Baruwa ya Mzungoko - Mwisho wa mwaka 2018
Kwa furaha kubwa twaweza shukuru Mungu kwa neema yake. Tusipo jail na kusingiziwa na kuzihakiwa na hata vitendo vya mauwaji ya kitabia iliyo anza tangu mwaka wa 1979. Lakini BWANA Mungu alitujalia neema. Si kwa Kanisa la mahali pekee, baali na katika kazi ya umishonari ulimwenguni pote. Kati ya 200 na 300 ya wandugu na wa dada, kutoka mkoa yote wanashiriki mikutano ya juma ya mara kwa mara. Kwa wikendi ya kwanza ya juma ya kila mwezi, kuna fika waamini 1200 kutoka Ulaya nzima na mainchi tofauti za dunia, wanao kuja kusikiliza neno la Mungu. Mikutano inayo tufuata kwenye mtandao, kwa mikutano yetu ya wikendi ya kwanza ya kila mwezi imeongezeka mpaka kufikia inchi 172 kwa mwezi huu wa karibu.
Hudma ya ajaabu ya Ndugu Branham ilifikia ukomo wake kwa mwaka 1965. Kiisha kukaja nyakati za Baraka kati ya myaka 1966 na 1979 na sasa tunapotazama nyuma myaka 40 imepita, tunaona namna Mungu alivyo kuwa pamoja nasi kwa namna yote kupita kipimo.
Unajua namna gani Ndugu Branham alivyo iacha Biblia yake ikiwekwa nyumbani? ilibaki ikifunguliwa kwenye meza ya Ofisi yake, kwa sura ya mwisho ya kitabu cha kumbukumbu la torati, sura ya 34, na kwa mwanzo wa kitabu cha Yoshua, sura 1. Chini ya uongozi wa Musa kutoka utumwani huko misri, na kupitia uongozi wa Yoshua waliingia kwenye Inchi ya ahadi. Kwa kupitia hudma ya Ndugu Branham hapo kulianza mwito wa kutoka katika utumwa wa kidhehebu na sasa, tunaishi katika kuingia kwa Mungu katika maahadi zote.
Wakati Ndugu Branham alipo ongea kuhusu muhuri wa saba aliomba hivi kwa dakika za mwisho: “Sasa, BWANA ninaomba unisaidie ninaanza pungukiwa kidogo, kidogo, BWANA. Nina jua kwamba siku zangu sinyingi tena, natena na kuomba unisaidie, niwe mwaminifu na wa kweli na mwenye haki, ili niweze kuchukua ujumbe mbali kama vile ulivyo ni kubalia kuichukuwa. Na itakapo kuja watika wangu wa kupumuzika, ambao nitakapo shuka kwenye mtoni, na mawimbi yatakapo anza kuja kunichukua, Ee Mungu ni weze kuipokeza upanga huu kwa mtu mwengine, ambae atakuwa mwaminifu kwa hii, BWANA, na aichukue kweli.“
Naweza nikaulize, ni nani basi alie kuwa wa kwanza kuuchukuwa Ujumbe katika ulaya wa kaskazini na ulaya wa kusini, katika Azia na Afrika na katika ulimwengu pote?. Kuna mwengine duniani ambaye alie wai kuisikia sauti ya BWANA, na kupokea mwito wa Kimungu na kufanya kazi ya Utume kama vile sehemu ya mpango wa Okovu? Wote walio wa Mungu wa nasikia maneno ya Mungu (Yn 8:47) na walitambuwa kwamba kuna ujumbe wa mwisho, wa mwito wakutoka, na kurudishwa, na kujitenga, na matayarisho. Mbele ya kurudi kwa karibu sana kwa Kristo, wote wanao amini kwamba kutumwa kwa hapohapo, kunafungwa kwa mpango wa wokovu wa Mungu wana jitahidi sasa na wana macho yenye kubarikiwa kwa kuwa wanaona, na wana masikio yenye kubarikiwa, kwakuwa yana sikia (Lk 10:23) na watapata sehemu kwa unyakuo kama wabarikiwa wa BWANA.
Ndugu Branham hakuuchukua ujumbe kwa inchi nyingine. Baada ya kufunuliwa kwa mihuri saba kwa Machi 1963, hata hakuhubiri inje ya inchi yake. Kwa sasa naweza kutazama nyuma kwa myaka nyingi ambamo nime hubiri ujumbe wa kibiblia wa kipekee kupitia utume wa Kimungu wa hapohapo katika inch 165, kwa miji mingi ulimwenguni, na huko Moscow, Beijing, Cairo, na Damascus. Na tukiongeza utangazaji wa ki televisheni, nime hubiri mahuri zaidi ya elfu kumi na moja. Kwa wakati huu, mahubiri yaliyo kamatwa kwa ajali ya mpango wa kitelevisheni, yanaendelea sambazwa katika inch 72, kufwatana na mahali tofauti, wanao tufuata ni idadi ya million 10 ao 12.
BWANA Mungu amenijalia neema kubwa ya kuweza kutafsiri mahubiri ya Ndugu Branham pia na kuandika Vitabu, na ma Brosha, na Mabaruwa za mzunguko. Nilijaribu kukomboa muda na ni mekwisha safiri safari za angani kilomita Millioni 24 za kimishonari za kila mwezi. Kuna jambo moja linalo nihuzunisha kwa kilindi cha moyo wangu: ni kwamba tangu mwaka wa 1979, kundi nyingi zinazo jiita makanisa za ujumbe zimejitokeza katika miji mingi. Kulingana na Biblia, kuna stahili kuwa tu Kanisa Moja la Mungu anaye ishi katika kila muji. Mengine yote ni Makundi zilizo undwa na watu zina ishi chini ya ushawishi wa wanadamu wanao tangaza matafsiri yao waki jilinganisha na nabii. Paulo alitoa arifa: “Ndugu zangu, na wasihi, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo yakukwaza kinyume cha mafundisho mulio jifunza; mkajiepushe nao.“ (Rom. 16:17)
Mungu mwenyewe aliweka hudma katika Kanisa (Efes 4:11, 1Kor 12:28). Yeye mwenyewe ndie aliye weka utume wa mwisho. Wandugu wote walio geuka kutoka kwenye ukweli wana fwata njia zao wenyewe na wanakataa Neno. Wote wanajilinganisha kwenye nukuu na kwa njia hiyo wana unda makundi hizo. Kwangu mimi, yaliyo andikwa yanadumu kuwa kweli: “Maana hatukufuata hadithi zilizotungwa kwa werevu, tulipowajulisha ninyi nguvu zake BWANA wetu Yesu Kristo na kuja kwake; Baali tulikuwa tumeuona wenyewe ukuu wake … Nasi tuna lile Neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo mkiliangalia, kama taa ingaayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu…“ (2. Pet 1:16-19)
Tangu myaka hii yote sija wayi kuigiya kwenye mabishano za manukuu yoyote, lakini nilihubiri neno pekee. Tuna soma na kusikiliza mahubiri na tunayaacha ginsi yalivyo. Sifa zimurudilie BWANA mwaminifu, kwa kuwa naweza tegemea neni la 2 Tim 4:17: “Lakini BWANA alisimama pamoja nami akanitia nguvu, ili kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa uvumilifu, hata wa sikie mataifa yote; nami nikaokolewa katika kinywa cha simba.“
Katika ulimwengu nzima; tunagabulia wateule wanao amini maahadi za Mungu na chakula cha kiroho cha wakati huu. BWANA alisema wazi mambo yafwatayo kuhusu wale aliyo watuma: “Awasikilizae ninyi anisikiliza mimi, naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliye nituma.“ (Lk 10:16) Amina. Ni hivyo ilivyo.
Twaweza kuona Mt 24:14 ikitimilika machoni petu: “Tena habari njema ya Ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapo kuja.“
Mataifa yote – Hii siyo ya kawaida. Ni lazima injili ya kimusingi ya milele: “Kisha nikaona Malaika mwingine akiruka katikati ya mbingu mwenye injili ya milele, awahubiri hao wakaao juu ya nchi na kila taifa na kabila na lugha na jamaa…“ (Ufun 14:6)