Baruwa ya Muzunguko Aprili 2020

Kutabuwa siku na ujumbe

« »

BWANA wetu aliochuga Neno lake na amekufanya kile kilicho patiliwa kwa hiki kipande Cha wakati. Na ahadi hii ametimilika kwa haki: “Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya BWANA, iliyo kuu na kuogofya…“ (Malaki 4:5) Sasa tugali kwa siku ya wokovu (2 Wakorintho 6:2), kwa wakati ya Neema. BWANA wetu Yeye Mwenyewe aliabiya wanafunzi wake kwa Mlima wa kubandishwa, “Akajibu akawaambia, Ni kweli Eliya yuaja kwanza, na kurejeza upya yote…“ (Marko 9:12) Mwito wamwisho inaedelea, na Yule alie wa Mungu atasikiliza Neno la Mungu takatifu na kuikubali Kama uhahali wa pekee.

Kwa bahati mbaya, inapashwa semeka ingawa ile Uwepo wa BWANA kwa watu wa Israeli, wengi kati wao walipoteya pamoja na mioyo yao, ili Mungu alipaswa kuapa: “Kama nilivyoapa kwa hasira yangu, Hawataingia rahani mwangu.“ (Waebrania 3:11, Hesabu 14:23). Waliabudu masanamu na kunungunika.

Katika 1 Wakorintho 10, kutoka kwa Shahili la 1 hadi 4, Paulo alituonyesha Mambo ya kibinguni ambayo Mungu alifanya katika yao. Ku Shahili la 5 hadi 10 alifafanuwa makosa ambayo wa Israeli wali fanya na jinsi Mungu aliwaadhibu kwa ajili Yao. Sasa kunafata alifa: “Basi mambo hayo yaliwapata wao kwa jinsi ya mifano, yakaandikwa ili kutuonya sisi, tuliofikiliwa na miisho ya zamani.“ (1 Wakorintho 10:11)

Katika wakati wetu vivyo hivyo haitakuwa na faa kwa Mtu yeyote kurejelea kwa kile ambacho Mungu amefanya katika hudma ya William Branham, Kama yiko mukuabudu sanamu na Mtu huyo na kutangaza kwamba sauti ya Mtu huyo ni “Sauti ya Mungu“ na kusabaza mafundisho ya mbogo. Haeleweki ni mafundisho ngapi ya uwongo yanayosambazwa chini ya kumbukumbu ya nabii na Ujumbe. Wa moja yao wanasema kwamba nabii alifunua mambo ambayo haiandikiwe katika Biblia, kwa mufano kuhusu ngurumo saba. Yegine mafundisho isio ya kimaandiko inathibitisha kwamba ufufuo wa wafu utafanyika Kwanza na Kisha nabii atimize hudma yake maalum Kama vile “sahemu ya tatu“ katika hema kwa muda ya siku 30 hadi 40. Kulingana na Wagalatia 1:8, kuko laana kwa watu Kama wale kwasababu wali hubiri injili engine (Ufunuo 22:18-19). Nabii yeye mwenyewe alirudilia na kusema, “Usikubali kitu chochote Kama hakiandikiwe katika Neno la Mungu.“

Ndugu Branham pia alisema mara mingi, “Ujumbe ni: Rundi kwenye Neno, Rundi kwenye asili, Rundi mwanzoni, kumazoezi yenye waamini waliokuwanayo huko mwanzoni!“ Siri zote zenye zilikuwa na fichwa katika Neno la Mungu zimefunuliwa; tu naamini hiyo. Hakuna, chochote kabisa kinaweza kuongezewa kwenye neno (Ufunuo 22).

Hakuna uwongo katika kweli (Yohana 2:21), na Yeyeto alie wa Mungu husikia kweli na kuamini neno la Mungu tu. Ni kweli kabisa Mungu mutakatifu hawezi kuweka mhuri yake kwenye mafundisho mabaya ao kumaisha ya wenye dhambi.“Uwatakase kwa ile kweli; neno lako ndiyo kweli.“ (Yohana 17:17)

Mtume Yohana aliandika kwa wale ambayo wali tabuwa ukweli: “kwa ajili ya hiyo kweli ikaayo ndani yetu, nayo itakuwa pamoja nasi hata milele.“ (2 Yohana 2). Amena!

Waasi wote na waongo watakuwa nje. “Na ndani yake hakitaingia kamwe (munji takatifu- Yerusalemu mpya) cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.“ (Ufunuo 21:27)

Acha Mungu awape neema kusudi kila mtu atabuwe yakwamba to tumefikia kipande cha wakiti ya mwisho, wakati ambamo mambo wote iliyopagiliwa na kuahidiwa kwetu katika Neno la Mungu inafanyika (Matendo 13:41). Acha kusikuwepo mmoja kati yetu wakuwa na moyo ya kutokuamini na kutotii. Kila BWANA wetu alisema juu ya Yerusalemu bado inatumika: “Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.“ (Luka 19:42) Anaita kutoka waliyo wake: “Basi mambo hayo yaanzapo kutokea, changamkeni, mkaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu umekaribia“. (Luka 21:28)

Acha tuseme tena hii: wale wenye wako no moyo safi tu njoo wata muona Mungu. Wale tu wenye wako tayari joo wataitwa kwa arusi. Wale ambao wali ishi ukombozi kamilifu pamoja na upatanisho wakujaa tu na Kusamehewa na kubadilishwa upya, Wale tu mbao wa liishi kujazwa na kuwekwa mhuri wa Roho mtakatifu watafikia lengo.

Kwa mwisho ya ufafanuzi hii, kila mtu tena ukumbushwe kabisa juu ya kile ambacho BWANA wetu alieweka mkazo katika Matayo 17, shahili 11: “Ni kweli Eliya yuaja kwanza, na kurejeza upya yote.“ (Marko 9:12). Baada ya hudma ya Yohana mubatijazi, BWANA wetu alirudilia yale ambayo aliandikiwa katika semu ya pili ya ahadi ya mwisho katika Malaki 4:6: Yakwamba kupitia hudma ya Eliya, mioyo ya watoto wa Mungu igepashwa kurudi mara mmoja kwa imani ya wa baba yao Mitume.

Leo tunaweza kushuhudia: Andiko ilitimia; kile ambacho BWANA wetu alisema kilimefikia utimilifu. Kila fundisho la kibiblia limerudishwa, yakwanza na lamuhimu ni Uwungu, nikusema Mungu hafanywe na watu tatu wa milele, alakini alijifunua Yeyemwenyewe kama Baba katika Mwana na kupitia kanisa kama Roho Mtakatifu. Zaidi ya hao, Ubatizo wa maji wa kibiblia katika Jina la BWANA Yesu Kristo kwale ambao wame kuwa awaamini (Matendo 2:38-41) ime rudishwa. Ujumbe wamwisho imeweka kilakitu kwa musingi halisi ya mitume na manabii, kwenye Yesu Kristo Yeyemwenyewe ni jiwe kubwa la pebe.

Mungu wetu amefanya mambo ya ajabu, na sasa tuko karibu kwa kumalizia ya kile ambacho kimefanyika mbele ya Kurudi kwa Yesu Kristo. Tuna Mshukuru Mungu kwa hao katika Jina la Yesu Takatifu. Amena.