Baruwa ya mzunguko - Aprili/Mei 2019
Moyo wangu unajaa furahaKubwa sana ni napo tazama kwa myaka iliyo pita nikimutumikia BWANA. BWANA Mungu amenariki wazi wazi tangu mwanzo aliwazia yote na ame shughulikia yote. Hivi ndivyo tulivyo sherehe mwaka wa makumi sita Kama Kanisa la pahali kwa Disemba 2018.
Tangu mwanzo, tume ishi mazoezi ya ajabu, kwa Jambo lolote pamoja na Mungu aki tupatia miongoni yote kwa neema kwa kuweza kuyiweka kwenye kwa matendo. Nilipo rudi Krefeld baada ya mazishi ya ndugu Branham kwa mwize Aprili, 1966, wakati mpyailianza. Kwa kila miji niliyo kuwa na mikutano, waamini walikuja kusikia neno la Mungu. Na picha hii inaonyesha ubatizo uliyofanyika kwenye bahari ndogo iliyoko inje ya krefeld kwa mwaka wa 1968.
Kwanza mikutano yetu ilikuwa ikifanyika ndani ya manyumba na kufwatana na ginsi watu waliendelea kuongezeka tuli pangisha chumba Cha kuabudia ndani. Na mwisho, kwa pasaka 1974, tuliweza ku sherekea pahali petu pa kukusanyikia na Viketi 560. Na vile kazi za kimishonari imeendelea hata na safari za umishonari za mwezi duniani pote. Tena kukakuja Julai, 18, 1976, wakati BWANA aliniita kwa Sauti Kubwa; „Mutumishi wangu, nienda kwenye dongo ya jirani na ukanitakasiyeni. Na uweke majengo ndani yake, kwa kuwa watu kutoka inchi nyingi watakuja na wata itaji kunfasi ya kalilishwa.“
Na tena kwa dongo kidogo tuliyo kumejenga kanisa letu tuliweza tena kuongezeka dongo ya jirani tuliyo nunua kwa ginsi sasa dongo tunayo sasa ina uwingi wa mraba ya mita elfu kumi. Shehehe ya majengo mawili ya misheni pamoja na Ofisi, na nyumba za kulala ndani wageni ziliendelea mpaka kwa pasaka, 1978. Majengo ya mwisho yalimalizika kwa mwaka 1990, ilikuwa nyumba ya muhimu sasa kwa ajili ya chumba chakuchapisha na uchapishaji na eneo la usindikaji pamoja na vyumba vya baruwa. Mungu ametuyarishie watumishi hata pamoja na wasaidizi wakutumika kwenye ofisi na katika chumbachauchapishaji na wengine washughalika kwa kazi nyigi kwa kituo Cha misheni, wengine hufanya kazi za kitechnologia wamoja kati yao hutoka kwa inchi za mbali. Hivyo ndivyo tunaweza kutuma hata Vitabu vyetu na CD na DVD katika lugha tofauti. Mikutano yakila wikendi ya Kwanza ya kila mwezi ya natafsiriwa hapo hapo kwaluga 14 na kusambazwa kwenye mtandao. Wandugu tulio baribarikiwa nao wa kitechnologia wa na kuwa kwa uangelivu Kubwa ili mikutano yetu iweze kufwatiwa kwa lugha tofauti duniani pote. Kwa wakati huu tumefikia 7, 500 kwa uhusiano ya mtandao katika inchi 172. Vile vile na yale yaliyo ya muhimu kwa wa hudmu wa ulimwengu wako kwa utoaji wetu. Wale wote wanayo tumika kazi ya Mungu na kujitoa kwake kwa ginsi na hata mashabiki waweze kuwa wataalamu.
Mungu pia ame shughulikia utangaziji na ame fungua milango duniani pote, iwe hata kwa ya kidini hata ya kisiasa kwa kila inchi. Kwa kuongezeka; makanisa zote katika inchi zote wanapewa vifaa vya muhimu vya kuwasaidia ili waamini wa kweli wote waweze kuungana kwa Mungu kupitia mahubiri yenye inasimamiya tu kwa maandiko matakatifu. Nikusema hii ni miujiza ya kipekee yenye haipatikane hata mahali fulani pengine duniani. Neno la Mungu limekwisha hubiriwa kwa mataifa yote Kama ushuhuda Kama vile BWANA ame tabiri, sasa sisi tuko karibu ya mwisho. BWANA atamaliza kazi yake ya ukombozi Kama vile alivyo maliza kazi yake ya uumbaji, na itafanyika vizuriSana. Yeye pekee ndiye anastahili utukufu wote wa milele.
Picha hii inaonyesha ndugu Leonard Russ karibu nami, wakati wa sherehe la kanisa kwa mwaka 1974. Ndiyo ndugu Russ ni mtu aliye kuwa kwa moyo wa Mungu. Kwa myaka makumi tano (50) tulimtumikia BWANA pamoja. Kwa muda huu na weza kuongea yakwamba BWANA mwaminifu alini agiza kwa Sauti Kuu siku yaIjumaa jioni Septemba, 1967: „Mutumishi wangu ni wekee kwangu Leonhard Russ na Paul Schmidt Kama wazee“. Katika Tit 1:5, Paul anaagiza mwenziwe wa kazi kuweka wazee ndani ya Kanisa la keleti. Hapa krefeld ni BWANA mwenyewe aliye niagiza kufanya hivyo na akataja majinazao na hata majina yao ya pili. Ndugu Russ amekuwa karibu na BWANA kwamyaka kadhaa, shukrani zimurundilie Mungu kuona ndugu Schmidt nikati yetu.