Baruwa ya Mzungoko - Mwisho wa mwaka 2018
Ni vigumu kwetu kuelewa namna gani iliwezakana kwa nyota ya Arfajiri, Mwana wa asubui, aweze kuinuka mbinguni. Aliitaji aweke kiti cha ufalme juu ya nyota za Mungu na ajifananishe na Yule alie juu zaidi (Isa 14 kutoka shahiri 12). Kwa sababu ya itaji yake ya kujiinua juu, kwa kusema: „Nataka…, nataka…“ na alikuwa msima mizi wa anguko lake, na hatima, na amekuwa adui mkubwa wa Mungu na adui waamini wote. Alichukuwa Malaika wote walio mufuata. Katika Ufun 12:7-9 inatwambia kama vita ya mwisho itapatikana mbinguni: „Na kulikuwa vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana nayule joka, Yule joka akapigana nao pamoja na malaika wake, wala mahali pao hapa kuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, Yule mkumbwa, nyoka wa zamani, aitawaye ibilisi na shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye’’
“Maana BWANA atamuhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye ata waweka katika nchi yao wenyewe ;atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.“ (Isa 14:1)
“Alie mtawanya Israeli atamukusanya, na kumulinda, kama Mchungaji alindavyo kundi lake.“ (Yer. 31:10)
“Basi neno, BWANA Mungu asema hivi; nitawa kusanya ninyi toka kati ya kabila za watu, na kuwakutanisha toka nchi zile mlizo tawa nyika, nami nitawapeni nchi ya Israeli“ (Eze 11:17)
“Na BWANA atairithi YUDA iwe sehemu yake katika nchi takatifu, naye atachaguwa Yerusalem tena.“ (Ezek 2:12)
“Basi kwa mtini jifunzeni mfano (Hos 9:10);Tawi lake likiisha ku chipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno ni karibu…“ (Mt 24:32)
Si vyepesi kwetu kuelewa kwamba baada ya kujiinuwa kwa shetani huko mbinguni na kuwa adui wa Mungu, aliendelesha mpango wake hapa duniani na kuleta anguko kwa mwanadamu hapo shambani mwa Edeni. Ndugu Branham aliliongelea zaidi, na hatapia kwa muhuri wa saba. Nani anaye weza kuelewa kwamba BWANA Mungu, alie kuwa akitembea. Katika Bustani ya Edeni, ali mruhusu shetani, joka la kale, kuwa na maongezi pamoja na Hawa na kupanda ndani yake mbegu ya mashaka yaneno la Mungu: „Kwa kweli Mungu alisema…?“
Wakati Hawa alitegea sikio kwake, hapo ndipo shetani aliweza kupanda ndani mwake mbegu ya shaka kuhusu yale Mungu aliyo kuwa ame mwambia Adamu, maovu yalitendeka. Hivyo ndivyo shetani alipata ushindi juu ya neno, kama vile ndugu Branham alivyo weka mkazo. Alizidi kusema kwamba: kutoamini ndiyo dhambi ya asili ambayo ina leta maasi yote. Yeye asie amini yale ambayo BWANA Mungu alisema amehukumiwa kuamini uongo wa shatani.
Ndugu Branham alitaka ahubiri kuhusu „kondo la nyoka’’siku Disemba, 24, 1965, na alikuwa amekwisha tayarisha mahubiri kuhusu hayo na kwa siku hiyo akaitwa nyumbani. Kwa mwanzo nyoka alitumia hila na ujanja, na kwa mwisho nyoka anafanya sawa sawa kama vile kwa Hawa ilitokana na mapenzi ya Mungu yasiyo makamilifu, ili mpango wa Mungu wa ukombozi upate kutendeka katika mpapenzi ya Mungu makamilifu. Kwa upotevu wake ali mleta Adamu chini ya ushawishi wake, ikamuweka vile vile katika anguko la dhambi. Mbegu mbili tofauti zilionekana ku kaini na Abeli; hapo uadui ulianza. Hiyo ndiyo iliyo kuwa njia ya Mungu ya kuanzisha mpango wake wa Okovu. Baada yahayo, BWANA Mungu ndipo alitoa ahadi ya kwamba uzao wa Mungu utatokea kwa mwanamke na utavunja kichwa cha nyoka (Mwanzo 3:15). Na baadae lawama ilitajwa kwa Adamu: „Kwa kuwa umeiskiliza sauti ya mke wako…!“ (Shahiri 17).
Huzuni ni kwa mwisho ya myaka 70 shetani, nyoka ya kale, ilijiingiza kati yetu kupitia karama ya unabii. Masemi: „Hivi asema BWANA mtumishi wangu…“ inageuka“ Hii asema mwana mke“. Mwito na yale ambayo BWANA ali mwambia mtumishi wake siku, Aprili, 2, 1962, yalitiliwa mashaka kile kilichofanyika katika bustani ya Edeni kilifanyika tena mahali hapa: „Kweli BWANA aliongea naye…?“ Nikwa namna hiyo mahali hapa kulioneka mbegu ya aina mbili, kama vile Kaini na Abeli.
Kupitia uovu na mabishano chini ya ushawishi wa nyoka, aliisambaza sana: „BWANA hakuongea naye“. Kanisa la mahali ili bomolewa. Waamini wa ujumbe wa wakati wa mwisho ulimwenguni pote wamezoeleshwa kuingizwa katika upotevu.
Nani awezae kuielewa? siku Juni, 6, 1979 BWANA Mungu alitoa sauti kubwa kama vile ngurumo zina vyo toa sauti yake, yale maneno tisa mamoja aliyosema katika bustani ya Edeni myaka elfu sita inaisha: „Kwa kuwa umesikiliza sauti ya mwanamke“. Mapenzi yasiyo makamilifu ya Mungu hapo ingeweza kutimia, ilikwa sasa iweze mapenzi makamilifu ya Mungu katika waamini wa kweli; na mbegu ya kweli.
Yale yaliyo tendeka mbinguni na katika bustani ya Edeni yako nyuma mbali nasi. Lakini yale yaliyo tendeka katikati yetu yame tuletea huzuni kubwa. Mbegu mbili tofauti za kiroho zilionekana: wamoja waamini utume wa kimungu wengini wana beuwa na kuchekelea. Wale wote wanaokuwa chini ya ushawishi mbaya, hawa jaweka mguu yao katika maskani, hapa kwenye kituo cha Misheni tangu Mai, 1979 hadi sasa.
Na hata sasa ni kuhusu mbegu mbili: kwa wamoja wanaamini kwamba BWANA mwenyewe alitoa utume wa Kimungu katika mupango wa okuvu kupitia mwito wa hapo hapo, ambayo imetumika ulimwenguni, muda wa nusu karne. Wengine wanadumu katika mafundisho inayo shuhudia kwamba ndugu Branham ndie mutangulizi wa kuja kwa pili kwa Kristo, eti siyo Ujumbe na wanamgojea aweze kurudi na kumaliza kazi yake katika hema.
Hudma yake ya kipekee niliyo shuhudia mimi mwenyewe ilikuwa sawa sawa na ile iliyo tendeka katika hudma ya BWANA wetu. Ndugu Branham alirudilia akiweka mkazo, akilinganisha hili na mwanzo 18, inayo onyesha mazungumuzo ambayo Mungu alikuwa nayo pamoja na Ibrahim, na Yn 5:19. Lakini sasa, na anaendelea kutukuzwa kupitia mafundisho ya uongo, inayo wangoza kwa kuabudu sanamu kunayo fanyika karibu naye. Wanapita pembeni kwa yale ambao Mungu anayo yafanya kwa sasa, kupitia kukataa Yule anae chukuwa ujumbe wa Neno: kwa kufanya hivyo, wanamfanya BWANA mwenyewe kuwa muongo pia nabii alie ishuhudia. Mungu anawaambiya: “Tazameni, enyi mnaodharau, kastaajabuni, mkatoweke; kwa kuwa natenda kazi mimi siku zenu kazi ambayo msinge isadiki kabisa, ijapo mtu akiwasimulia sana“ (Matendo 13:41).
Katika wa Efes 6; tunaambiwa: “Vaeni silaha zote za Mungu mpate kuweza kuzipinga hila za shetani; kwa maana kushinda na kwetu sisi si juu ya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa Roho“ (Shahiri 11-12).
Kila shahiri ya sura hii inamo kitu cha muhimu ambacho tunastahili kusikiliza na kuheshimu.
“Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga waroho ambao ni Neno la Mungu…“ (Shahiri 17) Mutume aliilinganisha ku neno la Mungu kama “Upanga wa kiroho“ katika muktadha wa vita vya Kiroho. Aliwaita waamini waje kwa kuombeana moja kwa mwengine nayepia aliomba kuombewa kwa shahiri ya 19: „Pia na kwa ajili yangu mimi nipewe usemikwa kufumbua kinywa changu, ili niihubiri kwa ujasiri ile siri ya injili…“
Katika Ufun 12:10-11 tuna soma kuhusu wale waliyo shinda na wana semu kwa unyakuo: “Nikasikia sauti kuu mbinguni, ikisema, sasa kume kuwa wokovu, nanguvu, na ufalme wa Mungu wetu, na mamlaka ya Kristo wake; kwa maana ametupwa chini mshitaki wa Ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwana kondoo, na kwa neno la Ushuhuda wao; ambao hawa kupenda maisha yao hata kufa.“
Ni vigumu kwetu kuelewa namna gani iliwezakana kwa nyota ya Arfajiri, Mwana wa asubui, aweze kuinuka mbinguni. Aliitaji aweke kiti cha ufalme juu ya nyota za Mungu na ajifananishe na Yule alie juu zaidi (Isa 14 kutoka shahiri 12). Kwa sababu ya itaji yake ya kujiinua juu, kwa kusema: „Nataka…, nataka…“ na alikuwa msima mizi wa anguko lake, na hatima, na amekuwa adui mkubwa wa Mungu na adui waamini wote. Alichukuwa Malaika wote walio mufuata. Katika Ufun 12:7-9 inatwambia kama vita ya mwisho itapatikana mbinguni: „Na kulikuwa vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana nayule joka, Yule joka akapigana nao pamoja na malaika wake, wala mahali pao hapa kuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa, Yule mkumbwa, nyoka wa zamani, aitawaye ibilisi na shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye’’
“Maana BWANA atamuhurumia Yakobo, atamchagua Israeli tena, naye ata waweka katika nchi yao wenyewe ;atajiunga nao, nao wataambatana na nyumba ya Yakobo.“ (Isa 14:1)
“Alie mtawanya Israeli atamukusanya, na kumulinda, kama Mchungaji alindavyo kundi lake.“ (Yer. 31:10)
“Basi neno, BWANA Mungu asema hivi; nitawa kusanya ninyi toka kati ya kabila za watu, na kuwakutanisha toka nchi zile mlizo tawa nyika, nami nitawapeni nchi ya Israeli“ (Eze 11:17)
“Na BWANA atairithi YUDA iwe sehemu yake katika nchi takatifu, naye atachaguwa Yerusalem tena.“ (Ezek 2:12)
“Basi kwa mtini jifunzeni mfano (Hos 9:10);Tawi lake likiisha ku chipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno ni karibu…“ (Mt 24:32)
Si vyepesi kwetu kuelewa kwamba baada ya kujiinuwa kwa shetani huko mbinguni na kuwa adui wa Mungu, aliendelesha mpango wake hapa duniani na kuleta anguko kwa mwanadamu hapo shambani mwa Edeni. Ndugu Branham aliliongelea zaidi, na hatapia kwa muhuri wa saba. Nani anaye weza kuelewa kwamba BWANA Mungu, alie kuwa akitembea. Katika Bustani ya Edeni, ali mruhusu shetani, joka la kale, kuwa na maongezi pamoja na Hawa na kupanda ndani yake mbegu ya mashaka yaneno la Mungu: „Kwa kweli Mungu alisema…?“
Wakati Hawa alitegea sikio kwake, hapo ndipo shetani aliweza kupanda ndani mwake mbegu ya shaka kuhusu yale Mungu aliyo kuwa ame mwambia Adamu, maovu yalitendeka. Hivyo ndivyo shetani alipata ushindi juu ya neno, kama vile ndugu Branham alivyo weka mkazo. Alizidi kusema kwamba: kutoamini ndiyo dhambi ya asili ambayo ina leta maasi yote. Yeye asie amini yale ambayo BWANA Mungu alisema amehukumiwa kuamini uongo wa shatani.
Ndugu Branham alitaka ahubiri kuhusu „kondo la nyoka’’siku Disemba, 24, 1965, na alikuwa amekwisha tayarisha mahubiri kuhusu hayo na kwa siku hiyo akaitwa nyumbani. Kwa mwanzo nyoka alitumia hila na ujanja, na kwa mwisho nyoka anafanya sawa sawa kama vile kwa Hawa ilitokana na mapenzi ya Mungu yasiyo makamilifu, ili mpango wa Mungu wa ukombozi upate kutendeka katika mpapenzi ya Mungu makamilifu. Kwa upotevu wake ali mleta Adamu chini ya ushawishi wake, ikamuweka vile vile katika anguko la dhambi. Mbegu mbili tofauti zilionekana ku kaini na Abeli; hapo uadui ulianza. Hiyo ndiyo iliyo kuwa njia ya Mungu ya kuanzisha mpango wake wa Okovu. Baada yahayo, BWANA Mungu ndipo alitoa ahadi ya kwamba uzao wa Mungu utatokea kwa mwanamke na utavunja kichwa cha nyoka (Mwanzo 3:15). Na baadae lawama ilitajwa kwa Adamu: *„Kwa kuwa umeiskiliza sauti ya mke wako…!“* (Shahiri 17).