Circular Letter

Barua ya muzunguko - Juni 1973

Ewald Frank

library_books Kapitoly: 6 calendar_month 28. 6. 1973

Navigate

Kapitoly

expand_more

Navigate

Kapitoly

Jump to any chapter without leaving the reader.

Katika wakati wetu, mara nyingi tunashambuliwa na udanganyifu, na asiyekuwa makini hudanganywa kwaurahisi. Mara nyingi, watu wenye hisia nzuri hugeuka kuwa mawindo ya wacha Munguwadanganyifu – na wao wenyewe huwashawishi wengine. Kuna vitendo vinavyotawala wafuasi wao kwa kujifanyakidini, kupitiya ushawishi huo wanaunga mkono maoni yao. Kitendo cha Mhindi Lawrie ni jambo moja katika mengineyo – hizi zinaonyesha ujuzi mwingikwamba hazigunduliki kwa urahisi. Daima ni bora zaidikwanza toa boriti iliyo katika jicho lake, kablaaweze kutoa kibanzi kwenye jicho la nduguye. Wakati wowte kulikuweko wa kina „Yuda“ ambao kwanza walitembea na Yesu na waliyokuwa wameitwa naye nakutumikishwa kwa hudma. Siku ikafika Shetani alipoingia ndani yao, na yote yakawa yamekwisha.

Yuda, mpaka siku ile Shetani alipoingia ndani yake, alikuwa mtu mkamilifu. Hivyo ndivyo ilivyo hata kwa wengine, kwa Lawriepia. Huyuwa mwisho alijidai kwamba mnamo Julai 21, 1969, Mungu angekuwa ameingia ndani yake. Hata hivyo, anaonekana kumchanganya Mungu na shetani. Madai yao yasiyo ya kimaandiko na ya makukufuru yanasaliti chemchemu ambako aliwa shota. Wakati anadai kupokea simu ya ndugu Branham mwenyewe, ni njia tu inayopatikana kwakekupata sura fulani ya mamlaka. lakini, kila mwamini anaweza kwa urahisi kutofautisha ma ushuhuda za ndugu Branham – kweli kwa kileambacho Biblia inasema – madai ya uwongo ya mtu huyo. Pia kuna watu wengi ambao, kwa upande mmoja, madai ya Kristo, lakini ambao, kwa upande mwingine, hawafanyi kile alicho agiza kufanya.

Wengi hujilinganisha na mtume Paulo, na bado wao hawa fundishe alichofundisha huyu. Kwa hivyo, ninamna gani inashangaza kwa leo, wengine hujiitiliya nduguBranham bila kufuata kile alichotangaza kwa sehemu ya Mungu? Kwa wengine, hadithi ya Mhindi huyu ilikuwamuda yaonzuri ya pana mafundisho yao kwakitendo chalugha na kalamu yao. Kwa muda kama hizo, mafundisho zakidini ao hizo za kidunia, hufanya kila linalowezekanakuingiza jambo na kuzusha kutoaminiana kwa watu. Kunahata hivyo ingefanyika, kwa kila mmoja wetu, kuona kama mbele ya mlango yake mwenyewe hakuweza kugundua chochote cha kufagia.

Yeyote atakaesoma broshua hii kwa uangalifu atakuwa ameweza hakika wanatambua kwamba uwengi wa waamini wa wakati wetu wamekuwa wahusika wa upotevu, kupitiya udanganyifu wa kidini. Mtu hangeweza kusimamiya kwaile ambayo amehubiriwa tu. Kila mtu ana haki na wajibu wa kusoma Biblia katika roho ya maombi ili kupata nuru juu ya mambo yote kutoka kwa Mungu. Kuiga mara nyingi ni sawa na mfano wa asili kwamba sivyotu kwa msaada wa Mungu tunaweza kutofautisha.

Taifala Mungu, rudini kwenye Neno! Pokea nuru ya Roho Mtakatifu na unyenyekee chini ya mkono wenye nguvu wa Mungu, kwakuwa huongoza tena katika Kweli yote. Anaongoza kwenye njia ya haki, kwa ajili ya neno lake. Anatupa maarifa sahihikwa wakati ufaao. Kwa hiyo tukikesha, kuomba, naikiwa tunashimama kwenye mpaka ya Neno, tukilihesabu peke yake kuwa halali, hatuta ogopa kuanguka katika makosa, iwe wazi au siri. Kila tafsiri inapotokeya katika Neno – haijalishi ni nani anayeitoa. Paulo anaandika hivi: “Ikiwamtu anakutangazia Injili nyingine … na alaaniwe!” (Gal. 1:8) Hebu turudi kwenye Biblia! Turudi kwenye Injili isiyochanganywa. Na ipendezwe na Mwenyezi Mungu kutuma watumishi waaminifu katika shamba la mzabibu wake; ya wale wanaohubiri Injili kamili kwauvuvio na chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu. Wawe watu watangazao mashauri yote ya Mungu, na wawe watumishi wa Mungu wenye ushimamizi mbele yake ya kutoongeza wala kupunguza chochote kwa ushuhuda wa Maandiko Matakatifu.

Waamini leo hawapaswi tena kujiruhusu kuwachini ya ulelezi, lakini wafanye kila kitu ili kufikia kimo cha mtu mkamilifu ndani ya Kristo. Wanapaswa kujijulisha wao wenyewe na kuhukumu kile kinacho hubiriwa.

Kwa neema ya Mungu, nilipata uwezo wa kuleta Nenokatika nchi arobaini tofauti kwa idadi kubwa ya watu ambao waliongozwa kwakilindi ndani ya neno lake. Wengi wao walikuwa na uzoefu mpyapamoja na Mungu na kutambua kile ambacho Mungu alikuwa akifanya katika wakati wetu. mimi sifungwe kwenye shurti ya kanisa fulani ao zehebu fulani, lakini ninabeba jukumu mbele za Mungu kuleta Neno Lake kwa watu Wake, kama alivyoliacha kwetu kama urithi.

Tafsiri za mahubiri ya Ndugu Branham zimeleta kwa watu wengi baraka kubwa. Yeye ni zaidi ya hayoalitambua kwa ujumla jinsi ndugu Branham alibarikiwa na kutumikishwa na Mungu. Ni yule tu asiyemtakia mema yeye mwenyewe aukwa wengine, na anayekataa Maneno na matendo ya Mungu katika hiiwakati kwa kukataa kutambua uthibitisho wa Neno Lake, yule ndiye atakaye pita pembeni ya yale ambayo Mungu anafanya. Kurudi kwa Yesu Kristo kumekaribia, na ndiyo sababu tunapaswa kuchukuakwa umakini Neno na maahadi za Mungu kwa wakati wetu. Utume yangu sio tu kusema juu ya „Mwokozi mpendwa“ anayeokoa wenye dhambi na kuponya wagonjwa. Mnamo mengi ya kuifanya. Wito wangu ni kutangaza neno lakinabii na kugawa chakula cha Mungu kwa wakati huu, nahili kwa kuwajulisha mashauri yote ya Mungu. Kwakiasili wokovu wa nafsi unathibitishwa ndani ya hayo.

Daima kwakufanya mazowezi mapya BWANA huthibitisha Neno lake, huokoa wenye dhambi, huponya wagonjwa nakuwakomboa waliofungwa. Yeye yuko na anabaki Yule Yule Jana, leo na hata milele. Nguvu ya Neno Lake, ya Damu yake na ya Roho wake bado ni ile ile. Hii ndiyo sababu sisitunaweza kufikiya thibitisho ile ile katika wakati wetu. Bwana, kwa uaminifu Wake, aliongoza hivyo kazi hii ya umishonari, maelfu ya watu wamepokea baraka kubwa, Mashariki na Magharibi, Kusini na Kaskazini.

Tutaendelea, kwa msaada wa Mungu, kufanya yote yaliyo ndani ya uwezo wetu wa kuwatumikia watu wa Mungu. Neno ambalo Mungu alilo funuwa, akilitangaza kwa kinywa cha mtumishi wake na nabii William Branham, lazima ligabuliwe kwa wa watoto wote wa Munguwa wakati wetu. Ujumbe wa wakati wa mwisho unaongoza watu wengi kuchukua muda wa maombi na kusoma Biblia. Wengi wametambuwa kwamba chochote Ndugu Branham alicho fundisha kinapatana kamilifu na Neno la Mungu. Hatukufwasa hadisi za watu, bali sauti ya Mchugaji Mwema, ambalo linaambiwaupya wale waliyo wake, wa siku zetu, kupitiya neno lililo funuliwa. Yule anayeishi kweli ndani yauwepo wa Mungu anaamini Neno lililo funuliwa, kuthibitishwa, likitimizwa sasa na Roho Mtakatifu. Yesu Kristo ni yeye yule, na leo tena, Yeye anazungumza na Walio Wake na kujidhihirisha Mwenyewe kwao. Yeye anayeishi katika uwepo wake pia anaishi katika mambo anayofanyakwa sasa.

Available translations