BARUA YA MZUNGUKO Septemba 1972
NI NANI ALIYE NA SEHEMU KWA UJENGAJI WA KANISA?
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
1 Wakorintho 12:4-11 inatuonyesha tendo mbali mbali la Roho Mtakatifu ndani ya kila kiungo cha Kanisa la Yesu Kristo. Kwa namna ilio wazi Neno hili liko kama kiyoo ambamo tuna weza kujiangalia kwa ajili ya kuona ni wapi lipo. Tuna soma kwenye shahili la 7: “Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana”.
Kila mtoto wa Mungu atashikwa na tendo la Roho mtakatifu, na kwa wote ufunua Roho utapewa kwa kufaidiana, tangu shahili la 8, zile zihirisho kenda za Roho Mtakatifu, tunazionyeshwa ginsi zina jitandaza kwa ufunuo wa karama kenda za Roho. Kwenye shahili ya 11, imesemeka: “Lakini kazi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yeye Yule, akimgawiya kila mtu peke yake kama apendavyo yeye”. Basi ni ushuhuda wa biblia kwamba kila mmoja wa wale walio wa Kanisa la yesu kristo anayo sehemu kwenye tendo la Roho Mtakatifu.