Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 18: Chakula chakiroho ni gani, jee ni mahubiri ya Ndugu Branham ao Biblia?

« »

Jibu: Ninani angeliweza uliza swali kama hili? Itabaki kuwa kweli milele kwamba mtu wa kiroho hataishi kwa mkate tu wakimwili bali kwa mkate utokayo mbinguni (Yohana 6:32-59). Chakula cha kiroho ni Neno la Mungu linalo tuweka nguvu kufanya mapenzi ya Mungu (Yohana 4:34). Tunapo soma Biblia nakuipokea kupitiya mahubiri, kwa wateule wanao amini neno itatimiza kile ambacho lilitumwa kufanya. Katika mahubiri ya Ndugu Branham tunakuta neno lililo funuliwa na Mana iliyofichwa ya moto kwa wateule. Hii ndiyo lengo la kiungu ambalo linaambatana na sehemu ya hudma ya Kinabii na Kufundisha.