Circular Letter
Barua Ya Mzunguko Aprili / Mei 2019
Ewald Frank
Literatúra
Kapitoly
2 Pt 3:9: "Bwana hakawii kutimiza ahadi yake, kama wengine wanavyodhani kukawia; bali huvumilia kwenu, maana hapendi mtu yeyote apotee, bali wote wafilie toba."
Barua Ya Mzunguko Aprili / Mei 2019
Salamu za dhati kwa nyote ulimwenguni kwa Jina la thamani la BWANA wetu Yesu Kristo kwa Andiko kutoka 2 Pt 3: 9: "Bwana hakawii kutimiza ahadi yake, kama wengine wanav...
Kuwekwa Kimaandiko
Katika unabii wa biblia wa Agano la Kale, kila kitu ambacho ni sehemu ya Mpango mzima wa Wokovu wa Mungu kilishatabiriwa, iwe ni juu ya Israeli, Kanisa, au juu ya mata...
Sio Nadharia, lakini ni Halisi
Katika 1 Fal 18 tunaambiwa kwamba Nabii Eliya alikusanya watu wa Mungu juu ya Mlima Karmeli. Alifanya nini kwanza? Eliya alikusanya watu ili wafanye uamuzi: “Mtasita-s...
Ujumbe Kabla ya Kuja kwa Pili kwa Kristo
Kwa hakika kama BWANA Mungu alivyoahidi kumtuma nabii kama Eliya kabla ya siku ya kutisha ya BWANA (Mal 4:5; Mt 17:1), Yeye hakika ametimiza ahadi hii katika siku zetu...
Kutumwa Kibiblia
BWANA alishatuambia yanayokwenda pamoja na kule kutumwa: "…kama Baba alivyonituma mimi, mimi nami nawapeleka ninyi.” (Yn 20:21). Paulo Angeweza kushuhudia hili wakati ...
Kanisa na Kituo Cha Kazi
Moyo wangu umejaa shukrani kila wakati ninapoangalia nyuma miaka mingi ya kumtumikia BWANA. BWANA Mungu amebariki kazi hii wazi tangu mwanzo; Amefikiria kwa kila kitu ...
Israeli katika Unabii
Katika habari za kila siku, tunaendelea kusikia jinsi Israeli inavyolaaniwa na kuhukumiwa. Iran imetishia kushinda Israeli katika vita vya siku tatu, ili kwamba "Waisr...
PDF
EPUB