya saba, kiti cha neema kitaka pogeuka kiti cha hukumu, hapo hakutakuwa mupatanishi tena wa kupokeya maombi ya watakatifu (Ufunuo. 8:2-5). Hapo sasa moto kutoka kwenye madhabahu utatupwa duniani. Ndipo kuta fuata sauti za Ngurumo na Umeme na mengineyo.(Shahiri la 5) Ndugu Branham aliambiwa ya kwamba baragumu saba hazihusike na wakati wa nyakati za kanisa.
Nukuu: „…Hapohapo baada ya wamalaika wa BWANA walipo onekana kwangu na kuniambiya kuhusu baragumu saba ao mihuri saba …hapo ndipo Roho-mtakatifu alinionyesha kwamba hazina mafaa yoyote kuhusu kanisa kwa wakati huu, sababu haikukuwa namaana kwa kanisa…baragumu zinakazi kwa kukusanya wa Israeli …Kumbukeni hayo, kila baragumu ina sikilikana wakati wa muhuri wa sita…ninamna gani ilivyo kamili baragumu ya saba na muhuri wa saba!“ (Siku kuu ya baragumu, 19 Julai, 1964)