Baruwa ya mzunguko - Aprili/Mei 2019

Kutuma kwa Kibiblia

« »

BWANA alituambia Mambo ya nayo ambatana na kutumwa yanamnahiyo: „Kama vile Baba amenituma Mimi pia na watuma(Jn 20:21). Paulo naye pia angewaza kushuhudia alipo ongea kuhusu mwito wake: „Nikikuokoa na watu wako na watu wamataifa, ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za shetani na kumuelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.“ (Mdo 26:17-18)

Onyo Paulo alimupa mwenzi we Timoteo, inatendeka kwangu vile vile na kwa Kila mutumishi wa Mungu: „Uilinde amri hii pasipo lawama, pasipo taka, hata kufunuliwa kwake BWANA wetu Yesu Kristo…“ (1Tim 6:14)

Kwanza, BWANA anapashwa toa utume kabla inaweza kufanywa. Paulo alikuwa utume; angeweza kushuhudia siku na saa na fasi, na yale alio ambiwa (Mtd 9:22, 26). Musa naye pia angeweza fanya hivyo (Kut 3) na Yosua pia angeweza kuto wa ushuhuda ule ule (sur. 1). Isaya anaeleza: „Kisha nikaisikia Sauti ya BWANA, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakaye kwenda kwa ajili yetu? Ndipo nilipo sema; Mimi hapa, nitume Mimi“ (Isa 6:8). Watumishi wote wa Kweli wana shuhudia utume wao. Ndugu Branham angeweza kulinganisha Juni, 11, 1933, mpaka Mayi, 7, 1946, mpaka Februari, 28, 1963, kwa wakati ya Marchi, 17-24, 1963, wakati BWANA alimupa maagizo ajabu.

Hata na Mimi naweza kuona nyuma mazoezi niliyo pewa na BWANA akisema „Mtumishi wangu“ Kuaza na Aprili, 2, 1962, naweza kutaja saa, mahali, hata na yale aliyo niagiza wakati wote kwa Sauti Kubwa. Kwa neema ya Mungu, kwa uaminifu nimeyatii maagizo yote BWANA aliyo nipa, kwa neema inayo tembea na Kila mwito na kutuma kwa kimungu.

Katika Baruwa ya mzungu ya mwezi ya Disemba 2005, Ni lijaribu kuonyesha maagizo mamoja Kati na mazoezi yenye BWANA mwaminifu aliyo nipa. Haya kutukia tangu siku za Biblia. Lakini kwa kuwa tumefika kwa wakati wa muhimu sana ya mupango waokovu BWANA anatuonyesha kwamba yeye anakaa macho kwa ajili ya kanisa lake. Kazi ya kutumwa inapashwa fanyika bila kupingwa Kama vile Paulo alivyo andika.

Nime week saini kwa Baruwa yamuzukukoyanguSeptemba, 1966 na maneno yafwatayo „Kwa utume wake“ na imebaki hivyo mpaka sasa. Hakuna anayeweza kufikiria maana ya kusikia Sauti inayo penya ya BWANA na kupokea maagizo ya hapohapo.

Ilikiwa maazi ya Mungu kunituma duniani pote Kama vile mchukuaji waUjumbe takatifu tenaSafi. Nashukuru Mungu kwa uongozi wake niliyo ipewa ya kipekee ya kumujua ndugu Branham kwa myaka 10 na kuhuzuria mikutano yake Katika Ujeremani na Umoja wa Marekani (USA). Mimini mushuhuda nilie ona na kusikia yale Mungu aliye yafanya kwa wakiti yetu. Siwezi ni kasahau siku yangu yaKwanza kukutana na ndugu Branham sikuOgusti, 15, 1955. Mbele hataNi msalimu aliniambia „Wewe ni mhubiri wa injili“. Nilikumbaka tena siku Juni, 12, 1958 huko Dallas yaTexas, alipo niambia „Ndugu Frank uturudi Ujerumani na Ujumbe huu“. Pamoja naile karama ya kinabii isiyo shindwa Desemba, 3, 1962, alirudilia maneno ambao BWANA aliyo niambia wakati wa mwito wangu na atamaliza na maneno yafwatayo „Subiri kwa ugawaji wa chakula mpaka utakapo pokea yanayo baki“.

Aliomba ili niongee kwa pahali yake pamoja na wafanya biashara wa Kikristo, iliyo undwa na Demos Shakarian, kwenye Cafeteria ya Clifton siku ya jumapili ifwatayo Desemba, 1962 kwa kuwa angeweza kutayarisha safari yake ya Tucson huko Arizona, kulingana na Ono. Pia tena aliniomba niweze kuongea kwa nafasi yake si ya Jumapili, Desemaba, 9, ndani ya kanisa Ernest Hutton na ndugu Paulaseer Lawrie, aliye kuwa akihuria mikutano yake huko Bombay na aliye kuwa muenjilisti wa uponyaji aliye julikana sana. Ninge weza kumutafuta ikiwa ninataka kusafari huko India. Ninge weza kueleza namna BWANA mwaminifu aliongeza mambo yote kwa namna ya kushangaza tangu mwanzo.

Kupitia uchaguzi na uongozi was kimungu Kama yale yalivyo kuwa yamesemeka na mutu wa Mungu, Ujumbe imekwisha chukuliwa duniani pote mbele ya kurundi kwa Kristo. Ujao wa Injili ya milele imekwisha hubiriwa kwa Mataifa yote kwa ushuhuda wao kulingana na Mt 24:14, na mwisho utafika. Na hii imesemeka kwa alama za wakati wa mwisho. BWANAwetu alisema: „Basi mambo hayo yaanzapo kutakea changamkeni mukaviinue vichwa vyenu, kwa kuwa ukombozi wenu ume karibia.“ (Luk 21:28).

Kwa uhakika ginsi neno lililo andikwa halishindwi na haliwezi kupingwa, vile vile Bibi arusi wa Mwana kondoo anaye amini Neno la Mungu lilofunuliwa kwa sasa, atamumlaki Bwana-arusi, pasipo mkunjo wala kunyanzi na posipo lawama yeyote, siku ya Unyakuo. Inastahili kuwa wazi kwa kilammoja ya kwamba katika ya wale wanaofundisha uongo na wale walio potoshwa hakuna atakaye pata Unyakuo. Mungu ataweka muhuri yake tu kwa wale waliyo oshwa kwa damu na kutakaswa na Neno (2Kor 1:22-22).

Wakati ni karibu, wakati ni hapa. Tunapo tazama maramoja kwa yale yaliyopita, haya yanatufungua macho kwayale yatakayo kuja. Kwaw wale wote wanao jua hudma ya ndugu Branham hawo ni wana jua kuhusu nyakati zilizo kuweko kwa myaka 1933mpaka 1965. Lakini sasa ni nani aliye tambua yale Mungu amefanya tangu 1966 kulingana na mwito na utume kuliyo haidiwa?

Myaka 53 yamwisho imekuwa mwendeleo ya utangazaji wa Kweli wa Ujumbe, iliyo fanyika chini ya utume kwa hapo happy kwa Mungu katika dunia nzima. kuna nyakati mbili: Yakwanza ilikuwa Kuanza 1966 mpaka 1979. Myaka 40 imekwisha pita tangu shetani alijaribu kunibomoa hata na Kanisa vile vile. Hakuja hwai kuwa kitu ka kale. Pande zote za dunia zime Kwisha kufikiwa na mamillioni za watu wamekwisha tambua yale Mungu anayo yafanya kwa wakati wetu. BWANA hachelewi kuitimiza ahadi yake. Anangojampaka hesabu ya wateule ijae, na wa mwisho aongezeke. Shida ni kwamba sana sana katika myaka hii 40 inayo pita, wandugu wenye hawana mwito wame jitokeza. Wakitangaza mafundisho yao binafsi na kujikokotea wanafunzi nyuma yao kuwafuata wakitumikisha kauli mbiu eti „Nabii amesema!“. Vile vile katika miji mingi munamo makundi tafauti zinazo jiitia makundi „makundi za ujumbe“ zimejitokeza katika mijimingi na kila kundi inafwata muongozi wake na yake.

Hata hivyo, BWANA analijenga Kanisa lake tu. Wakati wa mwito wangu aliniagiza „Mutumishi wangu, usiziunde makanisa za pahali na usi sambaze kitabu Cha nyimbo, kwa kuwa hiyo ndiyo alama ya dhehebu!“ kulingana naginsi alivyo niambia siku ya Septemba, 19, 1976: „Mutumishi wangu, Ni mekuchagua kulingana na Mt 24:45-47, kwa kugawa chakula kwa wakati unao faa,“ na hii ni kweli kwamba kuna wandugu waamini katika inchi tofauti, na miji tofauti wanaogawa pia chakula hiyo hiyo ya kiroho ndani ya makanisa.

Tazama myaka 53 ya baraka kwa utangaziji wa ujumbe wa neno na na myaka 40 ya wandugu wa uongo waliyo jiingiza kwa kutangaza mafundisho ya uongo. Sasa watoto wote wa kweli wa Mungu waliyo kuwa chini ya ushawishi mbaya tangu mwaka 1979 wako wanarudi kutoka katika miongozo mbaya. Ujumbe imekwisha fikia pande zote za dunia, kurundi kwa mkombozi wetu ni karibu sasa. Twa weza sasa kupaaza sauti sasa tena wazi wazi: Tazama BWANA arusi yuaja!“ Maranyingi ndugu Branham alipenda kusema „Kwa wakati wajioni kutakuweko nuru!“ Hiyo imekwisha kutimia. Lakini sasa tume fika katika usiku wa manane. Niwale tu watakao kuwa tayari wata kao ingia katika chumba Cha arusi. Ndugu Branham ametimiza mwito wake, na Mimi nina timiza mwito wangu. Yule aliye namasikio, atasikia na yule aliye wa Mungu ataya kubali. Wacha kilammoja ajipime yeye mwenyewe kulingana na kutumwa. Asema BWANA: „kweli, kweli na wambieni anaye mpokea mtu yule ninaye mtuma, ananipokea Mimi, naye anipokeaye Mimi anamupokea yule aliye ni tuma“. (Jn 13:20)

Wale wanayo jifanya kuamini Ujumbe wange angalia ndani ya miji yao na kujiuliza maswali yafwatayo: Kulikuwepo ma Kanisa za Mungu ngapi; katika Efeso, korinto, Filadelfia na laodikia? ikiwa leo kuna ma Kanisa mingi za ujumbe katika mujimmoja kuna kasoro. Wakati imekuja ya hukumu Kwanza ndani ya nyumba ya Mungu: „…yaani Kanisa la Mungu Ali hai, nguzo na msingi wa kweli“. (1Tim3:15)

Tuna tarajia uamsho wa Kibiblia ambamo nguvu za Mungu zita onekana. Hii yaweza kuwa mwaka wa yubile, mwaka ambamo wale wote waliyo potoshwa wana wekwa huru. Wakati ni karibu, wakati imekuja ambayo waamini wote wa kweli kila pahali waweze kuwa na moyo moja na nafsi moja Kama ilivyo kuwa hapo mwanzoni. BWANA yu mlangoni na kubisha.

Maandiko yafwatayo yangeweza kutuweka nguvu na kuimarisha imani yetu.

„Lakini Kama Mungu alivyo mwaminifu, neno letu kwenu si ndiyo na siyo…

Maana ahadi zote za Mungu zilizopo katika yeye ni ndiyo; tena kwa hiyo katika yeye ni Amina, Mungu apate kutukuzwa kwa sisi.

Basi yeye atufanyae imara pamoja nanyi katika Kristo, na kututia mafuta, ni Mungu,

naye ndiye aliye tutiya muhuri akatupa arabuni ya roho mioyoni mwetu“ (2Kor 1:18-22).

Paulo mtume waYesu Kristo kwa mapenzi ya Mungu kwa watakatifu walioko Efeso,

wanao waamini Yesu Kristo. Neema na iwe kwenu na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na kwa BWANA wetu Yesu Kristo…

Kusema tuweze kuwa kumushangilia katika utukufu wake, sisi tuli tangulia kuwa na matumaini ndani ya Kristo!

Nanyi pia katika huyo mme Kwisha kulisikia neno la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamimi yeye, na kutiwa muhuri na Roho yule wa ahadi alie mtakatifu. Ndiye alie arabuni ya urithi wetu, ili kuleta ukombozi wa milki yake, kuwa sifa ya utukufu wake…“ (Efeso 1:1-13) Hii itakuja kutimilika kwa wale wote wanao kuwa na sehemu ya Kanisa Bibi arusi.

BWANA alituambia Mambo ya nayo ambatana na kutumwa yanamnahiyo: „Kama vile Baba amenituma Mimi pia na watuma (Jn 20:21). Paulo naye pia angewaza kushuhudia alipo ongea kuhusu mwito wake: „Nikikuokoa na watu wako na watu wamataifa, ambao nakutuma kwao; uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za shetani na kumuelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.“ (Mdo 26:17-18)