Baruwa ya mzunguko - Aprili/Mei 2019

Israeli katika Unabii

« »

Kwa habari za kila siku tunaendeleya kusikia namna gani Israeli in pingwa na kuhukumiwa. Irani imeletea Israeli tisho kwa muda wa siku tatu kusema „Israeli haita pata mahali ya kuwazika maiti zao“. Wakijisemea wenyewe.

Haya ya natukumbusha maahadi ya Mungu kuhusu Israeli: „Tena itakuwa siku hiyo nitafanya Yelusalemu, kuwa jiwe la kuwa lemea watu wa kabila zote; wote watakao jitwika jiwe Hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya duniani watakusanyika pamoja“ (Zak 12:3).

„Nitakapo kuwa nime waleta tena kutoka kabila za watu na kuwakusanya kwa kuwatoa katika nchi za adui zoa, na kutakaswa kati yao mbele ya mataifa mengi nao watajua ya kuwa mimi ndini BWANA Mungu wao, kwa kuwa nail wahamisha waende utumwani kati mataifa na mimi nika wakusanya na kuwaingiza katika nchi yao wenyewe; wala sitawaacha tena huko kamwe hata mmoja wapo.“ (Ezek 39:27-28)

„Na BWANA atairithi yuda iwe sehemu yake katika nchi takatifu naye atachagua yerusalemu tena.“ (Zek 2:12).

Tunasikiya pia kazi ambayo papa anayo panya huko mashariki ya kati kuhusu kutoelewana. Alipo safari kwenda huko Abu Dhabi kwa mwezi Februari alikazilia kuhusu usalsama na kuhusu kunyanyaswa kwa Isreali. Baada ya maelezo yake papa pamoja na mkubwa wa kiislamu Al-Azhar ana linganishwa kama mutu waumuhimu sana Imam wa Islamu sunnia wale weka saini kwa utangazaji unaoitwa; „Amani ya duniani“.

Ushuhuda huu unaendelea kuonyesha waziwazi kwamba mapatano ya salama pamoja na Israeli hayapo mbali. Kulingana na Dan 9:27, itakuwa mkataba wa myaka saba ambao utakayo winjwa ukifika kati. Paulo aliandika: „Wakati wasemapo kuna amani na salama ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, kama vile utungu umjiavyo mwenye mimba wala hakika hawataokolewa“ (1Wat 5:3).

Lakani hayo yatafanyika baada ya wakati wetu. Ndugu Branham alitamani auchukue Ujumbe huko Israeli lakini Mungu hakumuruhusu. Nukuu: „Ninangoja hiyo wakati kuu ambao siku moja nitawachukua injili huko Israeli. Nilikuwa Karibu ya hilo, huko Misri na nilikuwa nime kwisha nunua tiketi. Ninge jikuta hapo baada ya nusu saa. Namna muisikiapo sauti yangu, Roho mtakatifu alisema, »Hii bado siyo saa ya waya hudi« Israeli itaokolewa kama vile taifa. Tunaijua vile sisi sote. Siyo kwa mtu binafsi, lakini kama taifa. Hakuniruhusu niende“ (Julai, 8, 1962). Ni ndugu Branham ao mtu yeyote, hakuchaguliwa ku chukua injili huko Israeli. Hii imewekwa kwa ajili ya manabii wawili kama ilivyo andikwa katika Ufun. 11 na Zek 4:14.

Kwanza, mkombozi atamaliza ya neema pamoja na wataule wa mataifa yote na atachukuwa Bibi arusi wake katika utukufu wakati wa unyakuo ya arusi (1Wat 4:14-17, Ufun 19:5-9).

Kazi yetu ni ya kutangaza mwito wa mwisho, tuki chu kuwa ujumbe wa mwisho kwa taifa la Mungu katika nchizote duniani. Wote waliyo zaliwa upya kupita neno na Roho wa Mungu wana ngojea wa na amini, na wanaishi ndani ya matayarisho, na mwisho watanyakuliwa katika utukufu siku ya unyakuo. Amena.

Tuna furahi pamoja na Israeli na nazaidi sana kwa neno litatokea mba mara moja tena Yerusalemu, kwenye mlima wa sayuni.

„Na mataifa mengi wata kwenda na kusema, Njooni, twende juu mlimani kwa BWANA, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tuta kwenda katika mapito yake maana katika sayuni itatoka sheria, na neno la BWANA katika Yerusalemu.“ (Isa. 2:3)

Picha hii inaonyesha kundi letu lililo tembelea huko Knesset tarehe Mei, 17, 2018. Tarehe Januari, 21, 2019, Ni meandikia barua waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyuhu ni kionyesha wazi wazi shahili nane za kimaandiko katika Agano lakale yenye inapata utimilifu wake huko Israeli kwa sasa.

Na BWANA mwaminifu awabariki nyote.

Kwa utume wake

Ewald Frank