Circular Letter

Barua ya muzunguko - Juni 1973

Ewald Frank

library_books Kapitoly: 6 calendar_month 28. 6. 1973

Navigate

Kapitoly

expand_more

Navigate

Kapitoly

Jump to any chapter without leaving the reader.

Baada ya kukatiza matangazo ya redio, imewezekana kwangu kuyaendeleza tena. Barua nyingi kutoka Ulaya Mashariki na Magharibi na sala nyingi zawaliotawanyika zimeonyesha jinsi usambajazi hio imekuwa ya muhimu na yenye kuimarisha imani.

Tutaendelea, kwa msaada wa Mungu, kufanya yote tuwezayo kuwatumikia watu wa Mungu. Neno lililofunuliwa na Mungu, lililotangazwa kwa kinywa cha mtumishi na nabii wake, William Branham, linapaswa kusambazwa kwa watoto wote wa Mungu kwa wakati huu. Ujumbe wa wakati wa mwisho uliwafanya wengi kuchukua muda wa kuomba na kusoma Biblia na kugundua kwamba kila kitu Ndugu Branham alifundisha kinalingana na Neno la Mungu. Hatukufuata hekaya zilizotungwa kwa werevu, bali sauti ya “Mchungaji Mwema” ikinena kupitia Neno Lake lililofunuliwa kwa walio Wake katika wakati huu. Yeye anayeishi kweli katika uwepo wa Mungu huamini Neno lililofunuliwa sasa, lililothibitishwa na kutimizwa na Roho. Yesu Kristo ni yeye yule. Hata sasa anazungumza na kujidhihirisha kwa walio Wake. Yeye anayeishi katika uwepo wake anaishi katika kile anachofanya sasa.

Available translations