Book
Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Ewald Frank
Navigate
Kapitoly
expand_more
Navigate
Kapitoly
Navigate
Kapitoly
Jump to any chapter without leaving the reader.
Kapitola 20
Swali La 19: Ninani atakaye lionyesha kanisa la wakati wa mwisho kwa BWANA?
20 / 34
Jibu: Ilikuwa itaji ya mtume Paulo la kumulika kwa Kristo Kanisa lililo safi kwa wakati wake (2. Wakorintho. 11:2-4). Lakini, mtume alikuwa akiogopa kuwa kama vile Hawa alivyo daganywa na nyoka, mafikiri ya waamini isidaganywe na kutoka kwa unyenyekevu kwa Kristo. Pia anaonyesha namna upotevu ulivyo ingizwa: kupitia wale wanao hubiri Yesu mwengine, na wakitangaza injili ingine sababu walipokea roho nyingine. Kulingana na Waefeso 5:26-27, BWANA Yesu mwenyewe, atajiletea Kanisa lake mbele yake: „Apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na hila wala kunyanzi wala lolote kama hilo; bali liwe takatifu lisilo na lawama“. Mtu wa Mungu anahubiri tu Neno, Lakini BWANA mwenyewe ndie Neno, alikomboa kanisa lake, ana waita waliyo wake kutoka na ndiye mwenyewe atakae timiza kazi yake ya ukombozi. Wale walio hubiri wata kuhukumiwa mbele ya macho ya wale ambao waliwahubiri. Kulingana na yale ndugu Branham aliona alipo chukuliwa nyuma ya ukuta wa nyakati. Hii inatembea na maandiko katika Warumi 14:7-12, na 2. Wakorintho 5:9-10 mahali Paulo anasema: „Kwa maana imetupasa sisi sote kudhihirishwa mbele ya kiti cha hukumu cha Kristo“.
Available translations
PDF
EPUB