Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Swali La 21: Jee, Ndugu Branham alifundisha Kuowa wengi?
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Jibu: Hii niswalii gani katika duniya ya watu! La! Haija kuweko, sivyo. Wandugu wengi katika inchi za Afrika, ambapo kuowa wengi ikingali nafanyika wakiweka mkazo ku maneno ya nabii kuhusu hiyo, ili wapate namna ya kuweza kutimiza tamaazao. wakijilinganisha na Ibrahimu, Yakobo, Elkana, Gideoni, Daudi na Salomono nawengineo wakiweka mkazo na kusema kwamba Daudi alifanya dhambi moja yauzinifu alipo muchukuwa mke wa Uriya. Somo hili nilakushika naangalisho kuliko zengine kwakuwa linaele weka haraka vibaya.
Ndugu Branham alisema kuhusu hiyo“lakini sasa mihuri ilipo vunjwa Roho wa kweli anatuongoza kwenye neno. Hiyo ina tuonesha kwa nini makosa yote yalionekana katika vizazi vyote ni kwa sababu mihuri ilikuwa bado haiya vunjwa. Ilikuwa bado kufunuliwa. Hii ni kweli“ (Ndoa na Talaka Pg. 34)
Ndugu Branham alitumikisha mara moja moja msemo “polygamie“ yaani “kuowa wengi“ Zaidi sana katika mahubiri yake yanayo itwa “Ndoa na Talaka“ ya (siku 21 Februari 1965 akilinganisha na Agano la kale. Hakuwa na itaji ya kuweka mzigo kwa wa ndugu. Wakati Mungu alitowasheria hakutia sababu. “Akimuchukuwa mwengine…“ si wake wengi (Kutoka 21:10). Kwa njia hiyo, Mume angeshika usimamizi wote kwa kila mmoja wao. Bwana Mungu naye aliweka haki ya mzaliwa wa kwanza kwa hiyo (Kumbukumbu 21:15-17).
Mtume Paulo aliandika waziwazi kwamba kila mume anastahili kuwa na muke wake na kila mwanamke anastahili kuwa na mume wake (1. Wakorintho 7). Ndugu Branham kwa musemo muzuri alitafuta kuweka mkazo ya kwamba mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwana mume, siyo mume kwa ajili ya mwanamke (1. Wakorinto 11:9) Na ndiyo sababu, baada ya Talaka Mume anaruhusiwa kuowa tena, bila kuonekana kama mwenye makosa mbele ya mkewe alie mtaliki. Lakini sasa kama mwanamke huyu akiolewa tena, anaishi katika uzinifu, kwa sababu anafungwa na sharia ya Mungu kwa kiapo chake cha ndoa wakati wowote mume wake angali hai (Waroma 7:2, 1. Wakorintho 7:39). Hiyo ilifunuliwa kwa ndugu Branham kwahiyo wingu ya kimaajabu ya Rangi ya kimanjano iliyo mufikia wakati wa kufunguliwa kwa mihuri saba. Tazama maneno ya kinywa chake; “Hapa haisemi kitu chochote Zaidi yake anaye owa tena, bali kwa mwanamke … Hapa inasemeka kwamba anaweza kuowa tu bikira, lakini hawezi kuowa mke wa mwengine. Sivyo na sivyo. Na akiowa mke alie talikiwa, anaishi katika uzinifu … Kwasasa tambueni ya kwamba mume anaweza tena; lakini mwanamke hawezi. Kama David, kama Salomon, kama vile mwendeleo ya biblia yote…“ Tofauti inaonekana wazi! “Mwanamke anapashwa kubaki pekee yake bila kuolewa tena ao anaweza kujiunga tena na mumewe. (1. Wakorintho 7) Hastahili kuolewa tena anapashwa kubaki peke yake. Lakini sasa tazameni hakusema hivyo kuhusu Mume. Mnaona hamuwezi mkadanganya neno“ (Ndoa na Talaka Pg. 33-33).
Wote wangeweza kuelewa somo hili kupitia maelezo yaliyo wazi ambayo ndugu Branham ametoa kwa kuwa alipokea jibu ya hapohapo ya Mungu kuhusu shida ya Ndoa na Talaka. Hii ufunuo inayo tembea na maandiko ikotofauti sana na yale ambayo tuliyo ya pokea katika mawazo ya kitamaduni nayale ambayo madhehebu yanafundisha. Yule ambaye anaye jiwazia kama anajua yote kuhusu soma hili anapashwa kujiachilia aambiliwe kwamba Mungu hawezi akamwongelea mtu kama huyo. Jambo hili lilikuwa la muhimu sana kwa Mungu mwenyewe katika wingu la kimaajabu kumupa mtumishi wake na Nabii ufunuo kamili. Wote wanao jitangazia kweli kuwa wanaamini ujumbe wa wakati, wataheshimu hilo.