Book

Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Ewald Frank

library_books Kapitoly: 34 calendar_month 27. 9. 2006

Navigate

Kapitoly

expand_more

Navigate

Kapitoly

Jump to any chapter without leaving the reader.

MASWALI ZILIZO WEKWA MBELE YA NDUGU EWALD FRANK KUTOKA KWA WA HUDMU WA INCHI TOFAUTI 1 Swali La 1: Nimusimamo gani unayo kuhusu hudma ya Ndugu Branham? 2 Swali La 2: Ni toleo gani la haki alilo lipewa Ndugu Branham kwa Utume wake? 3 Swali La 3: Maoni yako nigani, Kuhusu Ujumbe ya Wakati wa Mwisho? 4 Swali La 4: Jee, unamkosowa Nabii kwa mambo Fulani Fulani? 5 Swali La 5: Yakini yako ni gani, Biblia ao Ujumbe? 6 Swali La 6: Jee, Unafundisha Tofauti Nayale ambayo Ndugu Branham ali fundisha? 7 Swali La 7: Jee, Unaami kufunuliwa kwa Mihuri Saba? 8 Swali La 8: Jee, Na Muhuri wa Saba Umefunuliwa? 9 Swali La 9: Jee, Unaamini Kwamba Ufunuo 10:1-7 Imekwisha timiya? 10 Swali La 10: Jee, unaamini ya kwamba ngurumo saba zimefunuliwa kwa ndugu Branham? 11 Swali La 11: Kwa nini Ndugu Branham aliongeya mara nyingi kuhusu “Mvuto Wa tatu?“ 12 Swali La 12: Kwa nini ndugu Braham maranyingi alijilinganisha na Ufunuo 10:7? 13 Swali La 13: Jee, Unaamini Hudma ya Mjumbe wa mnane? 14 Swali La 14: Unaamini fundisho la Parousia? 15 Swali La 15: Jee, unaamini kwamba mwana wa Adamu amekwisha kuja kulingana na Luka 21:27? 16 Swali La 16: Ninamna gani na hudma yako? Inapatikana katika Biblia? 17 Swali La 17: Jee, Unahubiri mahubiri ya Ndugu Branham? 18 Swali La 18: Chakula chakiroho ni gani, jee ni mahubiri ya Ndugu Branham ao Biblia? 19 Swali La 19: Ninani atakaye lionyesha kanisa la wakati wa mwisho kwa BWANA? 20 Swali La 20: Unajisikia jee, kwa wale wanao zihaki jina lako? 21 Swali La 21: Jee, Ndugu Branham alifundisha Kuowa wengi? 22 Swali La 22: Unafundisha je kuhusu Ndoa na Talaka? 23 Swali La 23: Jee, ni vipi kuhusu yale yanayo husu familia ya mutumishi wa Mungu? 24 Swali La 24: Ninamna gani kuhusu kitabu cha nyakati saba za kanisa? 25 Swali La 25: Jee, Muda za Nyakati za kanisa zilimfunuliwa ndugu Branham? 26 Swali La 26: Jee, Ndugu Branham alitabiri kwamba mwisho wa dunia ni katika mwaka wa 1977? 27 Swali La 27: Jee, ndugu Branham aliona kalendari inayo isha kwa mwaka 1977? 28 Swali La 28: Jee, Ubatizo wa roho mtakatifu ni sawa sawa na kuzaliwa upya? 29 Swali La 29: Jee, Ni namna gani kuhusu ono la ndugu Branham katika hema? 30 Swali La 30: Jee, kitu chochote kilicho oneshwa katika ono chaweza kubaki pasipo utimilifu? 31 Swali La 31: Tunaweza kulinganisha namna gani Islaeli na kanisa? 32 Swali La 32: Kulingana na mpango wa okovu tuko katika sehemu gani? 33 KWA MAFUPI 34

Kapitola 21

Swali La 20: Unajisikia jee, kwa wale wanao zihaki jina lako?

21 / 34

Jibu: Mimi sijisikie vibaya, ila tu hiyo ina nisukuma kuwabariki wale ambao hawawezi kuchunga chuki yao: Nahiyo haifanyiki kwangu peke yake, ila ni kwakila mutumishi wote wa Mungu anaye tangaza neno la Mungu kama vile mtume Paulo alivyo sema: „Kwa utukufu na aibu, kwakusemwa vibaya na nakusemwa

vizuri, kamawadanganyifu; bali tu watu wa kweli“ (2. Wakorintho. 6:8). wakati nyingine kwamfano mambo yasiyoyakweli na mazihaki yanasambazwa, kupitiya baruwa zilizo wazi, hata kwenye madhabau, na kwamtandao, hata nakatika vitabu vyao vinavyo eleza kuhusu ngurumo saba. Hivi tunatambua kama hizi ndizo mbinu ambazo shetani anatumiya ili apate namna ya kubomoa ushawishi wa utume wa kimungu. Hapo natambuwa kama shetani anatumikisha watu hao. Hivyo ndivyo alivyo fanya kwa watumishi wote wa Mungu. BWANA yesu aliye niita hunipa nguvu mupya kilasiku ili niweze kugawa neno la kweli la Mungu pamoja na waamini wote wa kweli. Ingawa matusi yote ninayo yavumilia, ninaweza tu kuwatakia mema kwa wale maadui wakale na wa sasa wanao kataa kweli. Niwale viongozi wa kidini walio saliti manabii na kuzihaki BWANA na mitume kwakuwa walikuwa vipofu katika roho na walitaka waongoze vipofu. Tabia ya mbegu ya kweli itajionyesha yenyewe. Hauwezi chuma tini kwenye miiba, nakwa chemuchemu moja hakuwezi toka maji matamu na maji machungu. Wengi wanapenda kwa namna ya kaini (1.Yohana 3:11-12), ambao ilizaa mauti wakati ule; kwaleo sasa kuna mauwaji ya kitabiya. Kaini na wivu yake, na Abeli aliye kubaliwa na BWANA, ni mfano mbele ya macho yetu. Uadui na wivu, vyazaa mauti.

Nukuu: „silazima kutumia upanga kumchoma mwenziyo mgongoni kwa kumuuwa. Unaweza kubomowa ushawishi wake na kuuwa ushawishi wake. Kusema vibaya mchungaji wako, ukisema mambo mabaya juu yake: Nikama vile kumchoma upanga. Kusema kitu chochote kisicho chakweli kwa mutu, hiyo itabomowa ushawishi wake mbele ya watu, na

utahukumiwa!Hivyo ndivyo alivyo sema yesu“ (vitu vya zahabu Pg. 167).

Isaka na Ishimaeli walikuwa watoto wa baba moja: kwa hivi yule aliyezaliwa kwa mwili alimchukia yule aliye zaliwa kwaahadi. Basi ndugu zangu kama isaka sisi niwatoto waahadi. lakini kama vile siku zile aliye zaliwa kwa mwili alivyo muudhi yule aliye zaliwa kwaroho, ndivyo ilivyo na sasa (Wagalatia. 4:28-30). Hiyo haiwezi kubadilika. Hiyo haiwezi kufichwa.“kila amchukiaye ndugu yake nimuuwaji: Nanyi munajuwa yakwamba kila muuwaji hana uzima wa milele ukikaa ndani yake.“ (1.Yoane 3:15). Hii nikweli yakujaa. Yeyote amchukiae ndugu yake na ku muuwa kwa maneno mabaya kwakweli „anajiuwa mwenyewe“kwasababu anapoteza uzima wa milele.

Available translations