Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 9: Jee, Unaamini Kwamba Ufunuo 10:1-7 Imekwisha timiya?

« »

Jibu: Ufunuo 10 haija timiya bado. Kama vile tume kwisha kuiona, hiyo haina uhusiano na kanisa. Ngisi inavyo andikwa ndani ya Ufunuo.3:14-22 Ndugu Branham alikuwa mjumbe wa kizazi chamwisho cha kanisa na si malaika wa baragumu. Alikuwa akijilinganisha na Ufunuo 10, kwa sababu nimahali moja tu katika Biblia ambapo kuna semeka kuhusu Ngurumo saba. Kwa hiyo tunatambua hali za nyakati hizi mbili tofauti katika Unabii. Kama kwa mufano Matayo. 2:15 inaonyesha utimilifu wa neno lililo katika hoseya. 11:1.“Nime muita mwana wangu toka misri“ili litimiye kwa ajili ya Yesu-kristo, na yale yaliyo andikwa katika Kutoka. 4:22 yana dumu bila kubadilika: „Bwana asema hivi, Israeli ni mwanawangu, nami nimekuambiaMpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia…“. kuna unabii wa kibiblia ambao una weza tumikishwa mara mbili. Lakini hata ingawa inaweza kuwa vile, ni lazima iachwe kwa nafasi yake kamili ampapo unastahili, kulingana na mupango wa okuvu. Utimilifu wa kweli wa Ufunuo 10 ulitangazwa mbele na utaeleweka zaidi kupitia maandiko yataka yo fuata. Mara tena tunaoneshwa lazima ya kiungu, ya kwamba kilakitu kinapashwa jengwa kupitia zaidi ya andiko moja.

Neno la kwanza la Muhimu “kuunguruma“

Ata unguruma kwa sauti kubwa kama vile simba anguru mavyo“  (Ufunuo 10:3)

BWANA atanguruma toka juu, naye atatoa sauti yake toka patakatifu pake, atanguruma sana juu ya zizi lake…“ (Yeremia. 25:30)

“Wata kwenda kumufuata BWANA, atakae nguruma kama simba; kwa maana atanguruma, nao watoto watakuja kutoka mangaribi…“ (Hosea 11:10)

Nae BWANA atanguruma toka sayuni, atatoa sauti yake toka Yerusalemu; na mbigu na nchi zitatetemeka; lakini BWANA atakuwa kimbilo la watu wake, na ngome ya wana wa Israeli“ (Yoeli 3:16).

“…BWANA atanguruma toka sayuri, atatoa sauti yake toka Yerusalemu…“ (Amosi 1:2)

Neno la kufata la muhimu “kuapa“

“Na Yule malaika nilie mwona, akisimama juu ya bahari na juu ya nchi, akainua mkono wake wa kuume kuelekea mbinguni, akaapa kwa yeye alie hai hata milele na milele, yeye alie ziumba mbingu na vitu vilivyomo, na bahari na vitu vilivyomo, ya kwamba hapatakuwa na wakati baada ya haya…“ (Ufunuo 10:5-6)

“Nami nika msikia Yule mtu alie vikwa nguo za kitani aliekuwa juu ya maji ya mto, hapo alipo inuwa mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kwelekea mbinguni; akaapa kwa yeye alie hai milele na milele, ya kwamba itakuwa wakati…“ (Danieli. 12:7) Hii haingeliweza kusemwatena waziwazi kwamba tangu muda huo alipo apa, kunabaki tena myaka mitatu na nusu mpaka wakati wa mwisho. Kwa uhakika nyakati hizi ziko kwa nafasi yake kamili!

Wakati BWANA anashuka kama malaika wa Agano, ataweka muguu yake kwa bahari na nyingine kwa udongo, na kusamba mamlaka yake mwenyewe! Hapo ndipo ngurumo saba zitatoa sauti yazo. Tunapashwa jua kwamba kila andiko linapashwa pata utimilifu wake katika maandiko na kila tafsiri ni udanganyifu wa mwovu. Vile ndivyo vilivyo hata kwa sehemu ya pili ya Malaki 3:1-2, yenye ilikuwa bado kutimilika kwa wakati wa kuja kwa kwanza kwa Kristo. Nandio maana haikusemeka katika Agano Jipya, lakini wakati ile kitendo kitatendeka ndipo litatimia “…Naye BWANNA mnae mutafuta atalijia hekalu lake gafla; naam, Yule mjumbe wa Agano mufurahiae, angalieni, anakuja, asema BWANA wa majeshi. Lakini ni nani atakae stahimili siku ya kuja kwake? ao ninani atakae simama atakapo onekana nayeye? kwamaana yeye ni mufano wa moto wa mtu asifishae fedha…“ (Malaki 3:1-2). Hii kuja kama malaika wa Agano, ambayo imesemeka kwa urefu; kwa maandiko ambazo zimesomwa hapo nyuma inastahili kuwekwa mahali ambapo maandiko inaiweka – pamoja na Israeli. Kwa wakati huo hekalu litakuwa lime kwisha kupimwa na kujengwa tena kulingana na Ufunuo 11:1-2, Hapo sasa ndipo huyo malaika wa Agano ambae ni BWANA wa majeshi, ataingia. Amina!

Ata unguruma kwa sauti kubwa kama vile simba anguru mavyo (Ufunuo 10:3)