Watu wana uliza maswali, Mungu anajibu Kupitia NENO LAKE

Swali La 31: Tunaweza kulinganisha namna gani Islaeli na kanisa?

« »

Jibu: Jibu la swali hili lina kutaniwa katika Matendo sura 15:13-18. Kwanza Mungu ana tembelea wa mataifa kwa neema yake ili kuwaita kutoka kwaajili ya jina lake. Baada ya hii atageukia Islaeli ili kuijenga upya nyumba ya Daudi. Nanihivi alivyo sema mtume katika waroma 11 akishuhudia maneno hayo katika sura hiyo yote. Tuna maoni kwa ujao kuhusu mpango wa okovu, pamoja na wayuda na mataifa kuhusu Islaeli na kanisa. Alama ya muhimu ni kwamba kabila 12 walitoka katika inchi 143 wakirudi kwa inchi ya ahadi. Kwa sababu gani? Kwa sababu wanastahili kubaki katika Yerusalemu ndani ya Islaeli, Ili wawekwe muhuri wakati wa huduma ya wanabii wawili (Ufunuo 7:1-8, Ufunuo 11): kwa namna moja waamini wote wa kweli walio sambazwa katika madhehebu za kiKristo watakusanywa na kuongozwa kwenye neno la ahadi la sasa na kuwekwa muhuri wa Roho mtakatifu (Waefeso 1:13). Kama si hivyo hawataweza kushiriki kwa unyakuo. Imani isiyo na Ahadi ya Mungu kama msingi ni mawazo za kidini. Imani ya kweli inafungwa katika maahadi za Mungu. Kama vile Ibrahimu alivyo amini yale ambayo Bwana alimuahidi na baadae aliona utimilifu wake. Hivi ndivyo mbegu halisi za Ibrahimu zinavyo amini maahadi za wakati huu na wataona utimilifu wake.