Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Swali La 10: Jee, unaamini ya kwamba ngurumo saba zimefunuliwa kwa ndugu Branham?
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Jibu: hapa kuna maneno ambayo ndugu Branham aliyo ya sema kuhusu somo hilo katika mahubiri yake ya mwisho ya siku, 15 Ogusti 1965, “…ngojeeni mpaka tutakapofikia kufunuliwa kwa mapigo, mihuri, na ngurumo saba.“ Aliongeya kuhusu ngurumo saba zaidi sana akiambatanisha na hiyo tukiyo kubwa lililofanyika siku 28 Februari 1963, wakati alipo sikia sauti ya ngurumo saba zenye nguvu na wingu kubwa lakimaajabu lika onekana. Dr JAMES MC DONALD, wa univasta ya Tukso, alilinganisha Picha nyingine zilizo kamatwa, hapo ndipo wapasha habari wa “Science“ magazine siku 19 Aprili 1963 na “Life“ magazine siku 17 May 1963 ndio walio tangaza tukio hilo. Nayale yanayo semeka kuhusu hilo. Kufwatana natukio hili Ndugu Branham aliongeya kuhusu imani ya unyakuo, jina mpya ambalo litafunuliwa naaliambatanisha na matukio mengine ya muhimu.
Ngurumo saba za Ufunuo zinastahili kuachwa mahali zilipangiwa na Mungu. Sababu zitatoa sauti yazo wakati Malaika wa agano anashuka kwa Israeli (kitabu cha mihuri saba Pg 72). Mafundisho yanayo sema kwamba ngurumo saba ni“ nguvu saba“ao“watu saba wa ajabu“ ao matafsiri yoyote kuhusu ngurumo, zina stahili kukataliwa mbali, kwa sababu nima tasfiri ya watu binafsi, na masemi ya watu ambayo hayana msingi wa kibiblia (wa kimaandiko).
Baada ya Ndugu Branham kuhubiri mihuri saba, aliambiwa kurudi kwa maskani yake na kusema mambo Fulani ya muhimu, kati yahayo munamo maelezo yafwatayo: „Kama hivi, inavyo andikwa kwamba hakuna mtu aijuae saa ya kuja kwake; na hivyo ndivyo hakuna mtu anae jua siri za ngurumo saba“ (Kitabu cha mihuri saba Pg 576)
Wahubiri, mtoe mikono yenu kuhusu ngurumo saba, na mkaiachiye Mungu mwenyewe. Yohane hakuruhusiwa kuandika yale ambayo ngurumo saba zilisema. Namaneno hayo hayakupata nafasi katika neno lillilo andikwa la Mungu, na kwasababu hiyo haiwezi kuhubiriwa: Hii ni ASEMA BWANA katika neno lake, tume amuriwa kuchunga mambo ambayo yanaandikwa pekee. (Ufunuo. 1:1-3) natume katazwa kuongeza jambo lolote kwa kwamaneno ya unabii wa kitabu hiki. (Ufunuo. 22:16-21) Kweli hii sini arifa iliyo wazi?