Circular Letter

Barua Ya Muzunguko no. 23 - OKTOBA 1980

Ewald Frank

library_books Kapitel: 8 calendar_month 30. 8. 1980

Navigate

Kapitel

expand_more

Navigate

Kapitel

Jump to any chapter without leaving the reader.

Nakwa mwisho wa barua hii, ninawapa mazao ya ahadi na kiapo iliyoandikwa na kufanywa na waamini kwenye Maskani ya ndugu Branham. kama vile nilivyoipokea kuwa kama musaada kutoka ndugu Branham. Hakuna mwana memba hata mmoja alie jiandikisha, lakini alipenda kuwa na uhakika ya kwamba wale wote walio chukuwa maskani ya Branham huko Jeffersonville kama jamii yao ya nyumbani wasimame kikamilifu nyuma yake. Alitaka kujiepusha kusumbuliwa katika kazi ya huduma yake kutokea kwa wenye kutukana huduma yake ndani ya kundi lake, matukano ambayo huleta matengano. Kwetu sisi, ni barua isioeleweka, lakini ni Bwana alie mwamuru hivyo. Ikiwa tunataka kuishi kukamilika kwa Kanisa na kupokea Baraka kamili za Mungu, inafaa masemi yote mabaya inakoma inayo kuwa kama kansa yenye kumaliza mwili, na kutumia wakati kwa kuomba. Mtu anayesimama kwa upande ya mtumishi wa Mungu ambaye aliitwa na kutumwa naye, mutu huyo anasimama kwa upendo wa Mungu:

Available translations