Circular Letter
Barua ya muzunguko - Juni 1973
Ewald Frank
Literatúra
Kapitoly
Warumi 8:14: “… kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu.“
Barua ya muzunguko Juni 1973
“Yesu Kristo ni Yeye yule, jana leo na hata milele” (Waebrania 13:8) Barua ya muzunguko – Juni 1973 Nawasalimu kwa moyo mkunjufu wasomaji wote wa barua hii, kwa j...
UONGOZI WA ROHO NI NINI?
“Kwakuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana waMungu.” (Rum. 8:14) Kwa vitendo, uongozi wa Roho unamaanishakwamba tutambue kile ambacho ni sawa machoni p...
KIKUNDI CHA KARISMATIKI
Ni kwa usemi huu kwamba tunata Ja leo kitendocha Roho katika maeneo mbalimbali za Ki kristo na makanisa mbalimbali. Inasikilikana ikisemwakwamba, katikamakanisa yote y...
MATUKIO YA WAKATI HUU
Katika wakati wetu, mara nyingi tunashambuliwa na udanganyifu, na asiyekuwa makini hudanganywa kwaurahisi. Mara nyingi, watu wenye hisia nzuri hugeuka kuwa mawindo ya ...
Tangazo
Baada ya kukatiza matangazo ya redio, imewezekana kwangu kuyaendeleza tena. Barua nyingi kutoka Ulaya Mashariki na Magharibi na sala nyingi zawaliotawanyika zimeonyesh...
1933 – 1973
Kama vile sauti ya baragumu kuu, Ujumbe ya wakati ya mwisho ilisikika kwenye bara zote hadimwisho wa dunia. Mnamo Juni 11, 1973, itakuwa miaka 40 tangu MunguMwenyezi a...
PDF
EPUB