BARUA YA MZUNGUKO Septemba 1972
KANISA LA KWELI KAMA VILE MWILI WA KRISTO
Font Face
Line Height
Paragraph Gap
Font Size
Katika 1 Wakorintho 12:12, Kanisa linaonyeshwa kama mwili wa kiroho ambao unaundwa na viungo vingi. Viungo vya mwili viko tafauti; bali vinakua kila kimoja ni kiungo cha mwezake kimoja kwa kingine, vikiambatana vimoja kwa vingine na vinaungana kwa ngozi ambayo inavifunika. Mwili mzima wa yesu kristo unazunguka zungukwa na uzima wa kristo, na unavikwa na nguvu yake. Ku shahiri ya 13 imesemeka, tumebatizwa wote ndani ya Roho mmoja na wote kwamba tume nywesha kwa Roho mmoja. Hiyo ndio ushuhuda wa maandiko matakatifu. Kila mwamini wa kweli amebatizwa kwa Roho Mtakatifu ndani ya Kanisa la Mungu aliye hai na kwa hiyo amewekwa chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu. Licha ya tofauti zao viungo vyote vya mwili wa Yesu Kristo vitaheshimianina vitatambuana, kwa maana pomoja, vinaunda mwili mmoja navinamtiii Kristo, ambaye ni kichwa.