Circular Letter

Barua ya muzunguko - Juni 1973

Ewald Frank

library_books Kapitoly: 6 calendar_month 28. 6. 1973

Navigate

Kapitoly

expand_more

Navigate

Kapitoly

Jump to any chapter without leaving the reader.

Kapitola 6

1933 – 1973

6 / 6

Kama vile sauti ya baragumu kuu, Ujumbe ya wakati ya mwisho ilisikika kwenye bara zote hadimwisho wa dunia. Mnamo Juni 11, 1973, itakuwa miaka 40 tangu MunguMwenyezi alimutuma mtumishi wake na nabii William Branham,

akimwambia kupitia Nguzo ya Moto, “Kama vile Yohana Mbatizaji alivyotumwa kama mutangulizi wa kuja kwa mara ya kwanza kwa Kristo, hivyo ndivyo unavyotumwa na ujumbe kabla ya kuja kwake kwa pili ”.

Bwana awabariki wale wote ambaowametambua"leo" yao, na ambao wana shiriki kwa kazi ya Mungu kwa wakati huu.

Anae tenda kwa upande wa Mungu

Brother Frank

Available translations