Circular Letter
Barua ya muzunguko - Juni 1973
Ewald Frank
Navigate
Kapitel
expand_more
Navigate
Kapitel
Navigate
Kapitel
Jump to any chapter without leaving the reader.
Kapitel 3
KIKUNDI CHA KARISMATIKI
3 / 6
Ni kwa usemi huu kwamba tunata Ja leo kitendocha Roho katika maeneo mbalimbali za Ki kristo na makanisa mbalimbali. Inasikilikana ikisemwakwamba, katikamakanisa yote ya Kiprotestanti, kitendo cha Roho Mtakatifu husikia tena upya, na tunaweza kusoma maneno kama vile “Kikundi cha ki Pentekoste katoliki”. Wale ambao wanaweza kusoma magazeti ya dinizakigeni wana juwa vizuri kuna nini. Hatutaki kutoa hukumu juu ya hili hapa, lakini tu kuwajulisha ni nini hasa. InasikiKa ikisemwa, na pia kusomeka, ya kwamba watu, katika sehemu nyingi za ulimwengu, wanafanya mazoezi ya ki Pentekoste; nikusema wananena kwa lugha, bila kugeuka kutoka kwamafundisho yote yasiyo ya kibiblia, na bila kuheshimu masharti yakimaandiko.
Kwa hivyo tunapata, katika gazeti la »Logos« ya Marekani (USA), nambari Nov./Des. 1972, ukurasa wa 43, picha ya kupendeza ya mtu ambaye huvuta pipa, ambamo wanaomba kitabo ambacho kina kichwa: «Baba McCarthy anavuta pipa na ananena kwa lugha!». Je, mtu yeyote anaweza kufikiria kwamba Bwana Yesu, au nabii, ao mtume, amewahi kuvuta pipa? Kwa upande mwingine, tunajua kwamba kuitwa „Baba” ni kinyume na Neno la Mungu, kwa sababu Yesualiwaambia wanafunzi Wake: „Wala msimwite mtu baba yenu duniani; Maana Baba yenu ni mmoja, aliye mbinguni.” (Mt. 23:9)
Sasa, swali tunalopaswa kujiuliza ni hili: Je, huu ni ubatizo wa kweli wa Kibiblia wa Roho Mtakatifu? Naharakati hii ya sasa ya karismatiki, pamoja na kunena kwake kwa lugha naambapo kila mmoja anaishi katika mapokeo ya kanisa lake, ni sawasawa na Ukristo halisi? Je, Neno la Mungu halisemiwazi: “Kwa hiyo tokeni kati yao, muka tengwe nao asema Bwana, msiguse kitu kilicho kichafu nami nitawakaribisha nita kuwa baba kwenu nanyi muta kuwa wanangu wa kiume nawa kike, asema Bwana mwenyezi”. (2Kor. 6:17-18) Je, Roho wa Mungu hatenganishi zaidi sana leo? na haongozi tenakatika ukweli wote? Je, Roho hatuongozi zaidi kwafundisho la Mitume na manabii?
Safari ya mhubiri mwanamke wa Kipentekoste wa Marekani KathrynKuhlman karibu na Papa alipokelewa vyema katika maeneo yaPentekoste. Swali tunaloweza kujiuliza, hata hivyo, nihii: “Je, kweli ni Roho Mtakatifu aliye muongoza hapo?” Simeoni, yeye, hakuongozwa na Roho mtakatifu kwenda kwa papa, bali alimuongoza kwenda kwa Yesu. Katika gazeti ya “logos”inaonyeshwa kwa Nambari ya Jan/Feb. 1973, ukurasa 32, tunaona muhubiri hu mwanamke wakipentekotiste aki pigwa picha pamoja na Papa, nahapo akamupaMedali ya dhahabu mukononi iliyo maanisha Roho Mtakatifu, hua. Papa anamhakikishia kuwa baraka na maombi yake yangemfuata. Kwake ilikuwaheshima maalum; lakini Yesu anasema nini kuhusu hilo? „Mwawezaje kuamini ninyi mnao peyana utukufu ninyi kwa ninyi, nautukufu ule utokao kwa Mungu aliye wakipekee hamuutafuti?”. (Yohana 5:44).
Kunawanawakewachache, na wanaume wengi, wanaoshikiliana kampeni za uponyaji zilizofanikiwa, lakini ambazo, wakati huo huowakati, wana hatia ya ukahaba wa kiroho na Roma. Je, hatukumbuki kile Mathayo 7 inasema, kuhusiana nahiyo? Ingefaa kwa watu kama hao kusoma masharti ambayo waamshi waliojazwa na Roho walimhukumu Papana kanisa la Kirumi!
Gazeti la “Miracle Magazin” laripoti, kwenye ukurasa wa 9, jinsi Billy Graham alichukua nira ya Roma katika chuo cha Kikatoliki “Belmont Chuo”, wakati wa sherehe hiyo ambapo alipokea jina la Daktari Honorisi causa. Kardinali Cushing alitangaza: „Mimi ni asilimia mia kwa mia kwa upande waBilly Graham”. Billy Graham alijibu: „Nijisikiya sawa kuwa nyuma yamitumikiyo ya kanisa katoliki la ki roma kuliko kushikiliana na waprotestanti walio huru”. Je, hii ni lugha na mwelekeo waRoho takatifu? Yesu anasema nini kuhusiana na jambo hilo? “Kwa maana walipenda utukufuwa wanadamu kuliko utukufu wa Mungu” (Yohana 12:43). Hii inatukumbusha pia neno la Ufunuo 13:8: “Na watu wote wakao juuya nchi watamusujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu chauzima chamwana kondo, aliyechijwa tangu kuwekwa misingi ya Duniya”.
Njia ya Wakristo wa kweli haiwapeleki Roma, bali inawatowa roma. Hii ni“ HIVI ASEMABWANA” katika Neno Lake. Yeye Mwenye kupinga hili bado haja elewa nikitu gani. Mamilioni ya Wakristo na ya Wayahudi waliuwawa kwa sababu ya imani yao, kwa sababu hawakutakakukubali imani ya Kirumi. Hapo sasa damu ya wale walio fia imani ina liya Duniani hata Mbinguni, wahubiri wa injili hutafuta njia ya kuletawamini wa wakati huu pole na kuwasafisha boongo iliwapate namna yakuwaongoza tena upya kwenye kifuw cha kanisa katoliki la kirumi. Kama waamini wa wakati huo wangelitambua kile kinacho tendeka mbele yao, wangetoka leo leo katika madhehebu yao na makanisa. Wanawa onyesha vitu kwao kwa njia ya kuvutia sananaile iwafanye kuingiya katika umoja wa madini kwaurahisi. Na hii ndio sababu neno la Mungu linasema: “Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa…” (Hosea 4:6). Tayari Isaya alikuwa akisema hivi: “Kwamaana waongozao watu hawa ndio wawakoseshao, na hao walio ongozwa na watu hao wameangamiya.” (Isa. 9:15)
Ninajua kuwa „haionekani vizuri“ kuandika kwa njia hii, hata hivyo, ni muhimu kwamba Bwana Mwenyewe asikilikishe neno hii: “Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokei mapigo yake…” (Ufu. 18:4) Mwito huu sii yawote wote, kwa sababuBwana anasema wazi wazi: “… taifalangu …” Yeye aliye mali yake atafuata mwito Wake, hiyo ni hakika, kwa maana Bwana alisema hivyo.
Available translations
PDF
EPUB