Book
Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE
Ewald Frank
Navigate
Chapters
expand_more
Navigate
Chapters
Navigate
Chapters
Jump to any chapter without leaving the reader.
Chapter 26
Swali La 25: Jee, Muda za Nyakati za kanisa zilimfunuliwa ndugu Branham?
26 / 34
Jibu: Hakukuwa lazima kuweko ufunuo kuhusu nyakati za vizazi vya kanisa. Ndugu Branham maranyingi alisema kuhusu mtu wa historia Dr Clarence Larkin. Katika kitabu chake“Dispentional Truth“tunakuta kwa kartasi yake ya 130 na 131 masehemu za kuenea, ginsi ndugu Branham alivyo ziandika. Ila kuhusu majiona za wajumbe ndugu Branham mwenyewe ndie alie zichagua. Nilitosha huko Jefelsanville chapo hilo la vizazi vya kanisa na majuma sabini za Danieli ambalo ndugu Branham alikuwa amechapa kwa ajili ya mafundisho kuhusu somo hizo. Hiyo inaonyesha wazi wazi kwamba fundisho lake lilikuwa kuhusu somo hili, kulingana na ushuhuda wa maneno yake.
Available translations
PDF
EPUB