Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 23: Jee, ni vipi kuhusu yale yanayo husu familia ya mutumishi wa Mungu?

« »

Jibu: Tunaweza kuuliza swali, maandiko inasema nini kuhusu jambo hilo? Kwa mfano katika Mathayo sura 5, 6 na 7 katika mahubiri kwenye mlima Bwana ameweka yote. Kwa mwisho wa mahubiri hayo tuna soma maneno haya: „Ikawa Yesu alipoyamaliza maneno hayo makutano walishangaa mno kwa mafundisho yake,“ (Mathayo 7:28) Katika matayo 10, Bwana anawaambiya wanafunzi kumi na wawili aliyo waita mitume na siyo makutano. Akawaambia; „Na mtu asipo wakaribisha wala kuyasikiliza maneno yenu, mutokapo katika nyumba ile au mji ule, kunguteni mavumbi ya miguu mwenu.“ (Mathayo 10:14). „Angalieni, mimi na watuma kama kondoo kati ya umbwamwitu, basi iweni na busara kama nyoka na kuwa watu wapole kama hua.“ (Mathayo 10:16). „lakini watakapo wafukuza katika muji huu, kimbilieni mwingine, kwa maana ni kweli na waambia; Hamtaimaliza miji ya Israel hata ajapo mwana wa Adamu“ (Mathayo 10:23) kwa mwisho aliandika kuhusu utume wa watumishi wake kwa maneno ya fuatayo; yanayo dumu milele: „Awa pokeaye nyinyi anipokea mimi, naye aliye nituma“ (Mathayo 10:40). Wote wangeweza kusoma kwa makini yale Bwana anasema kwa wale aliyo watuma yeye mwenyewe. Wana pashwa kwenda mji kwa mji wakiwa wameowa au wasiwe wameowa.

Mwito ni agizo kwa wale ambao BWANA wetu Yesu Kristo aliyo waita ili watangaze usalama, anasema: „msidhani yakuwa nimekuja kuleta Amani duniani: la! Sikuja kuleta Amani baali upanga. Kwa maana nilikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu; Adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.“ (Mathayo 10:34-36). Hiyo ni machafuko katika familia iliyo tangazwa mbele ambayo inaweza fanyika hata ndani ya nyumba ya muhubiri. Hata hivyo, mtumishi wa Mungu anapashwa kuendelea kuhubiri kwa wale ambao aliwatuma, hakuna maisha ya familia bora ao huduma yenye haina vita. Mungu hakusema kwamba mtume nabii au mwalimu awe mume alie oa. Hali yoyote ndoa ya mutumishi wa Mungu anaye weza kuwa nayo, Anapashwa kuheshimu utume wa kiungu.

Tazama ginsi ilivyo tofauti na maneno ambayo yana sema kuhusu wazee wa kanisa la pahali! Kufwatana na 1. Timotheo 3 na Tito 1, wazee na mashemasi wanapashwa kuwa wameoa, musemo“Awe Bwana wa mke mmoja…“ (1. Timotheo 3:12). Haimaanishi ya kwamba wengine wawe na wanawake wengi, ginsi wanavyo taka. Hiyo ina maanisha ya kwamba mume yeyote anaye kuwa na usimamizi Fulani ndani ya kanisa la pahali anapashwa kuwa ameowa kwasababu anapashwa kutatuwa mashida ambazo zinazo zuka katika familia za kanisa la pahali.

Nukuu: „Biblia inaagiza shemasi awe mume alie na mke. Anastahili kuwa mume wa mke mmoja“ (C. O. D P. 354).

Ninamna gani kwa mwana wa Mungu? Ingawa huduma yake yakimbigu ilishuhudiwa kwa kuzidisha mkate na kuponya wagonjwa wengi na kufufua wafu na kutuliza zoruba, etc…lakini ndugu zake hawakumuamini (Yohana7; 5) wali mtambua kwa kimwili, lakini kwa kiroho hawa kumutambua. Tuna soma katika Mathayo 13:53-58 kwamba mwana wa mtu hakuweza kufanya kitu chochote katika mji yao sababu ya kutoamini kwao. Walisema: „Huyu si mwana wa seremara? Mama yake si yeye aitwae Mariamu? Tunajua na ndugu zake…, na baba zake si wanaishi hapa kwetu? „na wali kwazika sababu walimuhukumu kutokana na yale ambayo wali ona kwa macho yao nayale ambayo watu walisema. Hapo juu Bwana anasema: „Nabii hakosi kupata heshima isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake mwenyewe“ (Mathayo 13:57b) Hii ina tuletea uzuni tunaposoma maneno ambayo wale viongozi wa kidhehebu waliyo yasambaza kuhusu Bwana wetu na mkombozi wetu kwa wakati wake. Mafarisayo na waandishi walimuambia mbele yake “ sisi hatukuzaliwa kwa zinaa …, je sisi hatusemi vema ya kwamba wewe u musamaria na wewe una pepo?“ (Yohana 8:41, 48). Fikiriya kwa hiyo kwa muda: Bwana wetu aliezaliwa na Mungu, aliitwa musamaria na kuzaliwa katika zinaa! Hapo ndipo alipo sema: „…kwamaana nilitoka kwa Mungu nami nime kuja…nyinyi ni wa baba yenu shetani…“ (Yohana 8:43-44).

Mtumwa anaweza kutendewa mambo tofauti na Bwana wake? Inaonesha kwamba mkombozi hakuja kuunda familia ya kidunia, ama kufanya huduma yake kuwa biashara ya kupata ndani faida. Hilo ndilo jambo linalo fanyika kwa watumishi wake. Watumishi wa Mungu wana mwito uliyo juu sana kwa ajili ya mwili wa kristo ni mwito ambao ni tofauti na familia za kimwili.

Hakuna ahadi katika neno la Mungu kuhusu wa mtoto wa nabii ao mtume, ao mwalimu ambao anaweza kurithi kazi ya kiungu. Nabii Samuel aliwaza vizuri wakati alipo weka watoto wake wawili kuwa waamzii, lakini: „wanawe hawakuenda katika njia zake baali waliziacha ili wapate faida. Wakapokea rushwa na kupotosha hukumu“ (1. Samweli 8:1-5). Hata maamzi ya nabii ana yoweza kuamua akiwa na itaji nzuri inaweza kushindwa ila tu maamzi ya Mungu haiwezi kushindwa. Inaweza fika hata wakati mtoto wa nabii ao wa mufalme, ao wa mutu wa Mungu anaweza kujiinua na kujipatia cheo Fulani na kuvutia watu nyuma yake. Tunayo mfano kama huu katika 1. Wafalme 1, wakati Adonia mwana wa Daudi kwa Hagai,“Alijiinua na kusema: mimi nitakuwa mufalme…na Akatayarisha magari za vita na mafarasi na wanaume makumi tano mbele yake“ maamzi ya Mungu ilikuwa amekwisha amuru kwamba Solomono ndie atafwata kukuwa kwa kiti cha Daudi. Lakini kwa macho ya ndugu yake hawa kuwazia kama anaweza kuwa mwenye kiti. Inawezekana watoto wanaweza kujiambia wengine eti: „Nitakuwaka Raisi“ „Nitakuwaka muongozi!'';“Nitashika usimamizi!““mimi nitakuwaka na kusanya mikutano na nitakuwa na kusanyiko“.“Ni nataka…“,“Ni nataka…“ Tangu mwanzo wa nyakati, kila mtumishi wa kweli wa Mungu alitimiza wito wake aliopokea bila kuona hali na Mungu hakujuta wito wake. Hakuna mtumishi wa Mungu aliye wai kusema: „;Ni nataka…““Ninataka nifanye hiki ao kile!“wengi kati yao hawa kupenda waende lakini wali kazwa kwenda kwa sababu mwito wa Mungu hauna majuto. Ambao hata awe na familia wala asiwe nayo: kutumwa kwa kiungu ni sehemu ya mpango wa okovu wa Mungu yenye inapashwa timizwa. Haidhuru kwa hali gani.